Ushawahi kukutana na hali ya DE JA VU? Yan kuhisi unafanya kitu au kuona tukio ambalo ushawahi kuona huko nyuma? Yan unakutana na tukio au unafanya kitu sehem ghafla unaona kama vile unarudia vilevile na unakumbukumbu kua ni ushawahi kufanya kitu iko au kuona tukio ilo sehem io io, na mda uo uo katika mazingira yale yale?
Hii inasemekana kua binadamu hua tunakuepo katika ulimwengu mwengine na kufanya matukio na vitu tofaut, na akili zetu zinatunza kumbukumbu vizuri hivyo basi katika ulimwengu huu tuliopo sasa tunajikuta baadhi ya vitu kama vile tushawah kufanya au kuona baadhi ya matukio huko nyuma kitu ambacho katika ulimwengu tuliopo hakijawahi kutokea. Haya yanakua matokeo ya kumbukumbu ya akil zetu zinazotunza kumbukumbu ya mambo tunayofanya katika ulimwengu mwengine.
Inasemekana kua kila jambo linalofanywa na binadam katika ulimwengu aliopo bas jambo ilo ilo hufanyika katika ulimwengu mwengine na binadam huyo huyo na hii kupelekea muingiliano wa kumbukumbu unaishia kukumbuka ushawah fanya kitu iko ila katika ulimwengu huu unaona unafanya kwa mara ya kwanza. Hii ndo ile wazungu wanaita PARALLEL UNIVERSE ( mtu kua katika ulimwengu zaidi ya mmoja na kufanya matukio yaleyale)
Nenda katizame movie ya PARALLEL unaweza elewa kidogo na pia wengi wetu tushawahi kupata hali hii ya DE JA VU bisha usibishe 😃
Follow Swahili Podcast
#bongo #matukio #millardayoupdates
@followers
Tags
Makala