TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MAMA MWENYE NYUMBA 01

Chombezo : Mama Mwenye Nyumba

Sehemu Ya Kwanza (1)
Ilikuwa ijumaa usiku saa nne kasolo, nje ya kidogo ya jiji la dar es salaam, mtaa wa M'buyuni kibamba ccm, ndani ya nyumba moja kubwa sana iliyo zungushiwa ukuta mkubwa (fensi) na nyumba nyingine ndogo tatu za vyumba viwili na sebule za kupangisha, na moja iliyo kuwa na chumba kimoja tu! licha kujengwa kwaajili ya mlizi lakini nacho kilipangishwa,

Binti mmoja mrembo sana mwenye miaka 28, anayeitwa Suzana, mtaani vijana umwita Suzana mahips kutokana na jinsi mwiliwake ulivyo, maana amejaliwa umbo namba nane, ilikipambwa na mapaja manene na makalio makubwa sana, ilifikia kipindi vijana wakolofi uwa wana piga miluzi, asa wakimwona anapita mtaani akitembea kwa miguu, kitendo kilicho sababisha aweanashindwa kushuka ndani ya gali lake aina ya totota lav 4, ata anaponunua kitu kama gazeti au mboga za majani, nyama kwenye mabucha, samaki, uwa ana agiza akiwa ndani ya gari ,bahati nzuri kwakea wadau wenye kuuza vitu hivyo pale mtahani, walikuwa wanamjuwa, na walikuwa wanafahamu usumbufu aliokuwa anaupata

usiku huu Suzana ma hips alikuwa amejilaza kitandani mtupu kama alivyo zaliwa, nakufanya umbo lake lionekane wazi kabisa, mle chumbani pia alikuwepo mzee Mashaka, ni mzee wamakamo wamiaka 59, alikuwa anamalizia ku funga mkanda wasuluali yake, "baby inamaana ndiyo basi atufanyi tena?" aliuliza Suzana kwasauti yaunyonge sana akionyesha kuitaji kitu flani, "nimechelewa sana alafu nimechoka sana, husijari kesho uta enjoy" alisema mzee Mashaka huku akiichukuwa simu yake nafunguo za gari mezani na kuanzakutoka nje, "kilasiku unasema hivyo hivyo ukija una nichezea tu! alafu unanihacha na hamu zangu, sijuwi unazani nani atanikatakiu zaidi yako" alijisemea kimoyo moyo Suzana, huku ana jiinua na kuichukuwa nguo yake nyepesi inayo angaza ya kulalia nakuivaa bila nguo nyingine yoyote ndani nakufanya mwiliwake huonekane vyema asa mahips na makalio yake manene namakubwa, "ila husijari mpenzi ata leo nime enjoy sana mpaka kiuno kina niuma" aliongea Suzana akimliwaza mzee Mashaka hasijione zaifu, lakini moyoni alimlahumu kwa tabia yake ya kumwacha njiani kila siku,tokea wamekutana nakuanza kufanya mapenzi bila kumfikisha kwenye kilele cha utamu wenyewe, "hahahaha sasa ungenikuta enzi zangu ungekimbia bila vitatu nilikuwa sibanduki" aliongea mzee mashaka akionyesha uso wa tabasamu la ushindi, waliagana na mzee Mashaka akangia kwenye gali lake aina ya nisan safari na kuondoka zake huku Suzana mpenzi wake ambae umri wake ni sawa na binti yake wapili Sophia, akimfungulia geti nayeye akapita na nakutokomea zake, Suzana alifunga geti huku akiwa ana mawazo mengi sana juu ya penzi lake na huyu mzee Mashaka, baba wa rafiki yake Sophia ambae, nipenzi linalo mtesa sana ni mwaka watatu sasa toka akutane na kuanza kuwa wapenzi na mzee Mashaka, lakini hakuwai kuenjoy penzi la mzee huyu tena mbaya zaidi mzee Mashaka ndie mpenzi wake wakwanza nandie alie uchukuwa uschana wake na kumwingilia kwamala yakwanza, aliwaza sana Suzana akiwa amesimama pale kwenye gate ambalo hakuweka mlinzi maana kulikuwa na wapangaji familia tatu pia kunakijana mmoja ambae alijulishwa kuwa nimwanafunzi wa chuo anaitaji kupanga chumba kimoja, licha yakuruhusu kijana huyo aingie kwenye chumba hicho, lakini niwiki sasa ilikuwa ina karibia kuisha bila kukutana na mpangaji huyu nakupeana mkataba nakupewa pesa yake ya miezi mitatu, hii nikutokana na shughuri zake za kila siku, ********** kabla yakuajiliwa na Bank ya wananchi kama mhasibu msaidizi wa tawi la ubungo Suzana alikuwa anasoma chuo cha usimamizi wafedha, akiwa ametokea mkoani Iringa kwenye familia yakawaida, ya watoto watatu wawili wakiwa ni wanaume ambao ni kakazake, baba na mama yeke waliwalea kwamisingi ya maadili mema kitendo kilichosaabisha mpaka mwaka wa pili katikati akiwa chuo bado Suzana alikuwa hajawai kuruhusu dudu ya mwanaume yoyote

#je umeipenda  toa ushilikiano wako like comment zikiwa  nyingi takuja  kuweka ep zingine chapu. By Aisha  pepe

Endelea kufatilia mkasa huu hapa hapa

#SHARE

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post