SEHEMU YA MWISHO..
......... simulizi hii imetolewa katika Ukurasa Wa Facebook Wa MADEBE LIDAI..................
Nilirudi kwenye msiba, ndugu zake walikuja na kulia tena sana. Hata wale ambao hawakuwahi kuja kumsalimia hata mara moja alipokua mgonjwa walijifanya kulia sana.
Lakini baada ya siku mbili wote walirudi kwao na familia zao. Alibaki Mama tu na sisi watoto wake. Badala ya kulia nilijikuta natabasamu, nikakumbuka maneno ya Baba kuwa "Watakuja watalia lakini mwisho wa siku atabaki mkeo na wanao."
Nimeandika hii baada ya Mke wangu Kuniambia Mwezi wa 8 ana jambo Muhimu kwenu Mashabiki zake hebu mfollow Mama Bosi] Mama Bosi]
Tags
simulizi