TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA 10

ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA NO 10

MTUNZI JOGOO POLL 

NO 0657 774735

kaka safari ii sijamshika mkono kupeleka kwenye kibompoli yangu alipeleka mwenyewe kwenye gear yangu akaanza kama kuifanya kama sweachi ya taa yani anakibonyeza juu chini yani nilipata msisimko wa ajabu nilitanua miguu nikaikunja kwa juu nikamwachia uwanja mpana afanye atakavyo siku iyo naisi na yeye alikuwa yayali kashapanda hamu maana nilipojitanua na kujikunja 

aliongeza spead kukisaga gear yani mpaka naanza kutoka ?? yani namaanisha kitumbua kishaivaa kwa kuliwa nikatoa aibu kama kuniona kashaniona na mimi nikapeleka mkono wangu kwenye taulo nikashika chuma kikali moto nakuta kimesimama imala tayali kwa mapambano nikaona sasa akuna mkate mgumu mbele ya chai nikauchezea kwa mkono wangu

ndipo nilipoamini mwanaume akisimama akili inapotea msimamo wa kaka ulipotea nilimuona kaleta mdomo kwenye maziwa yangu akawa anapitisha ulimi kwa nje ya chuchu nilipagawa zaidi nikasema ndoto yangu imetimia Leo Leo napelekewa moto alinilamba maziwa kwa utalatibu sio kwa kuyanyonya kama ao wanaume wa kenya tunasikia wananyonya maziwa ya wake zao mpaka wanaandamana wanawakosesha watoto maziwa

nililegea mwili mzima akashusha ulimi kwenye shingo yangu akaanza kuninyonya shingo mimi nikapagawa zaidi nikawa nausubilia ulimi uje mdomoni niudake kiukweli yeye mwenyewe akuizalilisha jinsia kuwa mwanaume asiye kamilika apana alipeleka ulimi masikioni akanintia wazimu natamani nitoe mguno nyumba yenyewe madilisha juu kote IPO wazi ukitoa mguno unawapa watu faida nilijikaza tu 

kaka anafanya yake wote kama ndio siku yetu ya kwanza kuja duniani tulivyokuwa kitandani kaka taulo kule na mimi ndio nilijitoa fahamu mda mlefu ndio ivyo tena kaka alileta ulimi puani nikawa naona kama navulugika akili kwa spead zaidi natamani nipelekewe moto sasa 

nikasema hapa akuna cha uoga tena kilichonaki nisimwambie nichukue mwenyewe saidi kichwa wazi wake nimpeleke mwenyewe kwenye kibompoli yangu niunganishe vikojoleo sina ujanja kaka akazidi kunilamba pua 

Mimi nikapeleka mkono kwa saidi kichwa wazi nikaushika vizuri umejaa mkononi wa kiume aswaa unapwita pwita kwenye kiganja cha mkono wangu nikaugusisha kwa mwenzie na wao wacheze kaka akaona kumbe nataka alishika mwenyewe saidi kichwa wazi wake akaanza kunisugua kwa nje ya kibompoli yani ananipiga blashi kupitia saizi kichwa wazi wake nilikuwa nasikia raha ndipo nilijuwa kama utoi mguno ujafikishwa mwenyewe nilikuwa natoa miguno nikasema kimoyoni kumbe ndio maana kabila ?? wanapenda katelelo kumbe katelelo tamu

katelelo ndio ivyo nilikuwa nafanyiwa napalazwa na ?? nje ya kipompoli yangu aswa alikuwa anasaga gear yangu nililopokwa mwenyewe kaka niingizie ndani nimezidiwa.

ndio nikaisikia sauti ya kaka akisema badilisha style niingize ndani.

sikulemba nikapiga magoti fasta nikajibinua binu nasikia ulimi kwanza unapita nje ya kibompoli akika nilivulugwa nikawa natanuwa mwenyewe makalio yangu ili asipate tabu afanye ufundi wake vizuri akika nikaanza kukatika sijielewi uku nalalamika kaka inatosha niweke basi ndani.

akaniambia sasa nakuja vumilia nakupa kitu roho inapenda akachukua saidi kichwa wazi wake akanigusisha kwenye mlango wa kibompoli ile anataka kuingiza ndani tu tunasikia vilio nje.

mtoto wa mwenye nyumba na baba yake wanalia kumbe ile ajali ya mkewe baba mwenye nyumba ilimaliza uhai wa mama mwenye nyumba kaka akuendelea na mchezo alivaa taulo lake akaenda chumbani kwake kuvaa suluali akajumuika na watoa pole mimi nikaenda kuchamba kwanza na makopo mawili ya maji ya kujimwagia kutoa jasho nikaenda kuungana kwenye kutoa pole japo msiba umekatisha starehe yangu ila sasa nishajitoa muanga kaka ni wangu kama kunifanya nachukulia kashanifanya maana tumeunganisha vikojoleo na zile ?? za wenge tumetoana yani yeye kamwaga 1 nje la wenge na mimi nimemaliza mbili kwa nje 

nikajiapiza ataye mletea shobo namwambia akatafute wake siwezi tena kuumia.

basi kumbe mwili unasafilishwa unapelekwa moshi kwao ukazikwe siku ya kusafilisha walikuja watu wengi si ndio kaja mpaka yule kaka aliyenipa no za simu na elf 30 ili nimpigie kama nimekubali kuolewa nikashangaa ila nikasema uu msiba kila mtu atakuja wakati tumepanda gali sasa tunasafilisha mwili yule jamaa akaja kukaa kiti kimoja na mimi nilichukia kimoyoni akanipa koti uku akisema tunapokwenda kuna balidi sana koti ili litakusaidia.

nilichukua koti alafu nikajifanya nina majonzi makubwa sitaki stoly na yeye.

mala akaingia kaka kuna dada 1 yupo mbele ya seat niliokaa mimi na uyu nisiyempenda alimwita kaka jina lake mimi sijawai kujua jina lake yeye alimwita maiko za siku NYINGI toka ufiwe na mchumba wako ndio utaki ata kuja kutusalimia mashemeji zako maiko wewe unayo tabia mbaya.

sasa nikatega masikio vizuri kusikiliza jibu la kaka uku najiuliza kumbe amefiwa na mwanamke wake amekufaje swali nilikuwa najiuliza sasa nipate majibu wakati kaka anaanza kujibu tu.

uyu jamaa nisiyempenda akaanzisha palapanda Italia palapanda.

wote wakaitika aliniuzi japo alikuwa yupo sahihi kwenye usahihi wake basi yeye ndio alikuwa mwanzilishi wa nyimbo za maombolezo kakatisha ile stoly niliokuwa naisikiliza kwa makini.

tukafika kule moshi asubui tulifanya mambo ya mazishi sasa tulipokuwa makabulini kaka akaenda kwenye kabuli 1 akaenda kupiga magoti uku analia kwa uchungu.

yule dada namsikia anamwambia mwenzie muone maiko anavyolia kwa uchungu kwenye kabuli la jenn yani maiko Leo lazima nimchukue shemeji yangu nikamliwaze siwezi kumwacha mwenyewe.

yule mwenzie akasema sio vizuri kumchukua maiko wewe unafikili jenn atajisikiaje uko alipo muache maiko alale na wenzie walioleta msiba wa uyu mama yule analia pale sababu kaliona kabuli kakumbuka mbali tu.

yule msichana akasema mimi maiko nilikuwa nampenda kabla ya jenn sema jenn alikuwa na pesa tu sasa ivi ayupo maiko namchukua na mmiliki nimemtafuta mjini kweli kweli sijapajua anapokaa Leo msiba umetukutanisha mjini uyu aliyekufa mama mwenye nyumba yake sasa mimi uku moshi nina chumba changu maiko alale nje wewe aiwezekani atalala chumbani ale vyangu vya kiundani zaidi.

"maneno ya yule dada yaliniuma roho sasa nikasema moyoni nishakula kiapo nalilinda penzi langu nampenda yule kaka sana mala yule jamaa nisiyempenda kaenda kumbembeleza kaka uku anamuuliza kwani nani yako aliyekufa hapa kwenye ili kabuli??

kaka akasema uyu ni mwanamke niliyempenda sana tena sana kanisomesha ili nije kuwa na maisha mazuri kajitoa juu ya maisha yangu sasa siku nilipoajiliwa ndio siku aligongwa na gali akafa chanzo cha ajali furaha ilizidi kina aliposikia nimempigia nikamwambia my nimepata ajila mshahara wa mwaka 1 nakupa wewe my wangu uweke kwa ajili ya harusi yetu 

uwezi Amini ndio ilikuwa simu yangu ya mwisho kwake na neno lake la mwisho alisema mungu ni mwema umemaliza chuo na ajila juu kwakeli tumshukuru mungu nakuja my wangu kukupokea shujaa wangu.

ayo ndio maneno yalikuwa ya mwisho kwangu alivuka balabala bila kuwa na tahadhali gali ikamgonga akiwa anakuja kwangu nampenda uyu mwanamke kafa na moyo wa upendo juu yangu sina la kusema tena.

aliendelea kulia yule msichana mwenye nia mbaya akaenda kumshika mkono kaka akamuuliza shem wewe si unacho chumba uku??

yule msichana akasema ndio.

kaka akasema naomba nikalale kwanza sijisikii vizuri.

yule msichana dua lake akaona limejibiwa kwa wakati akasema usijali nitakutoa upweke my shemela.

akamshika mkono wanaondoka mimi nikavulugwa akili sababu nia ya yule msichana naijuwa namsikia uyu jamaa ananiambia chukua pesa ii ukalale hotelini kesho uludi mjini kwa usafili binafsi.

mimi nishavulugwa namsikia yule msichana mwenzie anasema maiko Leo lazima alale naye yule lafiki yetu maana alikuwa anampenda sana Leo lazima afanikiwe tu mwanaume akiwa kitandani mwepesi kumshawishi.

"maneno yaliniuma moyoni zaidi nikasema sikubali kama noma na iwe noma njnayempenda aende kufanya mapenzi uku najuwa ata sasa naenda kuwafata nazuia zoezi Lao.

nilitoka mbio kwa mala ya kwanza namwita kaka jina lake nimelijua sababu ya msiba nawaona wanataka kupanda piki piki nikaita maikoooooòooo.

akusikia akaondoka na piki piki na mimi nikachukua piki piki namkimbilia maiko nyuma yule jamaa kachukua piki piki na yeye ananifata mimi yani.......

ITAENDELEA 
COMENT NYINGI NISHUSHE NO 11
UJUWE NINI KILIENDELEA

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post