DijitoStore - Business software

MBINU ALIYOTUMIA MPISHI NDANI YA MELI YA TITANIC

JE WAFAHAMU?

Mpishi wa meli ya Titanic Charles joughin, wakati meli inazama alikunywa chupa nzima ya pombe aina ya whiskey ambapo ilimsaidia kuzalisha joto na baada ya meli kuzama aliweza kuvumilia ndani ya maji ya baridi nyuzi joto -20C kwa masaa ma 3 mpaka alipo okolewa na alikuwa ni mmoja Kati ya watu wa mwisho kuokolewa katika ajali hiyo.
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post