ABOUT LOVE_O1❤️🤔
Mihemo ya hapa na pale aliyokuwa akihema huku akitoa pumzi zito lenye joto ndilo lilizidi kunichanganya na kunifanya nipate msisimko zaidi wa kuendelea kula tunda lake.Nikiwa katika uwanja huo wa sayari ya mapenzi Bado niliendelea kumpa mautunda yangu kwa kuendelea kumlamba kwa anzia shingoni mpaka kwenye kitovu chake na kisha kupeleka ulimi wangu mpaka kwenye ikulu yake na kwa ufundi na taratibu nikaanza kuchezesha ulimi wangu bila ya uoga wowote.
"ooohh!!!, assssh!!!! aaaaaa!!!! ma..ma..!!!ooooh!!!,ba..by..aaaaaa..p"hakika hakusita kupiga kelele ya miguno ya raha baada ya mimi kuzidi kuvuka mipaka katika uwanja wake huku nikitumia ujuzi niliokuwa nao kwa kuendelea kuichezea ikulu yake kwa kuingiza vidole vyangu kama vitatu katika ikulu yake na kusugua sugua kwa kupekecha hali iliyozidi kumpa mori na kumfanya aruke mithili ya kuku anayetaka kuchinjwa na kuanifanya nimshikilie kwa ustadi wa hali ya juu wenye msisimko ulionisisimua sana
"Baa..by...una..sub..iri.nn n..wekeee"sauti ya shinda yenye raha ndani yake akanipa ruksa nimetembelee kabisa hali iliyonifanya niiti mamrisho kutokana na ukweli mpaka alipofikia aliitaji dawa hiyo.sikuwa na muda wa kupoteza nikachukua nanii yangu nakuiweka kwenye ikulu yake taratibu huku nikiendelea kumnyonya denda zito lenye utamu zaidi ya asali.Hakika sikuwa nabudi kumpeleka mbio mrembo huyo aliyekuwa akilalamika kila wakati kutokana na speed kali niliyokuwa nikimpeleka licha ya kuwa na feni kubwa iliyokuwa imewekwa Namba Moja inayozunguka kwa kasi lakini majasho mengi yalikuwa yananitiririka hali iliyomfanya mrembo huyo awe ana nifuta kwa kutumia shuka huku akiniangalia kwa macho yake maregevu kama mtu aliyekunywa pombe huku akishindwa kabisa kuutawala mchezo kutokana na mimi kuupania kwa kiasi kikubwa.siku na taka sifa la hasha tatizo lilikuwa Mtoto mwenyewe ana ita kaumbika ukimuangalia tu anakupa hamasa la kuendelea na mchezo.hakika wala sikutulia niliendelea kubadilisha style(mikao)kila pale ninapojisikia huku yeye akifatisha kila ninachofanya
"Baby..Ba..by basi..ooo...unaa..niuaa..aaaaahaa ooooh inaaatosha uiwiiiiiiiii"hakika hakusita kulalamika kutoka na jinsi ninavyompeleka puta nikiwa katika mkao wa chuma mchicha Niliendelea kumkimbiza huku nakupuuzia kulalamika kwake.nikiwa katika hali ya kutaka kumbadilisha mikao mingine ghafla nikamuuona katulia tuli huku macho yake yakiwa yamefumba.nilijaribu kumuamsha lakini hakuitika na hata pale nilipojaribu pia kumtingisha ilikuwa kazi bure.kwa hali ya uoga Nikapeleka masikio yangu katika mapigo yake ya moyo lakini hakuna kitu nilichosikia
"Mungu wangu niumeua"nikiwa katika hali ya mshtuko ulisababisha nianze kutetemeka nikajikuta nikutoka pale kitandani na kuanza kuutafuta mlango
"Ngoo!!!,ngoo!!!,ngooo!!!,"lakini kabla hata sijafikia mlango sauti za kugongwa kwa mlango huo niliotaka kutokea ukasikika na kunifanya nipigwe na shoti kali ya umeme iliyosababisha nisamame na kutojua la kufanya huku moyo wangu ukienda kasi zaidi ya saa.Nikiwa katika hali hiyo mlango ukafunguliwa na kuingia jamaa mrefu ambaye hakunipa hata nafasi ya kumtizama akanitandika chuma kikali cha kichwa kilichonipelekea kupiga ukelele mkali wa maumivu
"Mamaaaaaaaaaaaaaaaaa Tiii!!!,tiiii!!!,tiii!!!,"Nilijikuta nikipiga ukelele wa mama kutoka kwenye ndoto niliyoota mpaka katika hali halisi ikifuatiwa na Mlio wa saa ya Alarm niliyoitegesha iliyokuwa ikionyesha saa kumi na moja na nusu Asubuhi.nilijitahidi kunyanyuka lakini majimaji katika boxer yangu niliyovaa wakati nikilala ikiashiria kuwa nilijipiga goli mwenyewe.hakika kwa kipindi kirefu nilikuwa naota ndoto nikiwa nafanya mapenzi hali ambayo iliniumiza sana kichwa changu kutokana hali ile ilinifanya nitamani sana tendo hilo lakini kila nilipojaribu kumtongoza msichana nilikuwa nakataliwa bila sababu ya msingi.katika kipindi hicho ambacho nilikuwa nipo kidato cha nne ndio kipindi ambacho nilianza kupenda wasichana kutoka na marafiki zangu wote wa kiume kuwa na wasichana huku wakati tukiwa tunapiga stori kila mtu alikuwa anamsifia msichana wake katika Nyanja tofauti jambo lililopelekea mimi kila siku kuota ndoto nikiwa nafanya mapenzi kwa sababu ya kuangalia sana video za ngono.
"Pablo mwanangu Amka uende shule unachelewaaa ujue"Maneno kutoka kwa mama ndio yalinishtua kutoka kwenye dimbwi kubwa la mawazo na kunifanya niamke na kwa mwendo wa haraka haraka nikaenda kuoga kisha nilipomaliza nikavaa nguo zangu za shule nilizozinyoosha jana yake na kuvaa kisha nikatoka na kwenda kumimina chai kutokana na mazoea niliyojiwekea kila Asubuhi kunywa chai ili kujiweka Mchangamfu kabla ya kwenda shule.
"Pablo mwanangu nataka leo usinywe chai kwasababu nataka nikutume kwa Anko wako morroco hoteli ukampelekea mzigo wake kisha uende zako mwanangu"
"ooooh mama lakini siunajua shida ya magari halafu unajua Mama nitachelewa shule hapa nilipo nishachelewa magari ya tabu ya buguruni"
"Naelewa mwanangu lakini sina jinsi yani nakuomba tu hata ukichapwa leo usijali mwanangu tatizo nilisahau kukwambia"
"Sawa nipe basi haraka haraka ili niwahi kufika" Sikuwa na budi kumkatilia mama yangu kutokana na kuchelewa kufika shuleni.Mama akanipa nauli kisha bila kuchelewa nikatoka kwa mwendo wa kukimbia mpaka stendi komakoma na kupanda gari la tandika lililokuwa limejazaa sana.nikiwa nimejibana bana safari ya kufika morocco hoteli ikafika kisha nikashuka na haraka haraka nikaanza kuelekea kwa anko kwa lengo la kumpelekea mzigo wake.kutokana na kona kona nyingi za kuchanganya ilinifanya nitembee mdogo mdogo huku kimoyomoyo nikiwa nachukia hali hiyo.ghafla nikiwa nakaribia mtaa wa nyumbani kwa anko sauti nzuri ya perfume nikaisikia ikipita katika pua zangu na kunifanya niisikilizie nakuifuatilia harufu hio nzuri ya perfume na kutua katika msichana wa makamo hivi mwenye uzuri wa kuvutia ukimuangalia anaonekana kabisa alikuwa anaasili ya kiarabu wakati huo alikuwa anakuja nilipo mimi hali ilinifanya nisimame na kuanza kumuangalia jambo ambalo hata yeye Alilioana nilipomuangalia sana niligundua alikuwa amenuna huku mkononi akiwa ameshika mfuko nisioujua amebeba nini ndani yake.Mwendo wake wakinyonga ulitosha kabisa kujua alikuwa anaringa.nikiwa nimemkazia macho akanipita bila hata ya kuniangalia na mimi nikabaki namsindikizia kwa macho hakika niliogopa kumsalimia kutokana na kuwa na bahati mbaya na wasichana nikajikuta nikimuangalia mpaka alipoingia katika nyumba nzuri iliyozishinda nyumba zote mtaani hapo kwa uzuri.kwa hali ya kusononeka nikajikuta nikisimama Nakuingalia nyumba yao huku mawazo mengi juu yake yakiwa yanaanza kunitesha
"aaaa unawezaje kumpenda mtu usiyemfahamu"nikajikuta nikiingia katika dimbwi la mawazo huku nikiendelea kujishangaa mwenyewe kwa kumpenda mtu nisiye mjua hata jina lake hakika Miguu yangu ilisita kabisa kutaka kuondoka hapo na kujikuta nikiendelea kuikodolea mimacho nyumba hiyo huku nikiangaliwa na kila mtu anayepita lakini hakuna hata aliyenisemesha.
"We Pablo Pablo vp mbona unashangaa na huku unafanya nini??" alikuwa ni sauti iliyonishtua na kujikuta nikimuangalia anayenisemesha na kumuona Halima rafiki yangu ninayesoma naye darasa moja huku akiwa ni rafiki pekee wa kike niliyekuwa nikiongea naye darasani kwetu.
"aa..aaa halima vp kumbe unakaa huku??"
"Ndio..wangu mzima lakini wapi halafu mbona unashangaa??"
"hamna naenda kwa Anko hapo kumpelekea mzigo wake"
"mmh muda huu haya bana lakini lazima uchelewe au leo unaenda kuchapwa lazima"
"Basi kama vp tangulia na begi langu umuachie Denis"
"mmmmh haya lete"hakika kuonana na halima pale kulinipa faraja kutokana alionekana kama mwenyeji nikampa begi langu na kumuacha akiondoka huku nikipanga cha kumuuliza nifikapo shule............Je itakuaje usikose story hii likes nyingi ndizo zitanifanya nisiicheleweshe.
ABOUT LOVE_02❤️🤔
ILIPOISHIA
"mmh muda huu haya bana lakini lazima uchelewe au leo unaenda kuchapwa lazima"
"Basi kama vp tangulia na begi langu umuachie Denis"
"mmmmh haya lete"hakika kuonana na halima pale kulinipa faraja kutokana alionekana kama mwenyeji nikampa begi langu na kumuacha akiondoka huku nikipanga cha kumuuliza nifikapo shule...............ENDELEAAAA NAYO.......
Kwa mwendo wa haraka haraka nilifanikiwa kumpa mzigo wake Anko huku salamu tu ndiyo iliyofuata kutokana na kuwa na haraka ya kuwahi shule.Nilifanikiwa kupata gari mapema nilipofika kituoni lakini Foleni kubwa ndio iliyosababisha nichelewe shule na kukuta bonge la mtiti kwa wale wachelewaji hali iliyonifanya nianze kuhofia kuchapwa siku hiyo.Mwalimu mkuu ndio aliongoza kuchapa huko kwa wanafunzi huku akiwa anagawa barua ya kuita mzazi kwa sababu tatizo la uchelewaji lilizidi kukithiri katika shule yetu.licha ya mimi kuelewana sana na mwalimu mkuu kutokana na maendeleo mazuri shuleni lakini hali ya uoga ulichukua nafasi yake kutokana na hasira aliyoionyesha mwalimu mkuu kwa kumchapa kila mwanafunzi fimbo tisa.
"Hadi na wewe Pablo unaanza kuchelewa unaleta mchezo eeee"ni sauti ya mwalimu mkuu Johnson na kuzidi kuniogopesha kutokana na kuniuliza kiukali zaidi.nilinyanyuka na kuanza kujitetea kwa kumueleza ukweli kabisa jambo ambalo lilimfanya mwalimu mkuu atulie kidogo na kuanza kutafakiri nini cha kufanya kuhusu mimi.kwa hali ya huruma aliniruhusu niingie darasani huku nikiwa siamini amini na kuwaacha wanafunzi wengine wakiwa wanalalamika na kuacha msala mzito dhidi yao.niliingia darasani na kumkuta mwalimu wa bailogia akiwa anafundisha ambaye baada ya kuniona akaanza kuniuliza baadhi ya maswali ya kwanini nilichelewa aliniruhusu nikakae na moja kwa moja nikaenda kwa halima na kuchukua begi langu huku nikimwambia Nina mazunguzo na yeye ikifika mapumziko.Mungu si athumani mapumziko ikafika na kwa haraka kabisa nikamfuata halima ambaye alikuwa bado yuko katika darasa lake akiendelea kuandika notes alizoacha mwalimu ubaoni
"Halima eee inakuaje?"
"Poa pablo hivi ule msala umeupitaje maana leo mwalimu mkuu alikuwa anawatandika watu waliokuwa wamechelewa"
"Aaa tuachane na hayo mimi nilikuwa nina shida halima"
"Hee shida gani tenaaa babuu?"
"Pale nilipokuona ndio mitaa yenu ile??"
"yeah nina kaa pale pale mtaa ule ule vp kwani"
"Daa basi leo nimeona msichana mzuri wa kiarabu anakaa nyumba nzuri nzuri pale kwenu sio siri nimetokeaa kumpendaa sanaa"
"Hahaaaaaahahahahaha pablo bana yule anaitwa zureiya bana ila utaweza nikuonganishie Maana washikaji kibao Mtaani wamemshindwa kutokana na swagga za yule mtoto kumuingia vigumu"
"Daaa nionganishie halima fanya hivyo"
"Pouwaaa hebu nipe namba yako ili tuongee vizuri leo" Hakika mafanikio ya kumpata zureiya msichana ambaye sio siri uzuri wake ndio ulinipagisha ukanijia kichwa changu huku nikimtumia halima ambaye aliniambia kuwa alikuwa ni rafiki wa karibu ndio ulinifanya nijipe moyo.hakika siku hiyo iliishi haraka sana huku katika siku hiyo nikiwa shule mawazo juu ya zureiya ndio yaliniandama sana kichwa changu huku kila nifunguapo daftari kwa lengo la kusoma niliiona picha yake kubwa katika daftari langu na kunifanya nishindwe kabisa kusoma.saa ya kuondoka ili wadia huku nikiendelea kumkumbusha halima kuhusu inshu tuliyoongea na kuniahidi ikifika saa mbili usiku ndio atakuwa naye na kunifanya nijiandae.nikafika nyumbani nikiwa na shauku kubwa ya kusubiri saa mbili kufika.kama ilivyohada mida ya saa mbili kama na nusu hivi mlio wa simu yangu ukaita na kunifanya niache kula na kwenda kuikimbilia simu yangu na kuona jina la halima katika kioo cha simu yangu.kwa hali ya kudunda kwa moyo nikajikuta nikiipokea huku mapigo yangu ya moyo yakienda kasi sana
"Haloo pablo"
"halima vp"
"Pouwa basi huyu hapa zuu kama vp ongea naye"nikiwa na shauku kubwa la kusikia sauti yake ghafla simu yangu ikazima na kutokana na kuisha chaji.nilijikuta nikipandwa na hasira huku nikijilaumu na kwenda kuichomeka simu yangu katika chaji lakini kabla hata yakuichomeka simu yangu chaji umeme ukakatika na kunifanya nizidi kuishiwa nguvu huku nikienda njee na kukuta umeme kote umekatika
"Daa tanesco hawa maboya kweli"Nilijikuta nikiwalaumu tanesco huku muda mwingine nikijilaumu mimi kwa kusahau kuweka simu yangu katika chaji.Nikiwa katika shauku kubwa ya kusubiri umeme lakini mpaka mida ya saa tano usiku umeme ulikuwa bado haujarudi na kunifanya Nilale siku hiyo nikiwa na manung'uniko makubwa kutokana malengo yangu ya kuongea na mtoto mzuri zureiya kuanza kuingiwa na vikwazo vidogovidogo.kama kawaida tena Asubuhi na mapema nikaamka nakukuta umeme usharudi nikachomeka simu yangu chaji kisha nikaenda zangu shule.halima hakusita kunilalamikia kuhusu suala ya kukata simu huku akinilaumu na kutosikiliza maneno niliyokuwa najitetea.Furaha kubwa alinionyesha halima Alinipa namba yake ya simu nakunifanya furaha yangu izidi kipimo na kumkombatia jambo ambalo yeye lilimsisimua na kubaki akiwa ananiangalia kwa macho ya kulegea kisha nikamtoa buku mbili ya kama kumpa pongezi kwa kuweza kunipa namba.Siku hiyo nilichelewa kurudi shule kutokana na kazi za kufanya kuwa nyingi za kufanya masahihisho ya mtihani tuliofanya siku hiyo.ilipofika mida ya saa mbili nikaichukua simu yangu na kuichukua namba ya zureiya iliyokuwa nimeiandika katika daftari langu nikaisave katika simu yangu kisha kwa hofu kubwa yenye kusababisha kudunda kwa moyo nikaipiga.Nilipiga namba hiyo ambayo iliita tu lakini haikupokelewa kama Mara tatu na kunifanya nibaki katika hali ya unyonge.Nikiwa katika hali ya mawazo yaliochukua nafasi kama nusu saa Mlio wa messeji ikasikika katika simu hali ilionifanya kwa haraka haraka nifungue sms hiyo
"We nanii kwani mbona usiku"Nilijikuta nikinywea baada ya kusoma messeji hiyo.nikiwa katika harakati ya kujibu messeji hiyo simu yangu ikaanza kuita na Nilipoangalia jina ilikuwa ni namba ya zureiya.kwa hali ya hofu kutokana na kuhisi yaweza kuwa labda mzazi wake nikaipokea
"hallooow..............itaendelea..je itakuaje usikoseeeeee
ABOUT LOVE_03
ILIPOISHIA
"We nanii kwani mbona usiku"Nilijikuta nikinywea baada ya kusoma messeji hiyo.nikiwa katika harakati ya kujibu messeji hiyo simu yangu ikaanza kuita na Nilipoangalia jina ilikuwa ni namba ya zureiya.kwa hali ya hofu kutokana na kuhisi yaweza kuwa labda mzazi wake nikaipokea
"hallooow................ENDELEAAAAA............
"Halloow we nani Mbona unanisumbua."
"m..imii....pa..b..lo rafiki yake halima"Nilimjibu zureiya aliyeonekana kuwa na ukali kidogo kwenye kuongea.baada ya kumjibu ukimya mzito ukatalawala kama dakika moja huku kila mmoja akionekana kuogopa kumuanza mwenzie
"O..oo..kumbe wewe..enhe nambie"
"Mzima wewe zureiya"
"yeah mimi mzma lete story wangu"
"Daah una sauti nzuri sana"
"Hahaahha jamani kawaida mbona sasa sikia nikuambie kitu mimi nakuawaga free kuanzia Ijumaa so usiku mwema wangu nicheck kuanzia siku hiyo"
"Ooo daah nawe pia".hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu kutokana na kuongea na msichana niliyetokea kumpenda ghafla bila ya kutegemea huku kupata fursa ya kuongea ilikuwa ni kama bahati sana katika maisha yangu.furaha yangu sikusita kuionyesha kwa halima baada ya kwenda shule huku nikimuahidi kuwa ninaweza kumpata kutokana na kuongea Naye vizuri halima akusita kunipongeza kwa hatua niliyopita huku akinisisitiza na kuniambia tabia nzuri za halima.Hakika sikusita kusubiri kwa shauku kubwa baada ya kufika ijumaa ambapo ndani ya mida ya saa mbili usiku nikaweka salio na kuanza kumpigia zureiya huku nikiwa na shauku ya kuongea naye.Simu iliita sana mpaka ikakatika lakini sikusita kuendelea kumpigia huku nikiamini atakuwa labda yupo bize na kazi zake za nyumbani.Nikiwa katika hali nyingine ya kupiga ghafla sms ikaingia na nilipoiangalia ilikuwa ni ya zureiya nikajikuta kwa haraka haraka nikiifungua huku nikiwa na utayari mkubwa wa kuisoma messeji hiyo
"WE NANI?? NAKUOMBA UKOME KUNISUMBUA UMENISIKIA PLEASE NAKUOMBA NINA MUME WANGU NIPO NAYE PLEASE USHINDWE" nikajikuta Naanza kulengwalengwa na machozi kutokana na messeji hiyo iliyotumwa na Zureiya jambo ambalo lilinifanya niishiwe nguvu.nikajikuta nikizima simu yangu na kupanda kitandani huku nikianza kutokwa na machozi kutokana na kumpenda sana zureiya.hakika hali ilikuwa mbaya kwa upande wangu baada ya kuendelea kujibiwa majibu mabaya na zureiya ambaye alikataa katakata kuipokea simu yangu huku akinikataza kabisa kumpigia simu na kumtumia messeji.Hali ile ilinitia unyonge huku nikishindwa kabisa kumueleza ukweli Halima ambaye kwa mara kwa mara alikuwa akiniulizia kuhusu maendeleo yetu mimi na zureiya jambo ambalo lilizidi kuninyong'onyesha na kunifanya nishindwe kujuzuia na kujikuta nikimuhadithia mchezo mzima halima ambaye alionekana kuhuzunika na habari hiyo na kuniahidi kunisaidia huku akiniambia shughuli nzima ataicheza yeye.siku nyingi zikakatika huku halima naye kuwa bize na masomo kwa sababu kilikuwa ni kipindi cha mwezi wa sita kipindi cha mtihani sikuendelea kumsumbua kutokana na hali hiyo.baada ya kumaliza mitihani tukafunga shule na sisi form Four tukipata likizo fupi kutokana na kujiandaa na mtihani.Nikiwa katika likizo hiyo siku moja usiku nikapigiwa simu na halima ambaye alionekana na furaha kuongea na mimi huku akiwa na taarifa kubwa ya kuniambia.
"Pabloo ee zureiya anataka kuongea na wewe Jumamosi Njoo Nyumbani" habari hizo za janeti zikanitia uoga mzito sana huku nikiwa na tahadhari kubwa ikanibidi niendee kufanya shopping kariakoo na huku nikijipanga kwenda kuonana na Zureiya.siku zilizidi kwenda haraka huku mawazo yakiendelea kunitawala kichwa changu kutoka na kuwa na bahati mbaya ya wasichana nikiwa katika umri wa miaka kumi na nane nilishatongoza wasichana karibia kumi na kuishiwa kukataliwa vibaya vibaya na jambo lilikuwa naliofia na kukataliwa na zureiya na kuamini kama nitakataliwa basi litanitesa sana na kuniaribia hata masomo yangu kutokana na ukweli kwamba zureiya alikuwa ni msichana ambaye namuhitaji
"Daa sijui itakuaje."..............Itaendeleaaaaaaaaaaa
ABOUT LOVE_04
ILIPOISHIA
mawazo yakiendelea kunitawala kichwa changu kutoka na kuwa na bahati mbaya ya wasichana nikiwa katika umri wa miaka kumi na nane nilishatongoza wasichana karibia kumi na kuishiwa kukataliwa vibaya vibaya na jambo lilikuwa naliofia na kukataliwa na zureiya na kuamini kama nitakataliwa basi litanitesa sana na kuniaribia hata masomo yangu kutokana na ukweli kwamba zureiya alikuwa ni msichana ambaye namuhitaji
"Daa sijui itakuaje."..........ENDELEA NAYO.....
Siku ya miadi ikafika na Asubuhi na mapema kabisa nikajiandaa kwa kumaliza kufanyafanya kazi za nyumbani ambazo nilizozizoea kufanya kisha mida mida ya kama saa sita nikaanza kujiandaa.kabla hata sijamaliza kujiandaa messeji katika simu yangu ikaingia na nilipoisoma ilikuwa ni ya halima
"Oy fanya fasta basi kuja"nilikuwa naingalia angalia sana messeji hiyo huku moyo ukinienda mbio hofu kubwa bado iliendelea kutawala katika nafsi yangu huku nikiwa na Asilimia ndogo kabisa ya kukubaliwa.Bila ya kuchelewa nikamuanga mama kuwa ninaenda kwa rafiki yangu kisha kwa haraka haraka nikawai stendi na kufanikiwa kupata gari lililojazaa jambo lililosababisha kutokaa baadhi ya vituo kutokana na gari hilo kujaa watu wengi.
"konda moroko shusha"kwa kujiamini kabisa nikamwambia konda na kumpa nauli huku nikiwa nimebanwabanwa na watu na kushuka salama baada ya kushuka nikatulia kidogo pale kituoni na kuanza kujiangalia angalia na kujiweka vizuri kutokana na siku hiyo kuhisi kama nimependeza licha ya kutosifiwa na mtu yoyote mpaka nilipofika pale hata mama aliishia kuniangalia bila ya kusema chochote.kwa mwendo wa haraka haraka nikaanza kukatiza mitaa huku nikiwa na hofu sana na kuangalia kila sehemu zilizokuwa na vioo na kujiangalia angalia.Nilipoanza kukanyaga mitaa ya akina halima ndipo moyo wangu ulipozidi kunienda mbio sana huku nikijaribu kujiweka hali ya kujiamini kwa kuongea maneno ya kuwa mimi mwanaume ili niondoe hali ya uoga.nilifika mpaka katika umbali kidogo na nyumba ya akina zureiya nakuanza kuangalia angalia huku nikichukua simu yangu na kuanza kuitafuta namba ya halima kwa lengo la kumpigia.
"Pablooooooooo"sauti kutoka nyuma yangu ikanishtua na kunifanya nigeuke na kumuangalia aliniita na kumuona halima aliyekuwa katika hali ya kutabasamu kisha akanisogelea na kunishika mkono kisha nakuuanza kutembea naye kwa kumfuatisha kila sehemu anayopita.kwa kupitapita vichochoro kwa mwendo mfupi safari yetu ikagota katika kibaraza kilichopo katika kichorochoro hicho ambacho kilichokuwa akina pita pita nyingi za watu.katika kibaraza hicho nilimuona mrembo mkali aliyekuwa akiniangalia baada ya kufika ambapo baada ya kuvuta kumbukumbu ndio nilipogundua alikuwa si mwingine bali ni zureiya mrembo ambaye kama ukimuangalia huto gundua mapungufu yake katika urembo wake na uzuri kama ukimuangalia.Nikiwa katika hali ya hofu nilitoa tabasamu hafifu na kumuangalia zureiya ambaye pia naye akaachia tabasamu zito lenye madimpozz mashavuni na kunifanya nizidi kuingia.
"Jamaani eee acheni niwaache nakuja sasa hivi" halima aliaga kwa haraka haraka kisha kwa sauti ya chini chini ambayo zureiya hakuisikia akanambia muda ndio huu maliza sasa kisha akaondoka na kuniacha mimi nikiwa bado nimesimama.nikajizoa zoa na kukaa na kumsogolea zureiya aliyekuwa anaangalia pembeni kisha bila hiyana nikaanza kuanzisha mazungumzo.
"Mambo vp zureiya"
"Pooua palo nambie"
"Haha jamani sio palo ni pablo bana"
"Hahaha sawa pablo nilisikia una shida na mimi haya nambie sasa nakusikiliza"
"Oouk pouwa unajua nini yani tangia siku ya kwanza nilipokuona sio siri nilitokea kukupenda sana yani ni...n..lijikuta tu nakupenda kutokana na muonekana wako ulivyo unaonekana mkarimu,mstaarabu yani nimekupenda."
"hmmm pablo unanichekesha sana jamani sasa hivyo mkarimu sijui mstaarabu umevijuaje wakati haunijui kiundani??"
"Aaa yani siku ya kwanza tu nilipokuona niliviona katika ndani ya moyo wangu kupitia macho makali yenye kuchuja kizuri na kibaya hebu nakuomba nijibu unanipenda au unipendi zureiya au nikupe muda??"
"muda unataka unipe muda muda gani sasa wakati muda wenyewe ndio huu.sikiliza pablo mimi sikupendi na wala hunivutii hata kidogo yani siwezi kutembea na mwanaume kama wewe nashangaa mtoto wa kiume unavyojisumbua kunitumia messeji zako yani unanikera ndio maana nikamwambia halima akuite ili nikupe vidonge vyako yanii nakuchukia SIKUPENDIIIIIIII."Maneno yale yaliingia moja kwa moja katika moyo wangu na kunifanya niachie tabasamu lenye machungu huku machozi yakianza kunilenga lengaa.........itaendeleaaaaaaaa
Tags
Simulizi 🔞