DijitoStore - Business software

MAISHA YANAHITAJI NIDHAMU NA UPOLE

MAISHA YANAHITAJI NIDHAMU NA UPOLE:
Kuna mwanaume anatumia pesa nyingi sana kumfurahisha mwanamke lakini mwanamke kuna mtu ambaye naye anampenda sana kuliko anavyopendwa yeye na anayempa pesa.

Upande wa pili kuna mwanamke anayefanya kila kitu kumridhisha mwanaume anayempenda ila bahati mbaya mwanaume na yeye kuna mwanamke anayempenda.

Waathirika wa maumivu makubwa katika ndoa/mahusiano ni wale watu wenye mapenzi ya dhati ,hili ndio kundi linaloumizwa sana kwenye mapenzi,ila wale wasio jali wenza wao wao ndio wapo kwenye kilele cha mafanikio.

Kuna haja gani ya kuwa kwenye mapenzi yasiyo kupa furaha wala future bora | Afya ya moyo na pumziko lake ni vitu muhimu sana .Kama Mapenzi yakikushinda itafute pesa na pesa ikikushinda jifunze  kuwa muungwana na mtazamaji .

Maisha yanahitaji nidhamu na upole 
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post