NAZI
NI kiungo cha vyakula mbali mbali . pia madafu ni kiburufisho kwa ajiri ya kukata kiu na kushiba kwa kula nyama ya ndani .
Nazi ina faida nyingi sana katika jamii watu watumia Nazi kupikia wali. Mboga. Nk..
Nazi na madafu ni tiba ya magonjwa mbali mbali Kama Yafuatayo.
1.KUHARISHA __kunywa maji ya madafu yaliyo kamliwa ndimu kuharisha kutaisha.
2.NAZI MBATA AU NAZI YA KAWAIDA INAONGEZA MBEGU ZA UZAZI (SPAM)
goli la kishindo.
Ukila vipande vitatu vya Nazi nusu SAA kabla ya tendo la jimai (tendo la ndoa) hakika utakua na nguvu nyingi na utarudia round 4 had 5 bi.maana hauchoki halaka
3.MAWE_KATIKA_FIGO
chukua maua ya mnazi yakaushe juani kisha yasage upate unga kisha weka kijiko 1 kwenye maziwa mtindi glas moja kunywa kutwa x2 kwa muda wa siku 5 tatizo ilo litaisha.
4.MAUMIVU YA KICHWA
kunywa maji ya madafu mawili utapona kichwa.
5.KUTIBU VIDONDA
chukua mafuta ya Nazi pakaa kwenye kidonda kitapona. Kwa muda mchache sana.
6.KUTAPIKA
kunywa maji ya madafu yaliweka ndimu 3 kutapika kutaisha..
7.VIDONDA MDOMONI
chukua tui la Nazi sukutua hasubui na jioni kwa muda wa siku tano utapona vidonda vya mdomoni.
8.KUKATIKA_KWA_NYWELE_NA_KUKUZA_NYWELE
Paka tui la Nazi katika NYWELE kaa dakika 10 osha NYWELE zako kisha pakaa mafuta ya Nazi. Fanya hivyo KWA muda wa siku 20 utapata majibu.
9.KUONDOA chunusi usoni
chukua mafuta ya Nazi ml 100 changanya na mafuta ya ndimu ml.50 matumizi paka usoni tumia KWA muda wa siku kumi utapata majibu hakika utakua na sura nzuri yenye kupendeza. Ukiyatumia mafuta haya utayafanya yawe mafuta yako ya kupakaa kila siku. Mafuta haya ni mazuri sana.

Tags
AFYA