CHIFU ZAIDI YA 30 ZILIZO KAMILISHA KABILA LA WANYAMWEZI NA WASUKUMA
Kulingana Na Kutofautiana kwa uwezo na Nguvu kwa Baadhi Ya Temi na CHIFU. Kuna Baadhi ya chifu ama Temi zilipokonywa utawala na Temi zilizokua kua na Nguvu Zaidi.
Hakika kuna zaidi Ya CHIFU/Temi zilizo wahi kuwepo katika mikoa ya Tabora na shinyanga Ambazo ndizo Zilikamilisha uundwaji wa tawala za mikoa ya Tabora na shinyanga.
Tizama Video hii kuzitambua CHIFU 31 zilizo wahi kuwepo na zenye nguvu.
Katika historia hi ya Temi zilizokua na uwezo mkubwa ilikua ni Temi ya MTEMI MILAMBO hii ilikua na nguvu sana hivyo ilitumia nguvu hiyo kuzipokonya ama kuunganisha temi ndogo ndogo na kuwa Temi moja.
Tags
Video