TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

NONDO ZA MAHUSIANO

Ogopa sana mwanaume au mwanamke anae kuambia kuwa mpenzi mke au mume ulie nae hamjaendana nae! My sister my brother ukimuacha tu mpenzi mke au mume huyo na ukampata mwingine,yule yule alie kuwa a nakuambia hamuendani wala kufanana na yule mwanzo atakuambia tena kwamba bora yule wa mwanzo kuliko huyu ulie nae sasa,hayo ndio maajabu ya hivyo ya watu wanaoizunguka ndoa ama mahusiano yako. Kuwa makini sana na kauli za marafiki jamaa na ndugu zako kuhusu kumsema vibaya mpenzi mke au mume wako,kumbuka wewe ndie ujuae uzuri na ubaya wake,jifunze na ubadilike.

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post