Unaweza ukajiisi labda ni mwenye bahati sana na mwenye kujua kwa kujihisi labda unafahamu sana kuhusiana na wanawake lakini jibu ni unachokijua ni theluthi tu na umebakisha mambo lukuki ambayo unatakiwa kuyajua kwasababu kila siku wanazaliwa na tabia zipo za kila aina na zinatofautiana.
Nimekuandalia mambo 10 tafauti kuhusiana na wanawake ambayo ulikuwa hauyafahamu na ni vyema kuyafahamu kwa wakati huu maybe yataweza kukusaidia kwa wakati huu au hata baadaye.
1. KUHUSU TAMAA ZAO.
Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa Mama yako.
2. KUHUSU HULKA ZAO.
Wanawake wote huonesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla.
3.KUHUSU KUACHANA.
Mwanaume kumuacha mwanamke anayempenda ni kama simba kuacha kula swala, Mwanamke kumuacha mwanaume ni rahisi kama swala kumkimbia Simba mzee.
4.KUHUSU TABIA.
Jihadhari na maneno ya vijiweni kwamba wanawake wote wako sawa kitabia. No, lakini kumbuka hakuna Mwanamke asie Mwanamke.
5. KUHUSU MPENZI WA ZAMANI.
Mwanamke kujaribu kumsahau mwanaume aliyewahi kumpenda Ni ngumu.
6. KUHUSU KUOLEWA.
Muhimu kuoa, na ni ngumu sana Kumjua mke mwema kabla ya kuoa, ni waigizaji wazuri sana. Kumbuka maneno haya” Muhimu kuoa, ukipata mke mwema utakuwa na furaha, ukipata mke mwovu utakuwa mwanafalsafa.
7. KUHUSU USALITI.
Vizuri kujiandaa kisaikolojia kusalitiwa, ila usipojiandaa waweza kuua mtu au hata kujiua. ukiua mtu maisha yako yatakosa furaha siku zote, ukijiua mwenyewe, hao waliokusaliti wanaweza kuishi kwa furaha zaidi ya ulivyokuwa hai.

Tags
kijamii