TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

NONDO ZA MAHUSIANO

Usiogope kumwambia ukweli mume mpenzi au mke wako pale anapokosea hata kama unahisi hatokusikiliza au kukubaliana na wewe,wewe mwambie tu kwa sababu unahitaji amani katika mapenzi yenu na pia lazima utumie njia rafiki ili kumfikishia ujumbe huo,usiogope kusema au kumwambia ukweli kwa sababu ukweli huleta amani furaha na upendo katika mapenzi.

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post