TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

DAKIKA 5 TU ZINATOSHA

Ili mwanamke kuweza kufika kileleni anahitaji wastani wa dakika 15-20, ndiyo wanawake wanachelewa kidogo kuliko sisi wanaume. Kuna wanaume wengi hawafikishi hizo dakika katika raundi ya kwanza, wengi hufikisha katika raundi ya pili, hivyo kama wewe huwezi kuunganisha basi unajikuta unamkatisha starehe mwanamek na hafiki kabisa. Lakini kuna wanaume wengi ambao mwisho wao ni raundi moja tu na hapo wanajikuta wamechoka na kulala kabisa.

Wengi sana unakuta hiyo raundi moja hata hawafiki dakika kumi na wengine ni mbili mpaka tano. Ni ngumu kidogo kumfikisha mwanamke kwa dakika mbili au tano, ndiyo maana wanaume wa namna hii wengi huishia katika msongo wa mawazo, kuwa na hasira, kujifanya Malaya kwa kuwa na wanawake wengi na visirani vingine vingi kwakua wanadhani wanadharauliwa. Ila huna haja ya kupaniki, unaweza kumfikisha mwanamke kwa hizo hizi dakika mbili au tano, ni ufundi wako tu.

(1) Acha kisirani muandae kisaikolojia kabla ya tendo; 

Najua unadhani kwakua na kisirani laba ndiyo mwanamke atakuheshimu, labda kwa kuwa na wanawake wengi ndiyo atakuona mwanaume, hapana, mwanamke anakukinahi na kupoteza mood kabisa akijua unachepuka. Sasa kama tena humridhishi kitandani ni dakika tano, akichanganya na mawazo ya meseji za wanawake zako ninakuhakikishia kuwa hata ukimgusa anakua kama anatamani kutapuka, hapati rana na mzuka na wewe unapotea kabisa.

Chakufanya ni kumuandaa kisaikolojia kuwa anapenda, muonyeshe mapenzi kama yote, acha kuchepuka na nguvu zote wekeza kwake, mpe sababu nyingine ya kukupenda zaidi ya kitandani kwani hiyo haipo. Vizawadi mheshimu na mfanye kila akitaka kukuchoka awaze lakini ananipenda, lakini ananijali yaani mpe sababu ya kukupenda tofauti na kuvunjana. Hapo kisaikolojia unamvuta kwako na kumfanya kusisimkwa hata akiguswa na wewe, kwamba anaweza kukuvumilia kwa chochote kwakua unamjali, unakua umeiweka akili yake sawa.

(2) Jua sehemu zake zinazompa mzuka na muandae vizuri;

Kila mwamke ana sehemu katika mwili wake ambayo ukiigusa anachanganyikiwa ijue, acha kukariri matiti sijui na kule chini, hapana kuna wengine ni nywele, wengine masikio na kuna shingo na kuna wengine visigino (dunia hii acha tu uje ukutane na wa kisigino halafu utakiwa ukinyony** kweli mapenzi ufala) jua mwenza wako zake ziko wapi na jifunze namna ya kuzishika vizuri, usiwe na mbwembwe sana, shika taratibu utajua tu.

Kuna wengine tena wanakuelekeza lakini kwakua uko bize na kisirani chako huoni, unapomshika hiyo sehemu unaona anachanganyikiwa, anaweza kukushika, kukubana, kulegea na vitu vingine. Lakini kama hataki hiyo sehemu utaona anakusogeza, kwamba labda wewe umekomalia matoto basi unakuta anasogeza mdomo wako, hakuambii lakini unatakiwa kujiongeza

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post