SANAMU LINALO TAZAMA KANDANDA SPAIN
Vicente Navarro Aparicio alikuwa mmiliki wa tiketi ya msimu mzima (Valencia)🇪🇸 ambaye alitazama kila mchezo wa nyumbani.
Hata baada ya kuwa kipofu, alipenda kutembelea Uwanja wa Mestalla kushabikia timu yake na kuhisi hali ya hewa.
Klabu ilijenga sanamu katika kiti chake alichopenda sana, alipoaga dunia
Tags
Duniani