Mara nyingi Mwanaume anaweza kumwacha mwanamke mwenye shape, sura na mali nyingi akaoana na mtu anayetazamika wa kawaida.
Mwanaume hapendi uzuri au utajiri utakaompa FEDHEHA kwa kushindana na wanaume wengine au kusimangwa.
Mwanaume huhitaji UTII na FARAJA maana swala la umbo au sura kwa mwanaume wakati mwingine si kitu cha maana sana. Mwanaume anao uwezo wa kujifikisha kileleni hata bila mwanamke.
Mwanaume kama mwandishi wa habari, huhitaji tukio/kisa ila maelezo atajaza yeye mwenyewe. Mwanaume anahitaji HISIA tu swala la kufika kileleni hupikwa kwenye akili yake kwa TASWIRA. Picha ya kitovu cha mwanamke aliyemuona kwenye tv kinaweza kumfanya afike.
Kwahiyo dada angu tako, sura au chuchu nzuri huleta hamasa tu wala hazimfanyi mwanaume akuoe ndio maana mwenye matako na sura nzuri wengi wanatumika tu maana hawana utii na staha. Uzuri bila akili sawa remote bila betri...........
Tags
Maarifa