TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

JE UNA TATIZO LA MIGUU KUTOA HARUFU? soma Makala Hii

Je Una Tatizo La Miguu Kutoa Harufu????…….
.
.
Bofya hii link hapa chini ili uweze kuwasiliana na mshauri kwa njia ya whatsapp na utahudumiwa kwa haraka sana. Pia utapewa ushauri bure kabisa. Bofya sasa hivi
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
________________________________
Au Piga Simu/Msg :0716778844
________________________________

Inawezekana wewe ni muhanga au ni mmoja wa watu ambao mtakua mashuhuda kwa baadhi ya familia mpaka kufikia kumsema au kumcheka mtu kisa ananuka miguu

Hebu jifikirie kwanza unafika nyumbani unavua viatu tu unaona mtu mmoja mmoja ananyanyuka, au unaona wanakonyezana na kuanza kucheka na mbaya zaidi inawezekana wewe ndio baba mwenye nyumba yaani mpk mfanyakazi wako wa ndani anajua tatizo lako la kutoa harufu miguuni au utasikia wanasema kwa mafumbo gari taka linapita, je utajisikiaje kama ni wewe??

Awali ya yote nichukue nafasi hii kuwapa pole sana wale wote wenye hili tatizo asilimia kubwa wakiwa ni wanaume.

Ni tatizo linalokera na kufedhehesha sana, hivyo kuwanyima wengi raha na kukosa kujiamini.

Hili tatizo lina viashiria na vyanzo vingi lakini ukiachana na lile tatizo linalowekwa kwenye kundi la magonjwa ya ngozi kutokana na maambukizi ya vimelea vya bakteria na fangas, kuna chanzo kingine kisichopewa kipaumbele na wengi! Nacho ni uchafu, jasho na kutosafisha vizuri miguu.

Wengi wetu ni mabingwa wa kuoga kwa kumwagia maji na kupaka sabuni na kujisuuza bila kujali sehemu muhimu za maungio na viungo vilikobanana. Maeneo haya ni muhimu kupewa usafi wa pekee ama wa ziada.

Kwa mfano vidole miguuni licha ya kuoga mwili lakini ni muhimu sana kumalizia kwa kusafisha kwa makini sehemu zote katikati ya vidole

Kuondoa tatizo la harufu mbaya miguuni na kwenye viatu wala sio kazi kubwa ni kuzingatia usafi wa miguu na viatu;
1. Kila jioni mtu mwenye tatizo hili anatakiwa aoshe miguu yake na maji ya uvuguvugu vizuri kwa kutumia sabuni yenye uwezo mkubwa wa kuua vimelea mbalimbali hasa katikati ya vidole, kisha akaushe vizuri, na kuiacha ipate hewa.

2 Usirudie kuvaa soksi bila kuifua kwanza itazidisha kutoa harufu. Na hakikisha soksi unapovaliwa iwe imekauka vizuri ikiwa na ubichi itaongeza matatizo zaidi.

3.Usirudie kuvaa viatu hivyo hivyo mara kwa mara, mtu mwenye tatizo la kutoa harufu kwenye miguu na viatu, anatakiwa awe na walau pair mbili za viatu. Ili pair moja akivaa leo kesho anavaa pair nyingine huku ile nyingine anaianika mahala pakavu penye hewa ya kutosha ili kukausha unyevu nyevu ndani ya viatu, inasaidia sana kupunguza harufu.

4.Chukua baking soda au powder nyunyizia ndani ya viatu kisha vianike hata kwa saa moja au zaidi, kisha vitoe vikungute na visafishe kwa ndani na kitambaa kikavu, na viache vipate hewa, baking powder inasaidia sana kutoa harufu
  
5.Paka poda (poda za watoto) miguuni kusaidia miguu kuwa mikavu kabla ya kuvaa viatu hasa katikati ya vidole.

6.Tumia mafuta ya nazi halisi kupaka katikati ya vidole mara mbili kwa siku..
.
.
Endapo umejaribu njia mbalimbali lakini bado tatizo lipo basi tumekuandalia SULUHISHO la kudumu litakalokuondolea hiyo kero yako na kukusaidia ujiamini kuvua viatu popote bila kuwa na wasiwasi.
  
Suluhisho hilip pia litaondoa changamoto zote za fangas za miguu Pamoja na fangas sehemu za korodani, miwasho sehemu za korodani na Weusi sehemu za Ngozi iliyo karibu ka korodani
Unachotakiwa kufanya ili uweze kupata SULUHISHO hili ni KUPIGA TU SIMU au KUTUMA UJUMBE sasa hivi kwenda namba +255716778844 ili uweze kupata tiba yako

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post