1------5
UTAMU WA JAMILA
TUANZE 1
Mtaa ulifurika shamrashamra kwa sherehe nyumbani kwa Mzee Chombo. Ni binti yake Jamila ndiye alikuwa anaolewa siku hiyo. Watu wengi sana walifurika kwenye nyumba ya mzee huyo iliyokuwa na wapangaji saba. Watu walikula na kunywa huku matarumbeta yakisikika mtaa mzima na kuwagusa wapenzi wa hayo mambo.
Mauno ya kunengua kwa kundi la Baikoko Ilala yaliwakonga nyoyo za wanaume hasa vijana wa rika la sasa.
Hawakuwa na aibu hata kidogo kufunua nguo zako walizovaa sare na kuacha shanga na chupi za kizungu (bikini) zitazamwe na watu wote waliowakodolea macho eneo hilo.
Wale wenye kutamani walibaki kumeza mate tu huku wakiachia tabasamu kwa burudani wanayotoa Baikoko Ilala. Huku baadhi ya wamama wakiwageuze pembeni watoto wao wasishuhudie laana hiyo.
Siku hiyo ndio kijana Badu alikuwa njiani kwenye gari aina ya Center na dereva, gari lililobeba vitu vyake kwaajili ya kuhamia kwenye chumba chake kipya.
Alikuwa na furaha sana siku hiyo baada ya kutimiza lengo lake la kuhamia kwenye nyumba mpya anayofikia ambayo walikuwa wakikaribia kufika muda huo.
Akiwa kwenye furaha hiyo walisikia matarumbeta na shangwe zikisikika kwenye huo mtaa. Na jinsi wanavyozidi kusogea mbele ndio sauti hiyo inavyozidi kusikika.
"Ebwana eh! Ona nyomi hiyo kwenye hiyo nyumbo hapo mbele! Tutapita kweli hapo?"alisikika Dereva wa Center akipunguza mwendo akitembea taratibu.
" Dah aisee ishakuwa jau, na sikujua kama leo kuna sherehe hapa."alisema Badu.
"Ah si tunatafuta njia nyengine tupite!"
"Bro hapo ndio tunafikia. Hiyo ndio nyumba yenyewe nayoingiza vitu hivi."
"Hee kumbe ndio tunafikia hapa! Sasa itakuwaje mzee na unaona sherehe kama hivyo!"alihoji yule dereva akiamua kulipaki gari kwanza pembeni kwanza wakijadili.
"Dah hebu wacha nishuke nikacheki mazingira kwanza. Ikiwezekana niongee na mwenye nyumba."
"Fanya hivyo mzee chombo inasubiriwa hii kubeba mzigo mwengine Mwenge."
Alishuka Badu na taratibu akaanza kupiga hatua kusogea kwenye mkusanyiko wa sherehe. Wanawake walikuwa wamenogewa kwa utamu wa muziki na tarumbeta. Walizidi kucheza pale kati huku wakisasambua kila mtu akionesha ufundi wa kukata mauno.
Badu alipita kiubavu ubavu hadi kufikia geti la nyumba hiyo akapata kufungua kuingia ndani.
Huko alikutana na watu kadhaa wakipata chakula muda huo baada ya ndoa kufungwa. Alipiga macho huku na kule kutafuta mtu ambaye anamfahamu na kwa bahati alipata kuona sura ya msichana mmoja aliyemfahamu. Alipiga hatua hadi pale alipo na kupata kuonekana.
"Hee karibu kaka yangu, kwema?"alisikika msichana yule akiwa amejipodoa haswa.
"Kwema sista vipi naona mnasherehe hapa."
"Ehe mwaya dadangu anaolewa leo ndio tunamalizia hapa."
"Aisee sikujua mapema kama kuna sherehe leo. Ila sio kesi sema nini, leo ndio nimekuja na vitu vyangu vipo kwa nje kwenye gari nimekodisha. Sasa nimeona hapa nje nyomi ya watu nimeshindwa kuleta gari mpaka hapo. Sasa sijui nafanyaje na mwenyewe anataka kuondoka."aliongea Badu akiwa anamtazama binti yule aliyejulikana kwa jina la Mwajuma.
"Oh jaman pole mwaya, hebu ngoja kwanza nikaongee na mama tujue tunafanyaje. Naomba nisubiri hapa. Umekula kwanza?"
"Ah wala usijali hapa kwanza nataka nishushe vitu maswala ya kula hata baadae."
"Sawa nisubiri dakika sifuri."aliongea Mwajuma na kugeuka kuondoka zake.
Badu akabaki kumtazama tu msichana huyo akiyejaaliwa maungo yake nyuma.
Alijikuta anazuia matamanio yake hayo ya gafla kwenye mji wake mpya huo.
Alisogea pembeni kuketi kwanza huku akitazama chumba chake kilichopo karibu pembeni yake wamekaa nje wamama wakiwa hawana habari wanakula.
"Dah leo mbona jau sana! Watu wote hawa nitaingizaje vitu humu."alijisemea mwenyewe bila ya kupata jibu kamili. Punde tu simu yake iliita na kuona ni yule dereva wa gari anapiga, ikabidi apokee.
"Ndio bro."
"Dogo vipi mbona kimya?"
"Bro ndio naongea na mwenyewe hapa tujue tunafanyaje."
"Fasta basi si unajua nina kazi nyengine."
"Usijali kaka tunaweka mambo sawa."aliongea Badu na simu ikakatwa.
Alishusha pumzi asijue nini kitajiri.
"Shoga hiki chumba yule ostadhi amehama kumbe?"
"Eh we wawapi! Mbona kaondoka anasiku ya tano sasa, nilisikia za chinichini mama J alikuwa anamlazimisha kila siku atembee naye lakini Ostadh anaimani ya kweli. Kaona isiwe shida kaondoka hata miezi mitatu hajamaliza na kodi yake kaisamehe."
"Mh huyu mama naye hana aibu, kila mpangaji anataka amkaribishe yeye."
"Utamuweza huyo, na ndio mama mwenye nyumba wetu tutafanyaje."
Yalisikia mazungumzo hayo ya wanawake wakiwa wamekaa kwenye chumba ambacho Badu alipaswa kuhamia hapo. Maongezi hayo aliyasikia vema na kubaki kuwatazama tu asijue kinachomaanishwa.
Muda huohuo Mwajuma alirudi akiwa na mama yake moja kwa moja hadi pale alipo Badu, huku watu wakimwita Mama huyo na kumshangilia kama mama shuhuli.
"Oh karibu baba. Hujambo."alisalimia mama huyo ambaye ndiye mwenye nyumba, Mama Jamila.
Badu alibaki kumtazama mama huyo ambaye sekunde chache tu ametoka kusikia wanawake pembeni kuhusu taarifa za mama huyo.
ITAENDELEA.
UTAMU WA JAMILA 2&3
ILIPOISHIA
Badu alibaki kumtazama mama huyo ambaye sekunde chache tu ametoka kusikia wanawake pembeni kuhusu taarifa za mama huyo.
SONGA NAYO
"Asante sana mama, shikamoo." alisalimia Badu.
"Haya, pole mwaya naskia umekuja na gari uhamie leo."
"Ndio mama yangu, nimekuja na dereva hapo yupo nje anasubiri. Sijui tunafanyaje hapa."
"Usijali mwanangu. Hapo mbele kuna fremu yangu haina mtu bado. Utashusha vitu vyako kwenye gari utaviweka humo kwanza. Sherehe imeshaisha hapa ni bibi harusi tu kuweza kuchukuliwa hapa basi watu wataondoka. Nisamehe sana babangu sijakutaarifu mapema kama kuna sherehe. Pole kwa usumbufu huu ulojitokeza."aliongea Mama J akimueleza Badu.
"Usijali mamangu wala hakuna shida. Wacha basi tuongozane ukanielekeze sehemu ya kuweka vitu ili mwenye gari arudi zake."
"Sawa hakuna shida. Mwaju shika funguo hii kafungue ile frem pale aweke vitu vyake. Ongozana na huyu baba atakuonesha."
"Sawa mama. Aliongea Badu na kuondoka zake akiwa sambamba na Mwajuma.
Walifika hadi kwenye gari na Badu akamuelekeza dereva yule ageuze gari na kusogea jirani na eneo hilo ambapo ipo fremu ya mama mwenye nyumba. Zoezi lilifanyika kwa takribani nusu saa nzima kuweza kukamilisha kumaliza vitu vyote kuvishusha na kuviweka ndani fremu. Alitoa waleti yake Badu na kuweza kumlipa pesa yule dereva baada ya kukamilisha jambo hilo. Aliwasha gari lake na kuweza kuondoka zake huku Mwajuma akiwa anafunga geti la fremu ile.
" Nimekusumbua sana besti nisamehe bure maana ulipaswa kuwa kwenye sherehe ya dada yako kule."aliongea Badu baada ya kuona muda wote huo walikuwa sambamba na Mwajuma kuingiza vitu.
"Wala usijali kakangi, hata hivyo sherehe yenyewe ilishaisha waende tu kwa huyo mumewe."aliongea Mwaju na kauli yake hiyo ilimshtua kidogo Badu. Hakutaka kulidadavua sana jambo hilo akikung'uta tu mikono yake iliyokuwa na vumbihuku akitazama kule sherehe inavyoendelea.
"Sasa mimi wacha niingia hivi kati kuna mambo naenda kuyaweka sawa. Huenda nikirudi kutakuwa kumetulia nitakuwa na kazi ya kuingiza vitu chumbani kwangu."
"Sawa hakuna shida, utakaporudi ukihitaji msaada utanijulisha tu."
"Haya nashkuru, baadae." aliongea Badu akigeuka kuondoka zake huku Mwaju naye akirudi zake ndani kwao.
Shuhuli iliendelea huku mzee Chombo akihakikisha kila kitu kinaenda sawa hadi binti yake alipokuja kuchukuliwa na mumewe wakapanda kwenye gari kuondoka, huku magari kadhaa nyuma yakifuata kutoka upande wa mwanaume waliokuja kumchukua mkewao. Watu walicheza hapo kwa muda na jioni ilipoanza kuingia vitu vikaanza kurudishwa vilipokuwa huku maturubai na mikeka ikikunjwa kuonesha shuhuli imekwisha.
Mzee Chombo alipata habari kuhusu kijana Badu kufika toka mchana wa sherehe akiwa na vyombo vyake, alielezwa kile kilichitokea hadi vitu vyake kustoriwa kwenye fremu. Jambo lile lilimsikitisha kuona hawakumpa taarifa kijana huyo. Alichofanya ni kuwachukua vijana watatu anaowaamini wakaenda kwenye ile flemu na kuanza kutoa vitu vyote kuvileta ndani karibu na chumba cha mwenyewe. Walifanya hivyo kumrahisishia kazi hiyo huku vikiwa salama vitu hivyo hasa vikiwa kwa ndani. Kila moangaji alirudi kwenye chumba chake baada ya sherehe kwisha maisha yakaendelea.
Hadi kufika mishale ya saa mbili na nusu usiku Badu alipata kuwasili nyumbani hapo baada kufungua geti na kuingia ndani alipata kushangaa kuona vitu vyake vikiwa pale nje. Alikuja mama J na kumuelewesha kijana huyo aliyekuwa mwelewa wa haraka. Taratibu akaanza mwenyewe kuviingiza vitu vyake. Mama J alibaki kumtazama kijana huyo kwa jicho la aina yake. Alijikuta tu anashawishika kummiliki kijana huyo kingono kama ilivyo tabia yake ambayo baadhi ya wapangaji wameijua.
"Wacha nikuchezee michezo ya hatari utalainika tu mwenyewe. Nyie vijana dawa yenu ninayo."alijiseme mwenyewe moyoni mama J akiwa amevalia dera lake lenye mpasuo mkubwa tu kisha akageuka na kuingia zake ndani huku Badu akiwa vize na kupangilia vitu vyake kuingiza ndani.
Mama J alifika kwake na kumkuta mumewe amejilaza zake kitandabi kwa uchovu wa kutwa nzima. Alibaki kutabadamu tu mama huyo na taratibu akaanza kuvua nguo zake na kubaki kama alivyoletwa duniani. Alijitazama kwenye kioo mashallah si haba alijaaliwa japo umri umekwenda lakini alikuwa na ushawishi. Bila kupepesa macho alichukua bikini yake nyekundu akaivaa kisha akavuta kanga yake nyepesi na kujifunika mwili. Alijitazama kwenye kioo na kubaki kutabasamu tu.
" Hapa atatoka kweli? Hapana huchomoki hapa. Mimi ndio mama mwenye nyimba bwana lazima nikukaribishe."aliongea mama J akidhamiria kweli jambo lake. Alichukua majina kujaza nusu kwenye ndoo ya kuogea, akachukua kopo la sabuni na kutoka zake nje.
Badu akiwa anaendelea na kazi yake mama J alipita kuelekea bafuni akijifanya hana habari kabisa. Alitembea kwa kuburuza malapa kusudi na kweli alifanikiwa kunyanyua macho ya kijana Badu kutazama anayetembea.
Moyo ulishtuka kumuona mama huyo akiwa kwenye vazi lile la hasara kabisa. Alikuwa anatembea kwa kutingisha makalio yake haswaa, kwa mitetemo ile ilimfanya kijana hiyo ameze funda moja la mate akiwa ameshikilia mito ya kitandani pake nje.
"Mh haya majaribu gani tena siku ya kwanza tu hii!"alishindwa hata kufanya kazi yake vizuri usiku huo akimtazama tu mama mwenye nyumba akielekea zake bafuni.
UTAMU WA JAMILA 03
Alibaki amekodoa macho hadi mama huyo alipoingia bafuni. Badu alitikisa kichwa tu na kuachia tabasamu kwa mambo anayoyaona.
"Kazi ipo hapa."aliongea kijana huyo na kuendelea zake na kazi.
Baada ya muda kadhaa kupita Mama Ja alitoka zake bafuni na kusogea kwenye jiwe moja akawa anasugua miguu yake. Muda huo Badu alikuwa zake ndani anaseti redio na tv yake vizuri huku akiunganisha nyaya.
"Nadhani kashaanza kunisoma vizuri, wacha nikammalize kabisa."aliongea Mama J na kukamata ndoo yake kuelekea chumba cha kijana huyo mgeni. Alifika pale na kuanza kubisha hodi, mlango ulifunguliwa na Badu akapata kuuona mwili wa mama huyo ukiwa kwenye kanga moja tu.
" Samahani nakusumbua kidogo mwanangu."
"Ah usijali mama karibu."
"Mh nikaribie wapi bwana! Nilikuwa nasemaje, kuna utaratibu kidogo wa hapa ndani hasa kwenye upande wa usafi na getinii. Usafi tunafanya wiki nzima kwa mtu mmoja. Hivyo ikifika zamu yake kama wewe mwanaume unayekaa pekeyako unaweza kumpa tu mtu elfu mbili anakufanyia usafi bila shaka. Ila kama utaweza wewe mwenyewe hakuna shida. Pia kule getini ifikapo saa tano usiku ukiona geti lipo wazi wewe lifunge maana kila mtu humu anajua. Hivyo hata ukiwa nje fanya mambo yako tambua saa tano mlango unafungwa."
"Ahaa sawa mama hakuna shida, uzuri kazini natoka mapema hivyo sitaweza kufika muda huo. Nitakuwa nimesharudi."
"Haya sawa kijana wangu niliona nikupe taarifa hiyo tu mapema. Nikutakie usiku mwema."aliongea Mama J na kwa makusudi akadondosha kopo la sabuni. Aligeuka na kuinama kuokota akimuachia uhuru wa kuona kwa macho kijana Badu mzigo uliofungashwa vema. Hakina Mungu alimbariki wowowo mama huyo na ndilo ambalo anaringia nalo.
Badu alibaki amesimama tu pale mlangoni ashindwe hata kumuaga mama huyo aliyenyanyuka na kuondoka zake huku akiwa mwenye tabasamu. Aliamini kwa kitendo hicho tayari atakuwa ameanza kuiteka hisia ya kijana huyo mgeni.
" Jamani jamani mama mwenye nyumba kwa staili hii si unanitafutia matatizo humu nionekane nimekuja sio mstaarabu! Mambo gani sasa haya."aliongea Badu akimtazama mama huyo hadi alipoingia ndani kwake na kufunga mlango.
"Bwana eeh kama yale niliyosikia kwa majirani kuwa ndio tabia yake basi amenipata. Nitamshuhulikia vema tu huenda ndio ikawa tiketi ya kutolipa kodi hapa. Si kataka mwenyewe bwana!"aliongea Badu na kuamua kuingia ndani kwake.
Baada ya kupanga kila kitu katika sehemu yake alienda zake bafuni kuoga dakika kadhaa, na aliporudi alijiandaa kutoka kwenda kutafuta chakula usiku huo.
Huku ndani kwa mwenye nyumba Mwajuma baada ya purukushani za sherehe alipata kupumzika sasa. Muda huo kulikuwa kumetulia na kuhisi huenda wazazi wake watakuwa wamelala. Alinyanyua simu yake na kumpigia mtu wake usiku huo.
" Tamu yanguu!" ikisikika sauti ya kidume kwenye simu ya Mwajuma.
"Yes mume mzima wewe."
"Mzima wewe."
"Mimi mzima sjui wewe."
"Niko poa tu."
"Vipi usharudi kutoka Bagamoyo?"
"Ah no, sijarudi bado mpenzi maana kuna gari bado tunalitengeneza hadi likamike ndio tunarudi."
"Oh poleni, haya sawa siye ndio tumemalizia sherehe ya Dada J."
"Hongera yake, na sisi yetu soon itafuata."
"Yaani natamani my niolewe ili nikufaidi vizuri mpenzi wangu. Niwe mkeo."
"Usijali Mwaju ngoja tuyaweke mambo sawa tutalitimiza hilo."
"Haya dear Mungu atujaalie. Nikuache sasa uchakarike ila usiku huu uwe makini mumewangu."
"Usijali my, nipo nashuhulikia hapa gari likiwa fresh nitapumzika."
"Haya uwe makini, usiku mwema my Roja."
"Okay nawe pia."
Alikata simu kijana Roja na kuiweka pembeni, alikuwa zake kitandani akiwa anatokwa na jasho. Aligeuka pembeni na kumtazama mwanamke ambaye alikuwa naye kitandani muda huo akiwa amekunja mdomo.
"Kwahiyo mimi ndio gari hovu unanitengeneza hapa kitandani!"
"Mayasa ebu acha maneno yako bwana, we unadhani ningetumia uongo gani kumfanya akatishe maongezi. We tulia mpenzi wangu ujilie vyako wasiwasi wa nini na nipo na wewe mpaka asubuhi jamani!"alisema Roja kwa sauti ya utaratibu akimlainisha mwanamke huyo. Taratibu tabasamu kikaanza kuonekana kwenye sura ya Mayasa. Naye akajisogeza kwa mwanaume huyo na kupeleka mkono wake chini kushika mtarimbo wa Roja na kuanza kuuchezea atakavyo.
"Hivi Roja unanipenda kuliko Mwajuma kweli?"aliuliza Mayasa kwa sauti laini huku akimtazama kijana huyo akionekana kupandishwa midadi baada ya kushikwa sehemu nyeti.
Hakuna ujanja hapo zaidi ya kukubali kila unachoambiwa ikiwa tayari umeshakamatwa kihisia.
" Hilo ndio jibu Mayasa, na ndio maana nipo hapa kukuhudumia mpenzi wangu. Nakupenda sana tena sana."aliongea Roja na kauli hiyo ilimfariji sana Mayasa.
Baada ya kuaminishwa kuwa mwili ule ni mali yake haswa alijikuta ananyanyuka pale alipo na kuanza kupeleka ulimi wake kifuani kwa Roja kuanza kumtia akshi. Alianza kumnyonyanyonya sehemu mbalimbali ambazo alijua yeye zitamzidisha midada mwanaume na zoezi lake lilifaulu baada ya kuona kijana anaanza kutoa miguno kana bata. Hapo ndipo alipoona atupe karata yake ya ushindi taratibu akashuka chini na kushika dyudyu. Alianza kuilamba kama koni huku akiminya nyanya mbili kila wakati hali iliyomfanya Roja ashindwe kuelewa yupo dunia ya wapi. Alimshika Mayasa na kuanza kumpiga mabusu kedekede yasio na idadi kila sehemu. Alianza naye kujibu mapigo kwa kuchezea sehemu adhwimu. Uzuri wa asili na umbo lake dogo lililojazia kila sehemu hasa wowowo ndilo lililomchanganya kijana Roja kujikuta anaingia penzini kwa msichana huyo Mayasa ambaye ni rafiki wa karibu na Mwajuma.
Chuchu zake zilizochongoka kama msichana wa darasa la saba ziliteka akili za kijana huyo kabisa na kushindwa kuvumilia kumsaliti mpenzi wake. Na kwa ufundi wake wa kuyajua mapenzi ndio yalimchanganya pia Mayasa ambaye hakujali tena urafiki wake na Mwajuma. Hakika alifurahia penzi la Roja kwa siri na hakuna aliyejuwa kuwa wanafanya hayo wawili hao. Siku hiyo chumba cha Roja kilisikika muziki tu kuanzia walipoingia ili kupunguza ukakasi wa sauti zinazotoka pindi wanapofanya yao.
ITAENDELEA KESHO.
UTAMU WA JAMILA 4&5
SEHEMU YA 04
Siku hiyo chumba cha Roja kilisikika muziki tu kuanzia walipoingia ili kupunguza ukakasi wa sauti zinazotoka pindi wanapofanya yao.
Upande wa pili Mwajuma baada ya kujihakikishia mpenzi wake yupo kwenye utafutaji alielekea zake jikoni kupakua chakua apate kula. Muda huo ndio akaweza kumkumbuka yule mpangaji mgeni ambaye mchana wa siku hiyo alikuwa bize na kuhamisha vitu vyake.
"Maskini yule mkaka sijui amekula! Hebu wacha nikamuangalie sijui atakuwa amelala?"aliongea Mwajuma na kutoka zake nje. Aliongoza moja kwa moja kwenye chumba cha Badu akaanza kubisha hodi mara kadhaa bila kujibiwa. Punde tu geti lilifunguliwa na kuingia kijana Badu. Mwajuma aligeuga na kuweza kumuona kijana huyo taratibu alisogea hadi pale kwake.
"Ah kumbe ulitoka! Nikajua utakuwa umelala."aliongea Mwajuma kwa ukarimu.
"Hapana nilitoka sasahivi kwenda kuangalia msosi ila nimekosa kila sehemu hola."
"Oh pole, hata hivyo nilikuja hapa kwaajili hiyo, nilikuja nikuulize kama nikuwekee chakula maana kipo kingi tu kimebaki cha sherehe."
"Dah itakuwa poa sana. Wewe niletee nile maana ninanjaa."aliongea Badu na kumfanya Mwajuma akubali. Alielekea zake ndani kuchukua chakula apate kuleta.
"Anaonekana mkarimu sana. Napaswa nimheshimu tu kwakweli anajali sana watu binti wa watu."aliongea mwenyewe Badu akimfikiria Mwajuma.
Muda mfupi alirejea Mwaju akiwa na hotpot, alimkabidhi mwanaume alibaki kushangaa.
"Jamani si ungenipakulia tu kwenye sahani!"
"Ah nimekuwekea humo ujipimie mwenyewe. Kuwa na amani tu kakangu wewe kula kesho nitakuja kufuata vyombo."
"Aisee nashkuru sana leo umeniokoa maana nimezunguka huko hakuna chakula zaidi ya chipsi tu. Nami niliapa kutokula hizo si unajua wanaume sisi."alisema Badu na kumfanya hata Mwajuma acheke kwa kile alichomaanisha kijana huyo.
"Haya basi wacha nikale miye, nikutakie usiku mwema."aliaga Badu.
" Haya, ndio unaitwa nani vile?"aliuliza Mwajuma.
"Oh nimesahau kujitambulisha kumbe! Naitwa Badu."
"Ahaa sawa, basi usiku mwema Badu."
"Haya nawe pia Mwajuma." aliongea Badu na kushuhudia tabasamu la msichana huyo aliyegeuka na kuondoka zake. Naye akaingia chumbani kwake kupata kula.
Kwa Mwajuma baada kuingia tu ndani alipata kumuona mama yake akitoka zake chumbani kwake na kuonana uso kwa uso.
"Haya kulikoni saizi umetoka wapi?"aliuliza mama mtu akiwa anajifunga kanga yake vizuri.
"Nimetoka hapo nje."
"Nje wapi sasa!"
"Hapo nje kwa huyo mpangaji mgeni."
"Mpangaji mgeni? Imekuwaje mpaka uende kwake? Alikuita?"
"Hapana mama. Unajua toka ile mchana nilimkaribisha chakula akasema yupo bize na kuhamisha vitu. Sasa nikaona si vibaya nikampelekea chakula kaka wa watu na ilikuwa kama Mungu naye alikuwa hajala hivyo ndio nikampa nami ndio nimerudi. Au kuna ubaya?" aliongea Mwajuma kwa kujiamini akimtazama mama yake.
"Mh haya we nenda kalale huko. Ila usijitie kimbelembele kwa watu wageni unamjua tabia yake yule hadi unamzoea hivyo! Shauri yako."alisema mama huyo na kutoka zake nje kwenda chooni kujisaidia.
Mwajuma alibaki kushangaa tu akijua mama yake anamfikiria vibaya. Hakujali sana aliingia chumbani kwake kulala.
Asubuhi ya siku inayofuata mapema Badu aliamka na kuvaa suruali yake ya track na raba huku juu akiwa tshirt yake aliyoikata mikono na kuwa kama singrendi. Alifungua geti kukiwa bado ni Alfajiri na taratibu akaanza kukimbia kama moja ya mazoezi ya kujiweka imara. Ilikuwa ndio desturi yake kila asubuhi hufanya mazoezi na hasa kuenda kwenye viwanya vya mipra na kuanza kuzunguka uwanja kwa raundi kadhaa kisha hunyoosha viungo na kurudi zake.
Ratiba hiyo aliiendeleza kama kawaida takribani wiki nzima hali iliyowafanya baadhi ya majirani humo ndani wajue ndio kawaida yake kwa kijana huyo. Kwa upande wa Mwajuma yeye alijikuta anashawishika katika jambo hilo, hivyo hakusita kumfuata Badu na kumueleza kile ambacho anatamani.
" Hivi unadamkaga asubuhi sana kifanya mazoezi eh!"alihoji Mwajuma.
"Ndio mapema sana kama saa 11 kasoro hivi."
"Mh natamani sana kufanya mazoezi namimi ya kukimbia ila sasa huo muda mimi nakuwa nakoroma. Sidhani kama nitaweza."
"Hamna kila kitu ni kuamua. Kama kweli unayoniya basi nipo tayari kukuamsha nikitaka kutoka ili tuongozane."
"Ahaa hapo sawa, basi naomba kesho tuanze hivyo."
"Ila uwataarifu kabisa na wazee wasije kunijia juu inakuwaje tena."
"Ah wala usijali kwani mimi mtoto bwana, hata hivyo hatunaga mambo ya kufatiliana mi naweza kutoka muda wowote ule wala usijali."aliongea Mwaju akimuaminisha Badu.
Walikubaliana juu ya swala hilo kuwa watakuwa pamoja.
Mchana wa siku hiyo Badu akiwa zake chumbani kwake anaangalia movi alipata kusikia mlango unagongwa. Ilimlazimu kunyanyuka kwenda kuufungua mlango ambapo alishtuka pale alipomuona mdada mmoja akiwa amevalia bukta na jezi ya Simba. Hakika aliumbwa haswa, shepu yake ilidhihirisha wazi kwamba anamilikiwa na watu wenye pesa zao.
UTAMU WA JAMILA
SEHEMU YA 05
" Mambo."alisalimia yule mdada akionesha tabasamu.
"Poa vipi sista."
"Safi tu, samahani mwaya hivi hauna CD yoyote ya sizoni ya kikorea iliyotafsiriwa uniazime nikaangalie?"aliuliza yule mdada na kumfanya Badu aachie tabasamu.
" Wewe pia unakaa humu?"aliuliza Badu akiwa anamtazama yule mdada.
"Ndio mbona nakaa chumba cha pembeni yako hapo. Na nimekuwa nasikia mara kadhaa sauti za muvi nikashawishika kuja kukuomba."
"Dah aisee kumbe nakaa warembo himu jamani!" alitania Badu na kumfanya yule mdada aachie tabasamu zaidi. Tabasamu lililoonesha dimpo zake kwenye mashavu yaliyomvuruga akili Badu.
"Maamae! Huyu dada kaumbwa jamani kah!"alijisemea moyoni Badu huku akiusogeza mlango wake kutaka kuingia ndani.
"Poa basi subiri nikuangalizie."aliongea Badu na kuingia zake ndani moja kwa moja akaenda kwenye meza ya Tv ambapo kuna sehemu ya kuwekea CD.
Akaanza kuchambua kumtafutia iliyo nzuri. Alipata kuona cd moja ya picha ya ngono ambayo aliikumbuka mara ya mwisho kuitazama alikuwa na msichana ndani na ndiye aliyetaka iwekwe watizame na dakika chache tu wakajikuta wanavuana nguo wakayafanya waliyoyataka kwenye kochi.
Aliiweka pembeni na kubaki kucheka tu akikumbuka shoo aliyotoa kwa msichana yule siku hiyo. Alikamata cd moja iliyoandikwa CITY HUNTER kisha akanyanyuka nayo kurejea pale mlangoni ambapo alimkuta jirani yake amesimama.
"Kuna hii hapa moja sijui utakuwa umeshaiona, hebu itazame."alimpatia cd ile yule mdada.
"Waoh jamani huyu mkaka nampenda sana aisee. Na hii nilionaga kipande kimoja tu nikiwa kwenye basi. Wacha nikaitazame saivi maana niko bored sana aisee nikiimaliza nitairudisha."
"Ah hiyo si mpaka kesho tena wala usijali."
"Kama inavipande vichache namaliza leoleo maana sina kazi kabisa leo ni muvi kwenda mbele."aliongea yule dada na kumfanya Badu afurahi. Alimruhusu wakaagana huku yule dada akiingia zake chumbani kwake.
Badu alibaki kutabasamu tu na kuingia zake ndani.
"Hii nyumba inamajaribu sana kwakweli. Wananichokoza wenyewe wakati nilishaachaga zamani." Aliongea Badu akitazama televisheni yake akiwa anaangalia movi.
Upande wa pili Mwajuma akiwa zake ndani alipata kuona ujumbe kwenye simu yake ukimtaka atoke nje. Alifurahi kuona ni ujumbe uliotoka kwa mpenzi wake Roja akimtaka muda huo. Alijipulizia pafyumu yake kidogo na haraka akatoka nje ambapo alikuta kuna gari dogo aina ya IST ikiwa imepaki pembeni ya nyumba yao. Aliisogelea baada ya kuijua na hata alipofika alifungua mlango kuingia ndani ya gari. Alipokelewa na mabusu kedekede ya huba hadi walipotosheka.
"Nilikumisi mpenzi wangu, za huko."aliongea Mwajuma akionesha furaha kumuona Roja.
"Ah tunashkuru huko nzuri tu dear. Hata mimi nimekumis sana mpenzi natamani leo twende tukanyanduane ila nina kazi ya watu gereji aisee sidhani kama nitaimaniza mapema."
"Jamani Roja mwenzio ukisema hivyo yani asss!"aliongea Mwaju na kujikuta anatoka pale alipokaa na kumkalia Roja akianza kumpa mabusu ya mdomoni kuonesha anahamu ya kufanya muda huo.
"Mmmmh Mwaju hebu tulia basi. Unajua tupo kwenye gari na kioo hakina tinted tunaonekana."
"Bwana Roja nifanye basi kidogo hata hapa kama utakuwa bize leo."
"No siwezi kufanya hivyo kwenye gari. Mwaju unajuwa wewe ni expensive sana usijirahisishe hivyo. Thamani yako sio ya kwenye gari mpenzi wangu, najua unahamu na mimi wacha leo nikamalizie kazi za watu then kesho nakuita geto tunagalagazana mpaka uishiwe nguvu kama sikuile."alisema Roja na kumfanya Mwajuma atabasamu huku akimpiga kofi la bega mwenzie baada ya kukumbushwa tukio lililopita.
"Haya bwana mi nitasubiri hiyo kesho. Ila ndio ujue ninanyeg* mpenzi wangu usione najirahisisha kwenye gari hivi ukajua mimi maji mara moja. Nafanya kwakuwa nakupenda wewe Roja."
"Usijali Mwaju na wala sikumaanisha vibaya. Mi najua wewe kwangu hufurukuti nani anabisha hapa mtaani."
"We jishaue tu."
"Huo ndio ukweli mamiloo."
"Haya bwana miye wacha nirudi zangu ndani nahisi huku chini kama kumelowa nshajichafua hapa."
"Pole baby ,mi kesho nakushuhulikia wala usijali. Sawa eh, kamata hizi utatumia basi."aliongea Roja na kumpa Mwaju noto za elfu tano mbili.
"Haya asante my, uwe na kazi njema."
"Okay bye."
Waliagana wawili hao baada ya Mwajuma kushuka kwenye gari Roja akaondoka zake akifurahi tu maana kabla ya kuja kwa Mwajuma alimsindikiza Mayasa hadi kwao kwa usafiri huo na huku napo Mwajuma akionesha kumuhitaji angali hakuwa na hamu naye kabisa muda huo.
Huku Mwajuma naye alirudi ndani hadi chumbani kwake.
Alivua ngua zake na kweli chupi yake ilikiwa imelowana kwa msisimko. Aliitupa kwenye nguo chafu kisha akavaa kanga yake na taulo kwenda bafuni kujisafisha. Baada ya muda alirudi zake na kujifungia ndani hakutaka kusumbuliwa.
Mama mtu muda huo alikuwa zake ndani kwake anapanga nguo zake vizuri.
Mawazo juu ya mpangaji mgeni yakamjia tena jambo ambalo alijikuta analitafakari sana muda huo.
"Huyu namuingiaje huyu hafi leo sijamfaidi!"alibaki akiliwazia swala hilo asipate jibu.
Akiwa kwenye tafakari hizo alipata kufahamu kitu. Aliona kwa kufanya hivyo atampata Badu kwa urahisi. Alinyanyuka pale alipo haraka na kuchukua sidiria yake moja na simu yake ya mkononi akainama kwenye kitanda kisha akavitupia huko mbali. Alipomaliza hilo akabadilisha nguo na kuvaa dela tupo bila ya nguo yoyote ndani kisha akatoka kwenda chumba cha Badu.
Muda huo mwenyewe akiwa bize na kuangalia tv alipata kusikia tena mlango ukigongwa, bila hiyana alinyanyuka na kuufungua mlango akakutana na sura ya mama mwenye nyumba.
SHUHULI IPO HAPO!
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005
Tags
Chombezo 🔞