TAMU YA MASISTA ❤🔞
SEHEMU YA 01---05
Hii ni Chombezo yenye Maudhui Makali ya Kimapenzi yakiwemo ya 'Kwa Mpalange' , enjoy
🔞🍆🔥
👇Onja Vipande Vitano vya Bure😋👇
********* ********
Naitwa Cosmas, au kwa kifupi Cosy, ni kijana mwenye bidii katika maisha lakini bahati haikuwa yangu tu, nimesoma mpaka elimu ya chuo na kumaliza kwa alama nzuri kabisa lakini changamoto kubwa ni kupata ajira. Hilo halikunifanya nibweteke tu na kutulia bila kufanya chochote kile, baada ya kukosa kazi za kutumia akili na taaluma yangu ya darasani niliamua kujiajiri kwenye kazi za kutumia mwili yaani mikono na miguu yangu kupata ugali na kulipa kodi ya chumba changu kidogo nilichopanga.
Nilikuwa najishughulisha na shughuli ya kutumwa na kuagizwa bidhaa, sikuwa na bidhaa lakini natangaza bidhaa za watu na wateja wakija ninaenda kuwaletea mzigo na napata changu kutoka kwa muuzaji almaarufu kwa jina la winga, na niliaminiwa sana na wafanyabiashara na wateja lakini mfanyabiashara mmoja aliniharibia uaminifu baada ya kunitapeli na kunidhulumu mzigo wa wateja jambo lililonifanya nitukanwe na nisiaminiwe tena, mimi ndiye niliyeonekana tapeli wakati halikuwa kosa langu na mpaka jina langu likachafuliwa nikaamua kuachana na shughuli hiyo na kujikita kwenye uchoraji ambao haukunilipa kivile kutokana na mazingira ya sanaa hiyo hapa nchini.
Asubuhi ya leo niliamka nikiwa sielewi hili wala lile kuhusu chakula na mahali pa kuingilia, niliamka saa kumi na mbili na kukaa macho mpaka saa moja na ndipo simu yangu ya mkononi ilipoita, nilipotazama namba ni ya mzee mmoja aliyekuwa mmoja wa wateja wangu kabla sijaacha shughuli ya uwinga ambae alisikitika sana aliposikia nimeacha.
"Shikamoo mzee"
"Marahaba kijana wangu hujambo?"
"Sijambo kabisa, za masiku"
"Njema kabisa huonekani kijana wangu"
"Hamna nipo mzee mambo tu hayajakaa sawa"
"Oooh sawa hivi uliniambia kuwa kwa sasa bado hujapata shughuli yoyote?"
"Ndiyo mzee bado sijapata ila nitapata tu usijali"
"Kuna rafiki yangu mmoja hivi ni askofu ameniambia pale parokiani kwao wanatafuta kijana mchapakazi na mwaminifu atakayekuwa anahusika na kufanya fanya usafi na kulisha mifugo kwa sababu sasa hivi masista wapo bize kujiandaa na sherehe za mwisho wa mwaka, ni kazi ya miezi mitatu mpaka minne hivi sasa nikakukumba mwanangu nikasema nikutafute kama utaipenda sawa na kama hautoipenda basi"
"Mzee dah nashukuru sana kwa kunikumbuka hapo wala usiulize kuhusu kupenda au kutokupenda, naanza lini?"
"Hata leo ila ni nje ya mji"
"Hata ingekuwa nje ya dunia mzee ningeenda tu"
"Ila kamshahara siyo kakubwa sana nadhani ni laki moja hivi mpaka laki moja na nusu ila kula, kunywa na malazi ni juu yao"
"Hata ingekuwa elfu hamsini ilimradi kazi tu, mshahara unanitosha sana huo mzee utanisogeza wakati najitafuta"
"Basi sawa ngoja nizungumze nae hapa afande utaratibu wa nauli ili uende"
"Asante sana baba kwa kunikumbuka, asante"
"Mimi nimekuona kijana muaminifu sana nilipokuagiza mizigo mpaka ya mamilioni haujawahi kuwa mdokozi ndiyo maana nikasema huyu kijana patamfaa huku"
"Asante sana mzee wangu"
"Basi sawa nitakupa jibu" mzee huyo alikata simu.
"Yes!" Nilisimama mwenyewe na kuanza kucheza muziki kwa furaha baada ya kupata ajira hiyo ingawa sijaianza bado lakini nilihesabu tayari nimeshaipata, nikajitupa tena kitandani na kulala chali nikitazama juu. Kama kawaida nilichukua simu yangu ya mkononi ili kupunguza punguza tamaa za kijinga za wanawake barabarani na kwa sasa sina mpenzi nikaweka video moja ya ngon** niliyoipakua mtandaoni na kuanza kuitazama huku nikivuta hisia kali na mkono ukiwa ndani ya shuka nimelikamata dyudyu lililokuwa limedinda haikuzidi dakika tano nikamwaga💦wazungu na kushusha pumzi nikisikia uchovu ule ule kama nimetoka kufanya na mwanamke, nikaichafua boksa yangu, nilishuka kitandani na kujifuta futa nikayatafuta maji na kwenda kuoga nikijiweka safi.
Mchana, mzee huyo alinipigia simu na kuniunganisha na askofu ambae ni rafiki yake, tulizungumza kisha nikatumiwa nauli na moja kwa moja safari ikaanza kuelekea kwenye parokia hiyo na ni kweli ilikuwa mbali nje ya jiji na ni takribani masaa matano yalikatika nikiwa barabarani, nikawasili jioni giza likikaribia kuingia, askofu niliyewasiliana nae hakuwepo nikakutana na sista mkuu, mama mtu mzima ambae ni mlezi wa masista wote ndiye aliyenipokea kwa niaba ya askofu akiwa amepewa maagizo na kunipeleka ofisini kwake.
"Karibu sana mwanangu"
"Asante sana mama"
"Upo tayari kwa kazi kesho?"
"Hata leo mama nipo tayari tu"
"Hapana leo ungepumzika ila kesho utaanza ila kuna sheria hapa ndogo ndogo lakini kubwa ni moja tu, hauhitajiki kuwa na urafiki wa karibu na sista yeyote yule kwa sababu utakuwa umejifukuzisha kazi" aliniambia huku akiiweka vizuri miwani yake machoni.
"Bila shaka mama, nimekuelewa"
"Nasisitiza tena hauruhusiwi kuwa na ukaribu sana na sista yeyote yule"
"Ndiyo mama"
"Twende nikakuonyeshe utakapojilaza" aliniambia na tukatoka ofisini huku tukipishana na masista kadhaa nje, waliokuwa wanaingia na kutoka akanipeleka kwenye chumba kimoja nikaingia na kukuta kitanda na stuli.
"Oooh ndiyo hapa, asante sana mama"
"Karibu, unaweza ukajipumzisha hapo na chakula kuna mtu atakuletea sasa hivi"
"Sawa" nilimjibu na kuingia nikikuta kitanda siyo kikubwa sana cha nne kwa tano na kimetandikwa mashuka vizuri nikakaa na kutulia kusubiri chakula ikiwa tayari ni saa mbili usiku, baada ya dakika kama kumi mlango wangu uligongwa na nilipoenda kuufungua nikamkuta yeye mwenyewe akiwa na trei la chakula pamoja na maji.
"Nimekosa wa kumtuma nimeona nikuletee mimi mwenyewe"
"Oooh pole, asante sana" nilitaka kumpokea.
"Acha tu niweke" mama huyo mnene aliingia mwenyewe na kuweka kwenye stuli lakini ghafla akajishika kifuani akiwa amevaa mavazi ya kisista kana kwamba hayupo sawa.
"Kuna nini mama?" Nilimkimbilia akakaa kitandani.
"Kifua nakosa pumzi" alilalamika huku akilala chali.
"Ngoja nikaite msaada"
"Hapana nikandamize tu kifuani hapa"
"Kifuani?" Nilijiuliza huku niwaza nitamkandamizaje akaniwahi na kunishika akaisogeza mikono yangu kwenye matit** yake la kulia na kushoto.
"Kandamiza Cosy" alilalamika huku macho yakiwa yamenitoka ikabidi nimkandamize matit** kifuani kujaribu kumsaidia lakini kwa wasiwasi huku akihema hema na kuanza kunipapasa mikono yangu, macho yalinitoka...
SEHEMU YA 02
"Bado?" Nilimwuliza huku mikono yangu nikiwa nimeyashika matiti yake makubwa ndani ya gauni la kisista alichovaa, nilijikuta mwili unaanza kunichoma choma kwa shoti nisizozielewa ikabidi niipandishe mikono yangu kwa juu kifuani na mabegani nikizuga lakini akaikamata na kuirudisha tena kwenye matiti yake.
"Bado Cosmas kwa hapa uuuwiii" alilalamika na kama mwanaume rijali nilijikuta dyudyu limesimama ndani ya suruali yangu, mama huyo sista akanitazama na kuishusha miwani yake usawa wa puani.
"Pole sana" nilimjibu na kumuacha huku hali yangu ikiwa mbaya na nje tukasikia sauti za masista wakipita huku wakiongea, haraka haraka akasimama na kujiweka vizuri gauni lake la kisista na kuvaa miwani vizuri.
"Asante sana Cosmas maana mh kifua kilikuwa kinanibana kweli yaani, tutaonana kesho"
"Sawa mama"
"Halafu usiniite mama naitwa sista Berina" alitabasamu na kunishika begani kisha akaondoka sista huyo mama mtu mzima mnene ambae nyuma hakuwa vibaya, alifungasha mpaka nikajiuliza ni kitu gani kilichomfanya aingie kwenye usista, nilitikisa kichwa na kuegemea ukutani huku nikiingiza mkono kwenye suruali yangu na kulituliza dyudyu lililokuwa limedinda maana niliziona dalili zote za kujichukulia sheria mkononi kwa mara nyingine tena yaani kupiga punyeto au kwa lugha ya vijana wakiita 'puchu'
Nilikula chakula nilicholetewa na maji na kwenda kuoga kisha nikajitupa kitandani...
Sikujua usingizi umenipitia muda gani lakini kilichonikurupusha kitandani ni sauti ya jogoo akiwika, nikafumbua macho na kukuta kunapambazuka, haraka nilishuka kitandani na kutoka nje nikanawa maji yaliyokuwa yanatoka kwenye bomba. Nilichukua fyekeo, upanga na fagio na kuanza kazi yangu ya usafi kama kawaida huku masista waliokuwa wanapita pita wakinisalimia na mimi nikiwasalimia ingawa wao niliwatangulia kuamka, wao waliamka saa kumi na mbili na dakika mimi nikiamka saa kumi na moja alfajiri na dakika.
"Cosmas?" Niliitwa nikamwona mwanamama sista Berina.
"Naam, shikamoo"
"Umeamka saa ngapi?" Aliniuliza bila hata kujibu salamu yangu ya shikamoo.
"Saa kumi na moja hivi"
"Mbona mapema sana, usiwahi kiasi hicho bwana"
"Hamna mama ndo majukumu yangu na kingine mimi ikifika mida hiyo usingizi unanikata" nilimjibu huku nikijifuta futa jasho lililokuwa limeanza kunitoka kutokana na kazi hiyo inayotumia nguvu.
"Sasa kwa nini jamani?"
"Majukumu tu"
"Usiwe hivyo halafu kwani unaweza kuendesha gari?"
"Ndiyo ninaweza, kwanini?"
"Umekamilika, nataka unipeleke shambani nikakague kule kama kupo sawa"
"Sawa sasa hivi?"
"Tukinywa chai, endelea na kazi yako"
"Sawa" nilimjibu akatabasamu na kuiweka vizuri miwani yake na kuondoka.
"Hi kaka" nilisalimiwa na sista mmoja akiwa anapita na mwenzake.
"Hi, habari zenu?" Nilitabasamu.
"Salama, karibu sana"
"Asanteni, nimeshakaribia" niliwajibu na hawakuishia kunisalimia tu mmoja wao alinifuata huku mwenzake akibaki amesimama.
"We Tekla twende sista Berina akikuona ohoo"
"Acha nimsalimie kaka yangu na wewe, atajisikia mpweke, wote tumejaa wanawake humu kaka wa watu hana hata rafiki jamani?"
"Aah achana nae, sista Berina ndo nani bwana kufuatiliana kama watoto" alijibu huku akinifuata na kunyoosha mkono nami nikanyoosha wangu ili tusalimiane lakini kabla hatujagusana, mkono mwingine wa tatu ulitokea na kuukamata mkono wa sista Tekla.
"Hapa ndiyo parokiani?" Aliulizwa na sista Berina ambae hatukujua hata amekuja saa ngapi.
"Shikamoo mama ndo nilikuwa ninaenda" sista Tekla alirudisha mkono wake haraka na mwanamama huyo mlezi wao hakutaka kuzungumza tena akamwonyesha kwa mkono njia ya kuondokea. Tekla akaondoka kwa aibu huku mwenzake akiwa ameshatoweka kitambo sana, nikageukiwa na mimi.
"Nilikwambiaje kuhusu ukaribu na hawa?"
"Hamna alikuwa ananisalimia tu"
"Wewe?" Alininyooshea kidole cha onyo na kuondoka akiwa amekasirika.
"Oooooppss" nilishusha pumzi na kuinua mabega tu kisha nikaendelea na kazi yangu.
Majira ya saa nne hivi baada ya kumaliza kazi yangu, kunywa chai na kuoga tuliingia ndani ya gari la parokia aina ya landcruise prado yale yanayotumika kwenye miradi ya zamani yale ambayo wakati mwengine hugeuzwa na kuwa gari la wagonjwa (ambulance) gari lenye uwezo wa kupita kwenye mazingira yoyote mabaya ya barabara safari ikaanza kumpeleka kwenye mashamba tukiwa tumembeba sista mmoja aliyekuwa anaenda sokoni tukamshusha njiani na safari yetu ikaendelea tukafika kwenye mashamba hayo ya mahindi na miwa huku nikiendesha gari kwa mwendo wa taratibu sana kutokana na ubovu wa barabara.
"Kumbe wewe ni dereva mzuri sana Cosmas"
"Kiasi chake tu mama"
"Halafu nimekukataza kuniita mama" alinijibu huku akinishika pajani na kusogeza mkono wake mpaka kwenye zipu ya suruali, nikamshuhudia akianza kunipapasa papasa dyudyu langu lililokuwa ndani ya suruali huku nikiendelea kuendesha gari, mwanamama huyo hakuishia hapo tu akafungua kabisa zipu ya suruali yangu na kulichomoa dyudyu nje akasogeza kichwa chake na kuanza kulinyonya, macho yalinitoka....
SEHEMU YA 03
Sista Berina alilishika dyudyu na kuendelea kulinyonya kama hana akili nzuri tukiwa ndani ya gari hilo la parokia wawili tu katikati ya mashamba barabarani, nilianza kutazama kulia na kushoto kama kuna mtu anayepita asije akatuona maana gari halikuwa na vioo vyeusi (tinted) vya kuficha tusionekane, kama mtu angepita angetuona wale. Ndiyo kwanza mlezi huyo wa masista mama mtu mzima kiasi ambae sikumtegemea aliuweka vizuri ushungi wake wa kisista uliokuwa unamzuia usoni asiendelee na shughuli yake, kwa kuwa mazingira hayo ya mashambani hakukuwa na mtu nilianza kumpa ushirikiano. Nililipandisha gauni lake la kisista wakati akiwa anaendelea kunyonya na nikalikunjia kiunoni na kukutana na chupi kubwa ambayo niliishusha mpaka usawa wa mapaja yake na kuyaacha wazi matak** yake makubwa yenye mabonde mabonde kutokana na unene wake na kuanza kuyapapasa taratibu huku nikiyaminya minya kama nyanya gengeni na kidole changu cha kati nikakipitisha kwenye barabara ya katikati ya mapaja yake na kumuingiza dole la kati 🖕ndani ya mkund** wake.
"We Cosmas uuuwiii" aliguna na kusitisha zoezi lake kwa sekunde kadhaa akinitazama kwanza kisha akaitoa miwani yake machoni na kuiweka pembeni na kuendelea na zoezi lake la kunyonya dyudyu huku na mimi nikiendelea na zoezi langu la kumchokonoa kwa dole la kati mkund*ni. Aliishusha suruali yangu mpaka usawa wa mapaja na kulikamata dyudyu kwa mkono wake kisha akaanza kunyonya korodan* zangu chini nikabaki na maswali imekuwaje sista huyu wa miaka mingi ayajue yote haya wakati kwa kawaida wao hawafanyi mapenzi na mwanaume yeyote maisha yao yote? Sasa hata ameshanidindisha na kunitia nyege nitaingiza wapi dyudyu na wakati yeye ni bikra? Yote kwa yote nilimchomoa mwanamama huyo kwenye dyudyu langu ingawa alitaka kuendelea kulinyonya na kukifyatua kiti chake akalala chali kwenye kiti na nikaivua chupi yake na kuitupia kwenye usukani wa gari, gani lililokuwa limekunjiwa kiunoni alilishikilia huku akiwa amepanua mapaja yake manene nikiviona vyote, uch** na mkund** wake, nikasogeza midomo yangu na kuanza kupitisha ulimi kwenye uchi wake huku dole ya kati🖕nikiliingiza ndani ya mkund** wake tena na kuendelea kumchokonoa wakati ncha ya ulimi ikicheza cheza kwenye vijinyama vya uchi wake na kukutana na mrenda bamia uliokuwa unavutika yote sikujali.
"Oooshhhh Cosmas wewe jamani mmh"
"Nakuumiza?"
"Hamna unanitekenya"
"Pole na mimi ulinitekenya vile vile kwahiyo kutesa kwa zamu" nilimjibu huku nikiumung'unya uchi wake na hali ya mama huyo ilikuwa mbaya akiwa amelowana tepetepe mpaka nikashindwa kuendelea na zoezi langu la kumnyonya maana uchi ulianza kutema vijipovu kama nyege zilishampanda mpaka kisogoni, nilichofanya ni kuufungua mlango wa gari tukashuka lakini tukazunguka mpaka nyuma ya gari hilo na kuufungua mlango wa nyuma kabisa kwenye nafasi ya kuweka mizigo hatukuingia ndani alishikilia gari akiinama na kuniachia matak** yake makubwa yenye mabonde mabonde nami nikayashika na kupitisha dyudyu langu taratibu kwenye barabara ya uchi na mkund** wake kwa nje nikiogopa kuliingiza kwenye uchi kwa sababu nisije nikaharibu kiapo chake lakini alilishika mwenyewe na kulitumbukiza kwenye uch** nikashangaa kichwa kinazama nami nikaanza kukisukuma taratibu.
"Mhhh ooosh"
"Mammy kwani hauna bikra yako kama sheria zenu zinavyosema?" Nilimwuliza nikiwa nimesimama kwa nyuma nae kwa mbele ameniachia mgongo ameinama mbuzi kagoma kwenda.
"Mbona unashangaa Cosmas na wakati ni mambo ya kawaida"
"Sasa kwani siku hizi hawakagui?"
"Mimi ndiye ninayekagua kwa sababu kwa cheo nilichofikia hakuna anayenikagua ila walio chini yangu wote mimi ndiye ninawakagua oooshh" alijibu huku akipitisha mkono wake kwa chini na kunishika korodan** nami nikiendelea kulisukuma dyudyu lililokuwa likiendelea kuzama kwenye uch** wa mama huyo mlezi wa masista nikiwa nimeyashikilia matak** yake mawili nimeyaachanisha ili kupata nafasi ya kutosha na mwishowe dyudyu lilizama lote ndani ya uch** wake likiwa limelowana ute ute mweupe uliokuwa unamtoka, kijana wa watu nikijikuta navunja amri ya sita na mama huyo mlezi wa masista, mashambani.
Dakika zaidi ya ishirini zilikatika nikiendelea kulisukuma dyudyu ndani ya uchi wake tukiwa tumesimama vile vile, alipotaka kulivua gauni lake la kisista nilimzuia maana alishajisahau kuwa tupo nje tena barabarani ingawa hakuna mtu ambae anapita na mwishowe nilipokaribia kumwaga nikataka kuchomoa dyudyu akaliwahi na kuzishikilia korodan** nisichomoe na nikajikuta namwaga kojo jeupe💦humo humo ndani ya uch** wake huku wote tukihema.
"Asante mamy"
"Asante kwako wewe Cosmas, muda wowote utakaponihitaji niambie tu, nipo kwa ajili yako"
"Sawa"
"Si tunaenda kuoga?"
"Wapi?"
"Nitakuonyesha" alinijibu na kufunga milango ya gari tukaliacha pale pale na kutembea mita kadhaa kwenda chini bondeni na kulikuwa na mto wa maji mengi.
"Mtu akitukuta?"
"Hakuna mtu huku acha wasiwasi" alinijibu huku akivua gauni lake na mimi nikavua nguo zangu na tukaingia kwenye mto huo wa maji baridi kuoga, nguo tuliziacha pembezoni na ni kweli kulikuwa kimya ni ndege tu walikuwa wakiruka na sauti za wadudu ndizo zilizokisikika. Tulipomaliza kuoga tulitoka taratibu ndani ya maji na kuzifuata nguo zetu tulizoziacha kwenye jiwe safi lakini hatukuziona, wote tukashangaana.
"Kwani si nguo zilikuwa hapa?" Aliniuliza,
"Ndiyo hapa"
"Sasa zimeenda wapi au umezihamisha Cosmas?"
"Hapana sikuzigusa tena"
"Sasa zitakuwa zimeenda wapi mbona hazipo?"
"Mh sijui leo ni kimbembe" nilijikuna kichwa maana hata mimi nilikosa jibu..
SEHEMU YA 04
Tuliangaza angaza macho kila kona kama tungeziona nguo zetu lakini wapi hatukuziona na kibaya zaidi tulikuwa uch** tusingeweza kuondoka tukiwa hivyo.
"Hapa tutakesha tuondoke tu Cosmas maana nimeshavurugwa hapa"
"Twende wapi tena tukiwa hivi uchi si watu watatushangaa jamani?"
"Huku hakuna watu twende turudi kwenye gari tu hakuna namna"
"Halafu nguo zitatoka wapi huko kwenye gari?"
"Yaani hata sielewi"
"Subiri" nilimwambia huku nikianza safari ya kuelekea vichakani.
"Unaenda wapi Cosmas usiniache"
"Nisubiri hapo hapo, usije" nilimtuliza baada ya kusikia sauti kama ya nyasi zinacheza cheza nikaingia kwenye kichaka lakini kwa hofu na sikutaka ajue na mimi ninaogopa kama yeye, kama mwanaume nilijikaza kisabuni na kuzisukuma sukuma nyasi hizo ndefu mpaka nikafika katikati na kuwakuta nyani wawili mithili ya watu ambao walinishtua na mikononi walikuwa na nguo zetu wakigombaniana, nikapiga mruzi wakashtuka na kugeuka wakazitupa na kukimbia mbio mbio maana niliokota mti mithili ya fimbo mkononi, haraka nikazifuata na kuzichukua zikiwa zimechafuka kidogo nikazikung'uta na kurudi nazo kule mtoni nilipomwacha sista Berina ambae alibaki akiwa na wasiwasi.
"Umeziona"
"Ndiyo hizi hapa"
"Umezipata wapi?"
"Nyani walizibeba nimewakuta wawili"
"Jamani hawa nyani wana tabia mbaya" aliongea na tukazivaa haraka haraka na kuondoka eneo hilo la mtoni tukarudi na kuingia ndani ya gari nikaliwasha na kutaka kuendelea na safari lakini akanionyesha ishara kuwa turudi parokiani tulipotoka.
"Kwani tumeshafika mwisho wa safari?" Nilimwuliza,
"Dhumuni la safari yetu tumeshalimaliza" aliongea akimaanisha kuwa kilichotuleta ndicho hicho tulichokifanya na wala hakukuwa na lengo jingine la kuja kutazama hali ya mashamba kama alivyodai awali, ilibidi nitabasamu tu na kufuata alichoniagiza nikaligeuza gari na safari kurudi parokiani, wakati ninaendesha kama kawaida yake mama huyo alifungua zipu ya suruali yangu tena kwa mara nyingine na kulichomoa dyudyu langu akaanza kulinyonya, nikafungua suruali akaishusha kidogo kichwa akiwa amekilaza mapajani anaendelea kunyonya, macho yangu yalikuwa mbele na mikono kwenye usukani wa gari wakati yeye akiendelea na zoezi lake mpaka tukaingia barabara kuu ya lami bado alikuwa ameling'ang'ania dyudyu mpaka tunakaribia parokiani ikabidi nimshtue ndipo akaacha ndipo nikalipeleka gari na kuliegesha kwenye makazi hayo ya masista, yeye alikuwa wa kwanza kumbe askofu alikuwa amesharudi, akatuona.
"Mnatokea wapi sista Berina?" Alimwuliza,
"Tunatokea shambani nilimwomba anipeleke nikatazame mara moja"
"Mbona leo siyo siku ya kwenda shambani?"
"Nimeona tu niende maana nimesikia taarifa kuwa kuna manyani yameanza tena"
"Sawa" askofu alijibu akionekana kutoridhishwa na majibu ya sista Berina.
"Shikamoo" nilimsalimia,
"Bila shaka wewe ndiye Cosmas yule kijana niliyetuma nauli aje kufanya kazi hapa?"
"Ndiye mimi hapa"
"Vizuri kumbe wewe ni dereva pia?"
"Ndiyo ninajua kuendesha gari"
"Basi itakuwa vizuri sana maana dereva wetu amepata matatizo ilibidi arudi jana sasa leo asubuhi kanipigia simu kuwa amepata msiba atasafiri kwenda kwao na kurudi ni baada ya dakika mbili, hawa masista wanajua kuendesha gari lakini si vizuri wakatoka toka kwenda hapa na pale hasa katika safari ambazo ni za mbali hivyo utatusaidia saidia kidogo"
"Bila shaka baba"
"Sawa nadhani mshahara alikuambia yule mzee aliyekupa taarifa hii ya kazi, siyo?"
"Alinidokezea ndiyo"
"Ni laki na nusu kwa sasa ila huko mbeleni tutaongezeana kwa kadri ya utendaji wako mzuri kwahiyo usiwe na mashaka kabisa"
"Sina neno, hata hicho mtakachonipa kitanifaa kuliko ningekikosa kabisa"
"Basi sawa kijana wangu naona nguo zako zimechafuka kabadilishe nataka unipeleke mjini kidogo kuna wazungu ninaenda kuonana nao tuna kikao"
"Sawa baba" nilimjibu askofu na kwenda mpaka chumbani kwangu na kuanza kubadili nguo zangu haraka haraka nikiwa mwepesi sana baada ya kupewa tamu asubuhi asubuhi na mwanamama sista Berina mlezi wa masista wote ambae yeye ndiye aliyenionya kuhusu ukaribu au urafiki na masista lakini kumbe yeye mwenyewe alitaka kitu kutoka kwangu mapema sana. Nilipotoka nilikutana nae njiani akiwa ameshabadilisha lile gauni lake la awali lililokuwa limechafuka.
"Askofu alikuwa anakuuliza nini?"
"Hamna anataka tu nimpeleka mjini nimuendeshe"
"Ooh sawa, hivi Cosmas ni wapi umeiona chupi yangu?"
"Chupi yako ipi?"
"Si ile niliyoivaa nashangaa nimebadilisha nguo kumbe sikuvaa au tuliiacha ndani ya gari?"
"Ndani ya gari mh?" Niliguna na nikakumbuka mara ya mwisho nilipomvua niliitupia kwenye usukani, haraka nikakimbilia kwenye gari ili kuitoa na ndipo nilipomkuta askofu ambae alienda ofisini kuchukua vitu vyake akiwa amesharudi kwenye gari na amefungua mlango na kuingia akiwa na gazeti la Kiingereza mkononi, akakaa kwenye kiti cha pembeni mwa dereva nami nikaufungua mlango taratibu na kukutana na chupi chini kwenye eneo la breki, krachi na kiongeza kasi cha gari hilo manual, ikiwa imetulia haina habari na askofu tayari ameshaingia ndani ya gari kama angeiona tu basi angegundua kuwa kulikuwa na jambo linaendelea ndani ya gari.
"Mbona hauingii ndani ya gari?" Aliniuliza aliponiona nimezubaa kumbe nilikuwa napiga mahesabu ya jinsi ya kuiokota na kuitoa chupi ya mwanamama sista Berina bila ya askofu kujua.....
SEHEMU YA 05
"Naingia mzee wangu" nilijibu na kuingia ndani ya gari hilo kwa bahati nzuri akalifungua gazeti lake taratibu na kuanza kulisoma na ndiyo ilikuwa pona yangu, niliinama na kuiokota chupi ya mwanamama sista Berina lakini akapiga chafya kwa kuliweka gazeti pembeni huku akinitazama nikiwa na chupi hiyo ambayo haraka haraka niliikunja mkononi.
"Hebu hicho kitambaa nifute fute viatu vyangu hapa" aliniomba chupi kwa jinsi nilivyoikunja akahisi labda ni kitambaa.
"Hapana mzee hiki ni kichafu"
"Ndiyo kichafu na mimi si ninafutia viatu tu?"
"Mh hakifai hiki mzee labda chukua hiki" nilitoa leso yangu safi na nyeupe.
"Sasa mbona unanipa kitambaa kisafi sana?"
"Haina shida mzee kitumie tu" nilimjibu akakipokea na mimi haraka haraka ile chupi niliyoikunja mkononi nikaiweka mfukoni bila yeye kujua kisha nikaliondoa gari safari kuelekea mjini.
Tulifika mpaka kwenye hoteli moja ndogo akavaa kofia akiishusha mpaka usoni na kushuka akanitaka nibaki kwenye gari nimsubiri, aliingia hotelini nami nikabinua kiti nikimsubiri mpaka atakaporudi. Lisaa lizima lilikatika askofu alitoka na kuingia ndani ya gari akitembea kwa kuchechemea chechemea kana kwamba ana busha sehemu za siri huku akionekana kuchoka sana, alipoingia ndani ya gari alihema.
"Mzee usalama upo?"
"Upo twende zetu" alinijibu huku shingoni nikiziona alama za kung'atwa na mwanamke, kwa kizungu zikiitwa Love Bites.
"Mzee shingoni kwako kuna aaamh"
"Kuna nini?"
"Tazama tu kwenye kioo sijui mdudu amekung'ata?"
"Yap hapa ni mdudu amening'ata yaani panauma" alijibu nami nikajifanya kama mjinga sijui kilichotokea, nilishajua kuwa wala hakukuwa na wazungu alioenda kuonana nao ila alienda kuzagamuana na mwanamke. Nikaliwasha gari na kulitoa ndani ya viunga vya hoteli hiyo safari tayari kurudi kwenye makazi ya masista na parokiani kumrudisha askofu baada ya kumaliza mambo yake, tulifika nikalirudisha gari na moja kwa moja nikaanza kazi ya kukata nyasi na na kuanza kuwalisha ng'ombe maalum kwa ajili ya maziwa na muda huo huo walikuja masista watatu akiwemo yule Tekla na rafiki yake pamoja na mwingine mmoja na chombo chao kwa ajili ya kukamua maziwa kwa ajili ya kesho.
"We kaka hivi unapumzikaga kweli maana kila mara ni heka heka tu?" sita mmoja aliniuliza,
"Ndicho kilichonileta hapa, kupumzika ni kama kuukaribisha umasikini"
"Uwe unapumzika kidogo na wewe Cosmas jamani kha" sista Tekla aliniambia huku akinishika begani na kutabasamu.
"Mh Tekla mara hii kaka wa watu umeshamjua mpaka jina?" rafiki yake alimwuliza.
"Kwani kuna ubaya, si unaitwa Cosmas?"
"Wala hujakosea, nipeni tu niwakamulie maziwa"
"Umewahi kukamua Cosmas?"
"Hapana ila mtanielekeza haina shida msije mkachafua nguo zenu"
"Wala usijali nitakamua" Tekla aliongea na kuingia uvunguni mwa ng'ombe akichuchumaa na kushika chuchu akikamua maziwa huku akinitazama mimi na kujilamba midomo huku wenzake wawili wakinong'onezana lakini sikuweza kuwasikia, walipomaliza kukamua maziwa waliondoka taratibu na ndoo yao nami nikaendelea kuwaongezea ng'ombe majani.
Mchana ulipita na hatimae usiku kama kawaida sikuruhusiwa kwenda popote zaidi ya chumbani kwangu tu, nilijilaza kitandani nikisubiri kuletewa chakula mara baada ya kuoga huku simu yangu ndiyo ikiwa kiburudisho cha kunipotezea muda pindi ninapokuwa sina kazi, mlango wangu uligongwa nami nikainuka na kwenda kuufungua nikakutana na msichana Tekla akiwa amebeba chakula mikononi.
"Mambo"
"Poa karibu Tekla, ngoja nikupokee"
"Acha tu nikuingizie ndani" alinijibu na kuingia nacho mpaka ndani akakiweka kwenye stuli huku akiwa ameubeba mfuko ambao sikujua una nini.
"Asante sana"
"Usijali Cosmas halafu mbona unakaa huku peke yako kama mgonjwa ungekuja kule tupige stori"
"Hapana siwezi kuja kwa sababu siruhusiwi halafu ninyi nyote ni wanawake sasa nitapiga stori na nani?"
"Acha zako na wewe njoo bwana, sikia vaa hili gauni na mtandio wake halafu njoo usiku saa hizi hakuna atakayekugundua" alilitoa gauni la kisista.
"Mh nivae gauni tena?"
"Ndiyo nakusubiri" aliniambia na kunishika begani akatoka haraka haraka na kurudi kwa wenzake, nikalitazama gauni hilo na kujikuna kichwa na muda huo huo mlango uligongwa tena.
"Nani?" Niliuliza,
"Ni mimi" sauti ya mwanamama Berina iliniitikia na haraka haraka nikalificha lile gauni la kisista nililoletewa na sista Tekla, akaingia ndani.
"Karibu"
"Asante, nakuletea chakula sasa hivi"
"Kimeshakuja hiki hapa"
"Nani aliyekuletea na ametumwa na nani?"
"Sijamjua ni sista mmoja hivi simfahamu kwakweli ila amesema ametumwa aniletee chakula" nilificha jina la Tekla,
"Sawa tutaonana" mwanamama huyo alijibu akionekana kutoridhishwa na majibu yangu kisha akaondoka, nilikaa kitandani na kula chakula kisha nikavaa yale mavazi ya kisista na kutoka kule walipo nikijifanya na mimi mwenzao na hata mwendo wangu nililazimika kuubadilisha uwe wa ki dada, Tekla pekee aliyeniita ndiye aliyeniona na akanikonyeza na kuinuka akinionyesha ishara kuwa nimfuate nami nikainuka nikiwaacha masista wengine wanapiga stori nikamfuata nyuma nyuma mpaka kwenye vyoo vyao vya kisasa akaingia nami nikaingia mpaka ndani ya choo kimoja tulipofika haraka haraka bila kungoja akachuchumaa na kulipandisha gauni langu mpaka usawa wa kiuno na ndani nilivaa bukta akaishusha na kulitoa dyudyu langu nje bila kuzungumza chochote akalitumbukiza mdomoni na kuanza kulinyonya taratibu.
"Tekla?" Nilimuita nikitaka kuzungumza lakini ikabidi ninyamaze na kumpa ushirikiano, mwanadada huyo akatoa kijichupa cha mafuta alichokificha kifuani na kutoa midomo yake kwenye dyudyu langu baada ya dakika tano za kulinyonya kisha akaanza kulipaka mafuta taratibu.
"Cosmas"
"Naam"
"Ulikuwa unaogopa nini sasa si umeona mwenyewe, hakuna hata anayejua" aliongea huku akinipaka mafuta mpaka chini kwenye koroda***
"Sisi tunajua" mara tulisikia sauti tukashtuka na kugeuka tukamwona yule rafiki yake akiwa na yule sista mwingine yaani wawili, haraka nikalishusha gauni langu na sista Tekla akasimama.
"Mmefuata nini huku?"
"Ulichokifuata wewe ndiyo na sisi tumekifuata" walijibu huku nao wakiingiza mikono ndani ya magauni yao na kuzishusha chupi zao, nikabaki nimeduwaa macho yamenitoka mbele ya masista hao watatu....
Full 1000
soma mpaka mwisho kwa sh 1000
namba 0743433005 iko whatsapp pia
Tags
Chombezo🔞
Naitaka io tamu ya masista
ReplyDelete