TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

DALA DALA YA KWAMPALANGE 01 (Simulizi 🔞)

*DALADALA YA KWA MPALANGE*
SEHEMU YA KWANZA
Mwandishi - Queen Lizzie 

"Wee Buza kwa mpalange Abiola njia panda hiyooooo....kwa mpalange kwa mpalange hiyoooo...bado wawili tu, wakusoma kaeni mbalii"🗣️🗣️ 
Sauti ya konda wa daladala ambaye alikuwa amesimama kama hatua kumi tu kutoka nilipo. 
Muda huo nilikuwa nimekaa zangu kituoni pale Devis Skona' nikisubiria daladala inipeleke nyumbani. Na daladala ambayo nilikuwa naisubiria ni hiyo ya kwa mpalange, kwani kazi nilikuwa nikifanyia Temeke lakini nyumbani ni Kilungule hivyo nilikuwa kila siku napanda gari za kwa mpalange kisha nashuka mwisho wa kituo, natembea kidogo nipo zangu nyumbani.
Hivyo basi nilipoiona gari ile haraka nilijiinua pale ambapo nilipokuwa nimejikalisha kwa zaidi ya nusu saa nikiisubiria gari ya kwa mpalange. Lengo likiwa ni kupata siti ikiwezekana nipate moja kati ya zile mbili ambazo konda alisema lakini nata hivyo baada ya kuingia ndani ya gari nilikuta siti zote zimejaa hapakuwa na siti hata ile ya wanafunzi nayo ilikaliwa na mmama mmoja hivi mtu mzima.
"Wewe konda kumbe muongo..eeh🙄"
"Uongo upi wewe pisi kali..🤷‍♂️"
"Hizo siti zipo wapi sas ulizosema "
"Siti hamna bhana..wewe simama tu, au kama vipi shuka usubirie gari ambayo  siti"
Konda alisema kwa kujiamini kwani alijua kabisa uwezo wa kushuka sina, maana gari za kwa mpalange zipogo chache sana pia watu wake ni wengi, unaweza ukaka kituoni lisaa lizima likapita gari moja, si kusimama bali kupita kwa maana imejaa fulu , pia zile ambazo zilisimama basi msuli ulihitajika maana zilikuwa za kugombea.. 
Hivyo sikuwa na jinsi nilikubaliana na konda huku nikimlaani kwa kila aina ya tusi, kimoyomoyo lakini.
"Mikonda mingine kama inafirwa kumamae zao🤦‍♀️ sasa si usenge huu" 
Nilijisemea kimoyomoyo uso nikiwa nimeukunja. 
Dereva aliendelea na safari konda naye alizidi kukusanya abiria katika kila kituo tulichopita mwisho wa siku tukaanza kubanana ndani ya gari.
"Haya...abiria mistari miwili miwili...na wenzenu nao wanataka kufika kwao 🗣️ "
Konda alipayuka huku akiendelea kuingiza abiria wengine.
"Jamani konda gari imejaa hii... mpaka tukose hewa...😬"
"Konda gari imejaa bhana...😬"
"Wewe konda jamani acha tamaa hela haina mwisho tupeleke sisi kwanza halafu hao utawafata😬😬" 
Maneno ya abiria yalikuwa mengi maana ndani ya gari tulikuwa wengi sana, pumzi ilikuwa nzito, yaani mkao ambao umekaa ndio huo huo ukisogeza hata mguu tu tayari ushamkanyaga mwenzako, lakini cha ajabu konda alizidi kupakiza watu.
"Bhana nyinyi msinichanganye kama mlikuwa mnataka kukaa kwa kujinafasi mngenunua magari yenu, hii gari ya abilia, tulia ufike, ukiona unabanwa shukaaa🗣️🗣️"
Konda alisema kwa jeuri 😬 lakini abiria wa kushuka hakuwepo ila wa kupanda waliongezeka. Gari ilianzaa safari huku abiria wakiendelea kumtukana konda. 
Nikiwa nimesimama nimeshikia bomba nimegeukia upande wa pili yaani nikiyatazama madirisha ya gari kwa nyuma yangu alisimama mkaka mmoja hivi sikumuona sura maana nilimpa mgongo 🤦‍♀️
Mkaka huyu alikuwa mshenzi wa tabia na mkosefu wa maadili na akili pia, kwani mtindo wa usimamaji ndani ya daladala ulikuwa hivi, mistari miwili mstari mmoja unageukia madirisha ya upande wa kulia halafu mstari mwingine unageukia madirisha yale ya upande wa kushoto , yaani tunabanana lakini tukiwa tumegeuziana migongo, lakini cha ajabu mkaka yule alisimama mstari wa pili lakini badala ya kugeuka upande wa pili yeye aligeukia upande ambao sisi wa mstari mwingine tuligeukia. Na alikuwa nyuma yangu. Kifua chake kiligusa mgongo wangu, dudu lake liligusa matako yangu , kwakuwa alinigandamizia kabisa basi niliihisi hata ule mtuno wa mboo yake, mshenzi alidindishia matakoni mwangu 🤦‍♀️
"Dungadunga !" 
Nilijikuta nikijisemea kimoyomoyo mapigo yangu ya moyo yalienda mbio sana pia nilipata hasira mno, nilishahadithiwa mara nyingi na rafiki zangu kuhusu madungadunga lakini kamwe sikuwaza kama nitakutana nao.
(Dunga dunga ni wanaume ambao wanabambia wanawake  kwenye daladala ) 

ITAENDELEA

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post