DijitoStore - Business software

MASHABIKI WARUDISHIWA PESA YAO BAADA YA TIMU YAO KUFUNGWA GOLI NYINGI: ENGLISH PREMIER LEAGUE

Wachezaji wa Tottenham Hotspurs wamejitolea kuwarudishia pesa walizotumia mashabiki wao waliosafiri kutazama mchezo wa Ligi Kuu ya Premia kati ya timu hiyo na Newcastle United walipofungwa mabao 6-1.
Wachezaji wa Spurs wamechukua uamuzi huo jana Jumanne, siku mbili baada ya timu hiyo ya London kuruhusu kufungwa mabao matano katika kipindi cha dakika 21 uwanjani St. James Park.

Kichapo hicho kiligharimu kibarua cha meneja wa muda Cristian Stellini.

Vipi shabiki wa soka, timu zetu za nyumbani zinaweza kufanya hivyo? 
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post