Tahadhari:Kama Wewe Ni Mwanaume Au Una Baba/Ndugu/Jamaa/Rafiki/Mpenzi Wa Kiume Basi Huu Ujumbe Ni Wako Kabisa... Soma Mpaka Mwisho...!
Je wewe ni mwanaume ambaye umekua na changamoto kama vile:
➡Maumivu ya korodani
➡Maumivu katika kichwa cha uume
➡Kushindwa kuzuia mkojo au kushindwa kuanza kukojoa
➡Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
➡Maumivu au kusikia moto wakati wa kukojoa
➡Maumivu wakati au baada ya kufika kileleni
➡Kuona damu wakati wa kukojoa au katika shahawa zako
➡Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo,kiuno,mapaja,nyonga na mbavu
➡Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
➡Kuhisi kibofu kimejaa mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki lakini ukirudi kukaa unahisi kutaka kwenda kukojoa tena
.
Kama umekua na changamoto japo 3 kati ya hizo nilizozitaja basi ukae ukijua kwamba kuna uwezekano mkubwa tayari una magonjwa ya tezi dume
.
.
______________________________
Salim Manoti
Simu/whatsapp: +255716778844
Unaweza kuja moja kwa moja inbox kwa kubofya hii link hapa chini
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
______________________________
Ninasema magonjwa ya tezi dume kwasababu yapo magonjwa mengi ya tezi dume kwahiyo kwa dalili hizo unaweza kuwa na ugonjwa wa tezi dume kama kutanuka kwa tezi dume (prostate enlargement) , maambukizi ya bakteria katika tezi dume (prostatitis) au saratani ya tezi dume (prostate cancer)
.
.
Najua unajiuliza Tezi Dume ni nini??
Tezi dume ni moja ya kiungo cha uzazi cha mwanaume ambapo kila mwanaume anazaliwa nacho.Hata awe amezaliwa leo hicho kiungo atakuwa nacho..
.
.
Tezi dume ina kazi nyingi sana kwa mwanaume ikiwemo kutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizotengenezwa kutoka kwenye kiwanda cha kutengeneza mbegu (korodani) na pia husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahilii
.
.
Tatizo linakuja pale tezi dume hii inapopatwa na maambukizi ya bakteria mbalimbali kama wa U.T.I na aina zingine za bakteria au za magonjwa ya zinaa hivyo kupelekea tezi dume hii kuanza kuvimba/kutanuka
.
Endapo una magonjwa ya tezi dume basi upo hatarini kupatwa na yafuatayo:
➡Utasa
➡Kushindwa kumridhisha mpenzi wako kwenye tendo la ndoa
➡Kuwahi kufika kileleni
➡U.T.I sugu
➡Magonjwa ya figo
.
.
Jinsi ya kulinda Tezi dume yako ni kwa kuepuka yafuatayo:
➡Kubana mkojo kwa muda mrefu
➡Utumiaji wa pombe na sigara
➡Vyakula vyenye viungo vingi
➡Kufanya mapenzi kupitiliza
➡Kuvaa nguo za ndani za kubana
.
Unaweza kutumia vyakula au matunda ya asili kwa ajili ya kuepuka magonjwa ya tezi dume kama vile Nyanya zilizopikwa, juice ya nyanya ,ovacado,mbegu za ufuta,papai,tikiti maji na mbegu zake,mboga za kijani bila kusahau virutubisholishe vyenye madini ya zinc
.
.
BY THE WAY unajua kwamba kwa kutumia program yetu mpya iitwayo PROSTATE CARE PACKAGE utaweza kupona magonjwa ya tezi dume bila upasuaji wowote na kuleta heshima mara dufu ya tendo la ndoa??? NDIO ni kweli kabisa..
.
.
Program hii itakusaidia kwenye vitu vifuatavyo:
KWANZA:
➡Italinda tezi dume na kuondoa kabisa tatizo la kutanuka kwa tezi dume
PILI :
➡Itadumisha afya ya kibofu cha mkojo na kukuepusha na magonjwa katika kibofu kama U.T.I za mara kwa mara
TATU :
➡Itaboresha uwezo wa ufanyaji wa tendo la ndoa
.
.
Endapo wewe ni Mwanaume unayejali afya ya uzazi wako basi program hii ni maalum kwako hata kama hujaanza kuona dalili zozote za magonjwa ya tezi dume ila utaweza kutumia kwa ajili ya kujikinga na kulinda kiungo hiki ambacho ni muhimu sana kwa mwanaume yoyote ile
.
.
KUMBUKA mwanaume ni tezi dume na tezi dume ni mwanaume. URIJALI wa mwanaume unaanzia kwenye tezi dume yake
.
.
Watu wengi hudhani OPERATION ndio chaguo sahihi lakini ukweli ni kwamba OPERATION huwa ni chaguo la mwisho unapoona umekosa tiba kabisa..
.
.
Sasa wengi huona wamekosa tiba sababu hawajui kama kuna bidhaa za ambazo zitakazoenda kuondoa tatizo lao kabisa
.
.
Wengi baada ya upasuaji hukumbana na changamoto kama vile:
➡Nguvu za kiume kupotea na uume kushindwa kunyanyuka kama zamani
➡Magonjwa ya mzunguko wa damu kama vile moyo n.k
➡Hamu ya tendo la ndoa kuondoka kabisa
➡Ugumba
.
KUMBUKA unaweza kuzuia na kutibu ugonjwa huu bila upasuaji wowote. Na usisubiri mpaka uanze kuona madhara ndio uchukue hatua.
Chukua hatua leo kwa kuanza na program yetu hii ya PROSTATE CARE PACKAGE. Program hii imehusisha bidhaa za virutubisholishe zilizotengenezwa na vitu vya asili bila kuweka kemikali yoyote. PROGRAM hii pia muhimu kwa wale ambao walishafanyiwa upasuaji mara kadhaa halafu bado tatizo limerudi tena na tena..
Unachotakiwa kufanya ili kupatsa program hii ni kuwasiliana nami sasa hivi kwa Kuniachia ujumbe mfupi wa kawaida au whatsapp au kunipigia simu kwa:
Tags
AFYA