TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MAMA MWENYE NYUMBA 02

Chombezo : Mama Mwenye Nyumba

Sehemu Ya 2
ILIPOISHIA....
********** 

kabla yakuajiliwa na Bank ya wananchi kama mhasibu msaidizi wa tawi la ubungo Suzana alikuwa anasoma chuo cha usimamizi wafedha, akiwa ametokea mkoani Iringa kwenye familia yakawaida, ya watoto watatu wawili wakiwa ni wanaume ambao ni kakazake, baba na mama yeke waliwalea kwamisingi ya maadili mema kitendo kilichosaabisha mpaka mwaka wa pili katikati akiwa chuo bado Suzana alikuwa hajawai kuruhusu dudu ya mwanaume yoyote

...

 akiwa chuo ndipo alipo kutana na Sophia Mashaka , huyo alikuwa mtoto wapili wa mzee Mashaka kati ya watoto watano, akitanguliwa na kaka yake Atony wenyewe walimwita Tony, pale chuo Suzana aliwapa wakati mgumu sana vijana wakiume, kutokana na uzuri wake wa mwili na sura pia tabia yake ya upole na utulivu, uliwavutia wengi sana, vijana kwa wazee wamjini waliangaika sana, wakipanda dau kwa ahadi nyingi sana, huku wengine wakitangaza ndoa na kutanguliza offer mbalimbali, lakini zote ziligonga mwamba, adi siku ambayo Tony alipomwona dada yake Sophia akiwa na Suzana, alipokuwa amemtembelea pale chuo, "Sophy unaonaje ukiniunganishia huyo demu" Tony alimpigia simu dada yake baada yakurudi nyumbani, maana dada yake alikuwa anakaa hoster chumba kimoja na Suzan, "mh! nimgumu huyu, alafu mshamba flani hivi, sijuwi kama utaweza" alijibu Sophia, lakini Tony akajipa moyo, "hakuna kitacho shindikana wewe mlete home kisha nitajuwa lakufanya" "poa juma mosi nakuja naye" kweli ikawa hivyo, juma moss Sophia na Suzana walienda nyumbani kwa kina Sophia, licha ya kumkuta Tony lakini hakuweza kuongea chochote, na bint huyu mrembo, ni baada ya kumkuta baba yao mzee Mashaka akiwa amejaa tele nyumbani ( nimzee mwenye tabia ya kupenda sana mabinti wadogo), ilo likawa tatizo kwa Tony, angekuwepo mama yao pekeyake hisingekuwa tatizo, na mbaya zaidi mzee Mashaka alikuwa nao bega kwabega pale sebuleni, atamuda wakuondoka ulipo wadia aliwachukuwa kwenye gari na kuwa peleka kwanza madukani nakuwafanyia shoping ya nguvu kabla ya kuwapeleka kwenye hotel moja kubwa kwaajili ya chakula cha jioni, Suzana hakuwa ametilia mashaka juu ya offer hiyo ya mzee Mashaka baba yake Sophia, asa ukizingatia ni baba warafiki yake, siku hiyo ilipita salama, mzee Mashaka akawarudisha wakina Suzana hoster akiahaidi kuwa pitia week end ijayo, lakini haikuwa hivyo, mzee Mashaka aka chezamchezo wa hakili mingi, kwanza akaanzia nyumbani, akaongea kilefu na mkewe akijifanya kuwa hazielewi tabia za watoto wake, asa hawa wakubwa Tony na Sophia hivyo amwite Sophia iliakae nao wote kwa pamoja aongee nao juu ya mwenendo wao, kweli mama alimpigia simu mwanae Sophia nakumwambia aje alaka pekeyake, kwani anamzungumzo muhimu, ********** 
saa tano asubuhi mzee Mashaka alisimamisha gari kwenye hoster, akijifanya kumwulizia mwanae Sophia, akaambiwa ametoka ila yupo rafiki yake, akaomba aitiwe huyo rafiki yake ambaye ni Suzana, Suzana alipofika akamsalimia mzee Mashaka kisha akaambiwa kuwa akajiandae ili waende mjini waka chukuwe baadhi yamaitaji ya Sophia maana yeye mwenyewe anakikao na mama yake, Suzana pasipo kujuwa kuwa Mzee Mashaka analake jambo akaenda kujiandaa alaka nakuondoka na mzee Mashaka, kwanza kabisa walianza kwenye maduka ya nguo na viatu vyakike, pia kwenye maduka ya urembo, kitu kilichoanza kumshangaza Suzana nikwamba, manunuzi yote yaliyofwanywa yalimuusu yeye na siyo Sophia kama alivyo ambiwa, atimaye saa saba mchana walikuwa wame ingia kwenye hotel moja kubwa ya ghalama wanayoingia watu wenye uwezo mkubwa kifedha, na kwakisingizio cha busara na heshima yakutopnda kuonekana na watu sehemu kama ile mzee Mashaka akashauri wachukue chumba chenye chumba na sebule (suit) ili wakae wakipata chakula cha mchana, akiwa mwenye wasiwasi Suzana alikubali lakini moyoni mwake akipanga namna ya kuepuka na mtege wowote ambao unge tegwa na baba Sophia, waliingia ndani ya chumba kizuri ambacho kina kilakitu ambapo ungeweza kukaa humo ata wiki nzima pasipo kutoka nje, wakaletewa vinywaji vyao wakati wakisubiri chakula, mzee Mashaka aliagiza wine na Suzana aliagiza soda, walikunywa huku mzee Mashaka akijitaidi kuongea kwa ucheshi uliosababisha Suzana aondokewe na wasiwasi, nakumwamini mzee huyu, kwamba hakuwa na niambaya, saa moja baadae walikuwa wamesha maliza kula na walisha zoweana sana, ata Suzana hakuwa na wasiwasi tena, hapo ndipo mzee Mashaka akaanza kumshawishi Suzana kuchanganya soda na wine nyekundu licha kuofia kidogo lakini alipo ijaribu ilimpendeza Suzana, akaanza kunywa bila kujuwa kuwa itamsababishia vitu vingine, ilichukuwa dakika 45 kumlegeza Suzana huku mzee Mashaka akijaribu mala mojamoja kuchezea sehemu mbali mbali za mwili wa binti huyu mrembo, naalipoona amtulia akitbasamu akajuwa anavutiwa na kamchezo kake, hivyo akazidisha kupeleka mkono shemu nyeti zaidi ikiwemo na matiti magumu yaliyo simama, ata muda wakuingiza dudu ulipo fika ndipo mzee Mashaka alipo gundua kuwa binti yule mrembo alikuwa bikira, akisaidiwa na pombe alizo kuwa amekunywa Suzana alivumilia na dudu ikaingia na kutoboa kizuwizi kwenye kitumbua chake japo maumivu aliyapata lakini haikutumia muda mrefu ni baada ya kupump kwa sekunde chache mzee Mashaka kwa utamu wakitumbua chenye joto cha Suzana, hakuchelewa alijikuta akikalibisha mashabiki waingie uwanjani, kwani alikuwa amsha mwaga watoto, sikuhiyo mzee Mashaka ali furahi sana asa kumkuta binti mzuri kama huyu akiwa bikira, kwanza alimpatia fedha kiasi cha shilingi millioni moja mkononi, nakumwaidi kwamba atasimamia shugulizake zote za chuo, huo ndio ukawa mwanzo wa mapenzi yao ya siri pasipo Sophia kujuwa lolote, licha ya kujilaumu kwa kupoteza uschanawake kizembe lakini alipiga moyo konde asa kutokana na msaada mkubwa wakifedha aliokuwa akipewa na mzee Mashaka kilamala, kiasi chakuonekana nmmoja wa wana chuo wenye uwezo kifedha pale chuoni, ata alipo maliza chuo ni mzee mashaka ndie ali mtafutia kazi pale bank na kumnunulia gari pamoja na nyumba kubwa huko kibamba ccm, 

*********
 licha ya kudumu kwa miaka mitatu na mzee Mashaka ktk mapenzi yao lakini kiukweli hakuwai kufuraia utamu wa dudu, maana mzee huyu hakuwai kudumu japo dakika tatu juu ya kifua chake, na hakufikilia kutafuta mtu mwingine wakumwingiza dudu, bado Suzana alikuwa amesimama getini baada ya kumaliza kulifunga, "haa tunaumizana viuno kwa kufunga mageti baada ya kupeana utamu" alisonya Suzana akianzakutembea kulekea ndani, mala akasikia geti likipiga kelele akageuka nakutazama, kwamsaada wa taa zilizopo pale kwenye uwanja wanyumba yake akaona geti dogo likifunguliwa, nakufwatiwa na kuingia kwa kijana mmoja mwenye umbo zuri lakiume, akiwa amebeba begi dogo mgongoni, moja kwamoja akajuwa huyu ndie mpangaji wake mpya "karibu pole na masomo" aliongea Suzana nakumfanya yule kijana kustuka sana, maana inaonyesha hakuutambua uwepo wa Suzana pale, asa ukizingati niusiku sana, "sante sana, habari za leo dada" alijibu yule kijana akiamalizia kufunga geti na kumsogelea Suzana "nzuri birashaka wewe ndiye mpangaji mpya mwana chuo?" aliuliza Suzana akimkagua kwamacho kijana huyu, " yahaa! ndiyo mimi, .... ndiyo.. nilipanga kesho juma mosi nije nimwone mama, maana toka nimefika sijamwona ata wewe sikujuwa kama hupo maana sija wai.... sija wai kukuona" aliongea kijana huyu akionyesha kubabaika, kama kunakitu kina mtatiza au kumshangaza, kitendo kilichomfanya Suzana atabasamu maana alisha juwa kinacho m'babaisha yule kijana, "husijari mimi ndo mama mwenye nyumba keshotuta ongea, vipi mbona hiyo suruwali yako imechafuka tope, uliingia kwenye maji machafu?" aliuliza Suzana baada ya kuona tope kwenye nguo ya mpangaji wake "ha! kuna gari nimepishananalo hapo limenimwagia tope, nazani nibahati mbaya" alijibu yule kijana akiishika shika suruwali yake ya jinsi, "nigari gani hilo?" aliuliza Suzana akionyesha kutilia mashaka gari ilo "ni NISSAN tena nazani utakuwa umlisikia maana limtoke huku huku" moja kwamoja akajuwa ni mzee Mashaka mpenziwake, "hooo! pole sana itakuwa bahati mbaya" aliongea Suzana akiangalia ile sehemu iliyo chafuka, lakini safari hii aliona kitu zaidi kilicho mstua moyoni nakuufanya mwiliwake usisimke, maana macho yake yalitazama usawa wa lisani ,(flayze) ya mpangajiwakealiona dudu ya kijana huyu ikiwa imevimba na kutuna kiasi cha kutengeneza ramani namna ilivyo kaa ikionyesha kutamani kitumbua muda hulehule, "nikweli itakuwa bahati mbaya maana usiku asingweza kuona" alisema yule kijana nakumstua Suzana ambae bado alikuwa ameduwaa akiangalia jinsi dudu ya kijana huyu ilivyo tuna, "mh! nikweli.. nikweli... ok! kesho basi... eti unaitwa nani vile?" sasa ilikuwa zamu ya Suzana kupatwa na kigugumizi "naitwa Edy .... Edgar" alijibu kijana huyu "ok mimi naitwa Suzana, nazani tuataonana kesho nikupatie mkataba" aliongea Suzana huku akiondoka kuelekea ndani kwake, ataalipoibia kumtazama kijana yule alimwona bado amesimama akimkodolea macho,******* kiukweli Edgar ali simama akiya kodolea macho makalio ya mama mwenye nyumba wake jinsi yalivyo kuwa yaki tikisika yakimaananisha kuwa licha ya ukubwa wake lakini hakuwa amevaa chupi ndani "mh! kuna watu wana faidi yani da!" alijiemea Edgar baada yakushuhudia mlango wa nyumba ya mwenyenyumba ukifungwa, taratibu akaelekea chumbani kwake, alipo fika kwanza akawasha taa alafu…

#je umeipenda  toa ushilikiano wako like comment zikiwa  nyingi takuja  kuweka ep zingine chapu. By Aisha  pepe

Endelea kufatilia mkasa huu hapa hapa

#SHARE

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post