CHUO kinaweza kuwa CHOO
Mkumbushe ndugu au rafiki yako kuwa maisha ya CHUO ni sawa na BONGO MOVIE watu wengi huigiza. Hata yule wa MBEYA vijijini atasema kwao MWANZA....
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi...Anaweza somea Ualimu akawa mhudumu wa Bar au boda boda
2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.wapo watu wenye elimu kumzid yeye ila hawana ajira. Hata wenye ajira bado maisha magumu
3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.... Wapo walio kuwa wanashika nafas za kwanza darasan ila leo Wanazidiwa uchumi na wenzao walio onekana hawana akili
4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea kijijini au wilaya iliyo duni, tena kule ndanindani... Hivyo asijikweze ili aonekane
5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba....Akumbuke chuo ndiko mlokole hujifunza kwenda Club..kulewa na kuvaa nguo za ajabu
6. *Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.* ..kama ni wakike akumbuke anasubiriwa na wale wa mwaka wa 2 na 3 ili asajiliwe ktk orodha ya Kontena jipya....
7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni... Atapata marafiki wapeta starehe. Pesa zake zitaisha
8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani....hela ya chuoni huisha haraka na bila mpangilio hivyo awe makin ktk matumiz yake
9. Mwambie chuoni hakuna. NDOA ila kuna uzinzi.. Hivyo aachane kubeba majukum ya ndoa ikiwa kaenda kusoma. Mwambie kuishi kiunyumba na girl au boy kama wana ndoa sio ujanja ila ni ulimbuken na kesho ataumbuka
10. Mwambie awe na msimamo na asikurupuke kuanzisha mahusiano chuon ikiwa nyumban ana mtu anae mpenda kwa dhat.. Chuon kuna watu wapo kuharibu Malengo ya wengine awe makin
11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanatamaa ya ngono hivyo akiwa mvivu darasan bas atafeli na ili apewe Marks itabid awe tayar kumvulia c***i kila muhadhir ambao weng wao wagonjwa
12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.
Tags
Elimu