Hakuna namna bora ya kukuza na kuendelea mahusiano yako au ndoa yako kama kumkubali ulie nae, kumkubali ulie nae kuna kupa nafasi ya kumpa thamani ya kweli, kumfanyia matendo mema na mazuri juu yake, kumpa ubora unao stahili na jambo jingine kubwa hata anapokosea utakuwa ni mwepesi wa kumsamehe tena kwa dhati kabisa na hata unapomkosea basi lazima utamuomba msamaha wa kweli, kitu kingine ambacho endapo ukimkubali ulie nae ni kuwa na ushirikiano nae katika mambo au jambo lako. Tuwakubali tulio nao na tuwape thamani.
Unamaoni Gani Juu Makala Hii fupi
Tags
Maarifa