ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA NO 7
MTUNZI JOGOO POLL
NO 0657 774735
nilijikunja mpaka nikaufikia ?? nikaugusa nikamwona kaka na yeye zile kelele za miguno kama zimemchanganya kama mimi namwona anamshika saidi kichwa wazi wake ananiambia dada nakukuna na uyu kwa nje.
Moyoni nikasema nimeshinda akuna kauzu mbele ya mwanamke samsoni na nguvu zake zote kashindwa katoa siri ya nguvu zake Adam alishindwa akala tunda yeye nani akomae ikiwa jambazi anaweka siraha chini na unaweza ukamtuma utakavyo acha kabisa ii ngozi adimu utamu wake ausimuliki kaka akashika Said kichwa wazi wake anataka anipige blash ili anikune ndio mwanzo uo wa kuingia ndani mimi nikawa naomba ladi ipige tu akinipiga blash ladi ikipiga nastuka najisukumia kwa ndani ikishaingia ndani mchezo umeisha.
wakati kaka sasa kashaigusisha kapiga mpalazo 1 pyaaa nilisisimka nasikia mtu anagonga dilisha uku anasema jamani najua chumba ichi akuna kinachoendelea vyumba vyote wanapiga kelele za mapenzi kama wanashindana wezi wanatumia nafasi iyo kukata dilisha kama upo macho dada amka upige kelele za weziiiii wakimbie naisi yule kijana mpole ajalala chumbani kwake.
kaka aliposikia ivyo saidi alinywea akashuka fasta akavaa suluali akatoka mazima akazunguka nyuma ya chumba chake akakuta ndio wameweka jeki wanataka watanue nondo kaka alichukua jiwe alimpa mwizi yule aliyakekuwa anajiandaa kutanua dilisha kumbe wezi awana ushilikiano mwenzao kadondoka bado wakimbie nae wambebe wao kila 1 na njia yake yani akuna aliyeangalia ata nyuma wapo spead mbaya.
wananchi waliamka wale waliowai kuibiwa zamani walimshambulia yule mwizi kwa mapanga na mawe akafa pale pale.
difenda lilikuja kuchukua mzoga tu.
sasa kulikuwa na zogo zogo kuusu kujadili mambo ya sungu sungu inabidi yaanzishwe bila ivyo tutaibiwa sana yani kama kikao cha dhalula kikafanya kikafika asubui bila kaka kuludi kwenye chumbani kwangu.
niliwalani sana wezi kwanini wasingesubili tupige laundi 1 kwanza alafu ndio waje nikajiuliza sasa nitapataje tena nafasi kama ii tena mimi maana ndio nafasi pekee kama mchezaji kabaki na nyavu tu atakisukuma mpila kwa makalio anashinda dah niliwaza sana.
asubui kaka akatafuta fundi akafungua mlango wake akatengeneza nyavu akamwita mwenye nyumba akamwambia kwamba amepoteza funguo ili kwa usalama zaidi inabidi anunue kitasa kipya sasa amempa tahalifa asije akasema kwanini umebadilisha kitasa bila kumwambia mwenye nyumba.
mwenye nyumba aliongea maneno yenye kuchoma moyo wangu anamwambia kijana ni mstahalabu sana kama ingekuwa utamaduni wa zamani unafatwa wa kuchaguliana watu mimi mwanangu ningemchagulia wewe yani wewe unafaa kuwa mkwe wangu kabisa una vigezo vyote yani sio siri kuna vijana wengine wasingeweza kufikilia anataka afanye ukalabati akushilikishe mwenye nyumba yeye anaweza kuishi kwenye nyumba anamuona mwenye nyumba kama adui yake ona vyumba vyote ivi usiku wa jana walikuwa wanafanya kushindana kwa milele ya kishenzi kasolo chumba chako na cha uyu dada na uyu dada inaonekana labla yupo mwezini ndio maana akasikilizia mdundo kwenye speak.
kaka akamuuliza kwani uyu dada kashawai kuingiza mwanaume ndani kwake??
mwenye nyumba akasema ajawai ila unadhani yule bikla yule anafanya juu kwa juu ili ataki fujo kama yule msichana mchaluko ila kusema yule mwanaume ana uongo unaona kiuno kimejiachia kabisa inamaanisha anayamwaga kwenye 18 zake na wanawake kama awa wa siri wabaya kweli utaona wanatembea na waume za watu kinga ile kujifanya kujiheshimu mtaani ili ata mwenye mume akisikia uko mumeo anatoka dada yule akifanya uchunguzi anachelewa kujua sababu mtaani kote uyu anasifika ana tabia za wanaume kumbe mambo yake anamaliza juu kwa juu anaupiga mwingi kweli kweli Sisi wauni wa zamani tunamjua mwanamke kina chake kupitia kidole gumba cha mguuni hahahahahaha.
kaka akamuuliza mwenye nyumba ebu niambie inakuwaje kidole gumba na kina kinausiana nini na unajuaje ebu nifafanulie na mimi nipate elimu nijuwe kutoka kwa wazee??
mwenye nyumba akacheka akasema mbona ivyo vitu vinajulikana sana ata wanawake waliozaliwa 1980 baazi yao wengi wanajuwa akitongozwa na mwanaume anamwangalia dole gumba kwanza akiona dalili aliyofundishwa ukiona mwanaume dole gumba lake lipo ivi basi ujuwe uyo yupo ivi sasa ukitaka uchelewe kupewa majibu katongoze umevaa viatu ndio utasikia watu wa zamani wanasema zamani unamfatilia mwanamke mwaka ujampata kumbe mwenzio kaambiwa na bibi zake mwanaume ukiona anakuficha dole gumba lake usilione usikubali wewe aujui kila ukimfata umevaa kiatu
na Sisi mababu zetu walituelekeza izo alama kupitia dole gumba unamjua mwanamke mtamu sana na wa kawaida ndio maana zamani utasikia watu wanasema eti yule bado amuoe uyu kaenda kumuoa yule mbaya kumbe wana saau mungu akunyimi vyote anaweza akakupa uzuri akapunguza sukari kwenye kibompoli akakunyima uzuri akakupa sukari ya kutosha wanawake wanatofautiana maumbile kama sisi tunavyotofautiana ndio maana Sisi wengine wanasemekana wana vibamia wengine zinapinda sasa wanawake mama zetu siwezi kuchambua ila juwa wapo tofauti na utajuwaje dole gumba linajuza acha niende siku nyengine nitakwambia kwa upana zaidi.
mwenye nyumba akaondoka.
namsikia mtoto wa mwenye nyumba anasema anamwambia mwenzie kumbe mzazi wangu anapenda yule kaka awe wangu nimemsikia pale anavyosema sasa na mimi mwenyewe nampenda ngoja fundi akimaliza kujenga mimi naenda kuingia ndani namwambia ukweli kaka naomba unifungue bikla nataka awe mwanaume wangu wa kwanza nimpe zawadi ii.
mwenzie akamjibu sio vizuri atakuona ujatulia alafu sifa ya mwanamke kutongozwa sio kujitongozesha utajitia aibu.
mtoto wa mwenye nyumba akasema potelea mbali nikijitia aibu uku bikla sina wakati uo tena fundi kamaliza ngoja niende.
mimi naumia moyoni yani uyu kaka ananiumiza kwa kweli yule mtoto wa mwenye nyumba akaingia ndani akafunga mlango akamwambia kweli kaka nakupenda naomba unifungue bikla.
mimi wakati nimeshasogelea dilisha nimemsikia yule binti kaka namsikia anauliza kweli wewe bikla??
mtoto wa mwenye nyumba namsikia anasema kweli mimi bikla ngoja nivue uwone nataka uitoe wewe bikla yangu usiogope mimi sisomi ata baba yangu anapenda wewe uwe mkwewe nitoe nalala kitandani nakusubilia unitoe.
yani niliishiwa nguvu kweli mwanaume atakataa kutoa bikla namsikia kaka akisema.
nisipo ikuta iyo bikla??
"mimi apo ndio nguvu ziliisha kabisa nasikia kabisa ninayempenda anataka afanye mapenzi yani.............
ITAENDELEA
COMENT NYINGI NISHUSHE NO 8
UJUWE NINI KILIENDELEA
Tags
simulizi