Kujenga au kutengeneza FURAHA na AMANI katika mahusiano au ndoa yako haina kuchelewa wala kuwahi ni vile tu mioyo yenu itakavyo amua kuridhishana na kushibishana upendo na mapenzi ya kweli,anza sasa kutimiza wajibu huo kwa mpenzi mume au mke wako usisubiri kesho kwani leo yako ina thamani zaidi kuliko kesho yako. Mbundason
Tags
nondo za Mahusiano