TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

KULEGEA KWA UKE

USHAWAHI SIKIA KULEGEA KWA UKE??
.
Kulegea kwa uke ni moja ya mada inayowakuna sana wakina mama na wakina dada . Wengi hupendelea zaidi kuwa na uke uliobana ili kuwafurahisha wenza wao. Kuna nadharia dhana potofu nyingi sana kuhusu suala la uke wengine huamini kwamba Uke unatakiwa kupoteza hali ya kutanuka na kusinyaa na kuwa mdogo miaka yote.
______________________
Salim manoti

Simu/whatsapp: 0716778844

Bonyeza sasa hivi hii link chini ili tuchat moja kwa moja whatsapp kwa ajili ya ushauri na tiba
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
___________________________________

Uke ni kiungo chenye lastiki maana yake kinaweza kunanuka ili kuruhusu kutoka mfano mtoto na vitu kuingia yaani uume. Lakini haitachukua muda mrefu kwa uke kusinyaa na kurudi katika hali ya kawaida.

Uke hutanuka, kulegelea na kuongezeka ukubwa kiasi fulani kadiri umri unavyoongezeka na unavozaa zaidi.

Nataka nikwambie kulegea kwa uke ni dhana mbaya ambayo inatumika kuwadhalilisha wanawake, na inawatokea zaidi hasa pale wanapoachana na wanaume zao.
Wanaume hutumia hiki kama kigezo na silaha ya kuwadhalilisha wanawake kwamba wana uke mpana na wenye maji (bwawa) kitendo ambacho siyo kizuri. Dhana potofu ni kwamba mwanamke mwenye kulegea kwa uke amekutana kimapenzi na wanaume wengi.
.
.
Ukweli ni kwamba haijalishi umekutana na wanaume wangapi uke ni lastiki unaweza kutanuka na kusinyaa na ukaendelea kuwa kwenye ubora wake kama kawaida.
.
.
Uke Uliokaza Siyo Kitu Cha Lazima Sana:

Ni muhimu kufahamu kwamba kuwa na uke uliokaza sana inaweza kuashiria una tatizo la kiafya hasa pale unapoingiliwa na kupata maumivu makali pamoja na kwamba mwenza wako amekuandaa vizuri.
  
Mwili wa mwanamke unaposisimka misuli ya uke inalegea ili kuruhusu uume kupenya vizuri.

Kama misuli ya uke bado imekaza basi itakufanya upate maumivu makali sana na hutofurahia na kumaliza tendo la ndoa. 

Kama tatizo la maumivu ya uke yataendelea basi weka appointment na daktari wa magonjwa ya wanawake ili upate vipimo na ushauri zaidi maana unaweza kuwa na matatizo yafuatayo:
1. Hujaandaliwa Vizuri Na Uke Kutolowa Inavyotakiwa:

Mwili wa mwanamke unaposisimuliwa basi huweza kutoa majimaji ya asili ambayo hulaishisha uke. Hivyo hakikisha mwenza wako anakuaanda vizuri kabla ya kukuingilia.
  
Kama una tatizo la kupata majimaji kidogo haijalishi umeandaliwa kiasi gani basi tembelea stoo yetu kuchukua virutubisho ili ufurahie tendo la ndoa
.
.
2. Maambukizi Au Ugonjwa:

Maambukizi hasa ya kupitia ngono ni chanzo cha kupata maumivu wakati wa tendo.
.
.
3. Ajali Na Msongo Wa Mawazo Kupita Kiasi:

Ajali kwenye maeneo ya nyonga na mfumo wa uzazi kwa ujumla inaweza kusababisha maumivu makali wakati watendo la ndoa na kukaza kwa uke.
  
Hivyo hakikisha umepona vizuri kabla hujaanza kushiriki ngono
.
.
4. Tatizo La Viginismus:

Vaginismus ni tatizo la uke ambapo misuli ya uke inaweza kukaza pasipo hiyari ya mwanamke na hio kuzuia uume kupenya.
  
Wanawake wachache sana hukubwa na tatizo hili yaweza kuwa mmoja kati ya wanawake 500.
  
Tatizo hili linaweza kuletekezwa na hofu na msongo wa mawazo. daktari anaweza kutumia tiba zaidi ya moja katika kutatua shida hii ikiwemo kuongea na mgonjwa na kumshauri ama kutumia vifaa vya kutanua uke.
.
.
Ubora Wa Uke Unabadilika Kadri Ya Muda Na Umri:

Fahamu kwamba vitu viwili vikubwa vinavyoathiri ubora na uwezo wa kunanuka na kusinyaa kwa uke ni umri na mara ngapi umezaa watoto.

Kufanya ngono mara kwa mara na kubadilisha wanaume siyo tatizo na haviathiri uke wako.
  
Kadiri unavozaa zaidi ndivyo misuli ya uke huchoka na kulegea, wanawake waliozaa zaidi ya mara moja huchoka zaidi. 

Umri pia kadiri unavosonga ndivyo uke huchoka zaidi hatakama uliwahi kujifunguaama laa.
.
.
Kulegea Kwa Uke Kutokana Na Umri:

Unapofikia umri kuanzia miaka ya 40 utaanza kuona mabadiliko. Hii ni kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa homoni ya estrogen pale unapokaribia kukoma hedhi(menopause) .
  
Utaanza kupata dalili kama:

-Uke kusinyaa na kuwa mdogo
-Kukauka kwa uke
-Kupungua kwa tindikali kwenye uke
-Uwezo wa kutanuka kupungua
.
.
Kulegea Kwa Uke Kutokana Na Kuzaa:
Ni kawaida kwa uke kulegea na kupungua ubora wake baada ya kujifungua. Hii inatokana na misuli ya uke kunanuka sana ili kuruhusu mtoto kupita.
  
Baada ya kujifungua utagundua kwamba uke umebadilika kuliko ulivyokuwa mwanzo.
  
Usipate shaka maana hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mwanamke lakini isichukue muda mrefu, maaan uke unatakiwa urudi katika ubora wake baada ya miezi kadhaa.
  
Japo haitarudi 100% kama shape ya mwanzo. Kama umejifungua mara nyingi zaidi basi uke utakuwa umetanuka zaidi na kupoteza lastiki yake kwa kiasi kikubwa.
  
Najua hii ni habari mbaya kwa wengi lakini usipate shaka nitakuelekeza mazoezi ya kufanya pamoja na virutubisho vya kutumia ili kukaza uke na kurudi kama zamani.
.
.
Jinsi Ya Kukaza Misuli Ya Uke Iliyolegea Kupitia Mazoezi Ya Nyonga
Mazoezi ya nyonga ni njia nzuri na salama ya kukaza misuli ya uke inayoitwa(pelvic floor muscles). Misuli hii inasaidia kuweka sapoti kwenye:

-Kibofu cha mkojo
-Kwenye eneo la haja kubwa
-Utumbo mdogo 
-Mfuko wa mimba (uterus)

Misuli ya pelvic floor inapolegea kutokana na umri kwenda ama kuzaa: basi utaanza kupata dalili kama:

-Kuponyoka/kutokwa kwa mkojo pasipo na hiyari yako
-Kujiskia hali ya kukojoa mara kwa mara
-Kupata maumivu ya nyonga 
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
.
.
Mazoezi ya pelvic floor yanaweza kukusaidia kwa kesi za kurudisha ubora wa uke, lakini kama unashindwa kudhibiti mkojo mara kwa mara na kuvuja basi hakikisha unapata vipimo maana yaweza kuwa una shida ingine kubwa ya kiafya. 
.
.
Najua sasa unahamu ya kusikia kuhusu mazoezi haya basi na tuanze kuyachambua:

-Kegel Exercise:
Kwanza unatakiwa kufahamu kuhusu misuli inayohusika katika kukusaidia kwenye safari yako ya kukaza uke. Fanya zoezi hili wakati unakojoa bana mkojo katikati.Ukifanikiwa zoezi hili basi tayari umetambua misuli yako ya kuitumia katika zoezi linalofuata, malizia kutoa mkojo iliobaki baada ya hapo fuata maelekezo haya

1. Tafuta mahali pazuri pa kufanyia zoezi ukiwa nyumbani kwako, sehemu ambayo unaweza kulala chali ili tuanze zoezi

2. Kumbuka misuli uliyokaza pale ulipokuwa unakojoa, basi tumia misuli hiyo hiyo.

3. Kaza misuli yako kwa sekunde 5, kisha relax kwa sekunde 5 zingine

4. Rudia zoezi hili mpaka awamu 5 kwa wakati mmoja unakaza unaachia.Kadiri unavoendelea na kulizoea zoezi hil basi ongeza muda wa kufanya zoezi hadi sekunde 10 kutoka sekunde 5 za awali.
  
Hakikisha usitumie misuli ya tako(usibane matako), tumia misuli ya ndani ya uke na nyonga (pelvic floor muscles). Kwa matokeo mazuri zaidi fanya seti 3 za mazoezi ya kegel mara 5 mpaka 10 kwa siku.
.
.
-Pelvic Tilt Exercise:

Kukaza uke kwa kutumia zoezi hili fuata maelekezo haya

1. Lala chali kwenye floo kisha mikono inyooshe chini
2. Vuta tumbo kuelekea ndani kwa kubinuka kuelekea juu, unapofanya hivi sehemu ya mgongo itakuwa flati
3. Endelea kukaza tumbo lako kwa sekende 4 bila kuachia
4. Rudia hili zoezi mara 10 kwa kukaza na kuachia kila baada ya sekunde 4, ndani ya muda mmoja na urudie seti 5 ndani ya siku moja.
.
.
USHAURI:
Ni vyema ukiwa unafanya mazoezi haya pia ule vyakula vyenye zinc au virurubisho lishe vilivyo kwenye mfumo wa vidonde vyenye zinc ili kusaidia misuli yako yote ikiwemo misuli ya uke.

Tiba hii na mazoezi haya ni kwa jinsia zote hata wanaume pale wanapotaka hasa dhakari zao zisimame zikiwa imara sana na zenye nguvu.

Kama ungependa kupata virutubisho lishe hivyo basi usisite kuwasiliana nami kwa :

Simu/whatsapp: +255716778844

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post