TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

SIRI YA BAFU 02

Chombezo……………….SIRI YA BAFU!
UMRI______________18+
SEHEMU YA 2

ILIPOISHIA........ 

“Sukuma baba oooshiiiih!sukumaaa!” ghafla aliacha kumuita Hamza dogo, akaanza kumuita baba hapo Hamza anachanganya viuno kam anacheza singeli ya makabila.

ENDELEA NAYO....... 

Mama Jeni kama hakutegemea kabisa kupata penzi kama lile kutoka kwa kijana mdogo Hamza, ambaye kiumri kamzidi mbali sana, kama angewahi kuzaa basi angekuwa mwanaye kabisa wa kumzaa.
Ukwasi wa siku nyingi uliochangiwa na mumewe kumuacha njiani kila walipofanya mapenzi ulimfanya awe na hamu kubwa ya tendo. 

Mboo ya Hamza ilikuwa habari nyingine kabisa, ilikua kama mgeni aliyepokelewa ndani kwa mbwembwe na shamra shamra zote. Sauti alizotoa mama Jeni zilionyesha ni jinsi gani anaenjoi tendo lile na kijana Hamza, Hamza hakuwa na hiyana alitamani kuwauliza wahenga waliosema, mtoto akililia wembe mpe umkate, alitaka awaulize je mtu mzima akililia wembe anapewa nini?

“Oooh! baba taratiiiibu jamaniiii oooh oooh!oooh!”

Hamza alikuwa anafanya kama hatofanya tena!
Kosa walilofanya ni kujisahau kuwa wapo bafuni, wakajiona kama wako kwenye bonge moja la hoteli la kitalii wakifanya yao bila uoga!
Mama Jeni akashindwa kuizuia sauti yake, mahaba yalimzidia mboo ya Hamza ilimkuna ipasavyo na kumfanya ajikute anaenjoi tendo kwa mara nyingine tena katika maisha yake, baada ya miaka miwili kupita. 

“We Hamzaaa weweee mtotoooo, wewweeee babaaaa, aaaaahssiiii nakojoaaaa aaahhhhmm mamamamamama oooohsiiiiihiii ooooohhohoho!”

Kelele zilizidi muda huo na Hamza naye alikuwa mbioni kuvunja dafu kukawa hakuna wa kumnyamazisha mwenzie.

                   ****

Nyumba ya wapangaji ishirini haikosi watu wa kutoka kwenda chooni hasa nyakati za usiku, ndicho kilichotokea, binti mmoja naye amepanga katika nyumba ile, alibanwa na mkojo!
Siku hiyo ilikuwa bahati mbaya kwake, alisahau kopo lake la kukojolea nje hakuliingiza ndani, kwa jinsi mkojo ulivyokuwa umembana alitamani hata akojolee kwenye beseni lakini akajizuia. 

Aliamka akajikaza akajifunga kanga yake na kutoka nje huku akiwa na uoga mkubwa, alifungua mlango na kwenda moja kwa moja mpaka kilipo choo. Alifika akaingia chooni akakojoa kisha akatoka akachukua kopo lake, ila ghafla akasikia sauti ambazo zilimfanya asimame kwanza. 

Alisikiliza kwa makini akagundua kabisa ni sauti za watu wanafanya mapenzi, hapo akaona isiwe tabu akasogea karibu kabisa na mlango wa lile bafu akatega sikio kwa makini. 

“Hamzaaaaa ooohhh we mtotooo unanipatiaaa aaashiiiiiihhhh oooshh baba babaaa weeeh simpi tena mume wanguuuu oooooshiiiii!”

Sauti ile iliingia masikioni mwa yule binti ikamuingia vizuri na kumfanya aifahamu, alishtuka sana mapigo ya moyo wake yakaenda mbio haswa. 

“Mhhh! huyu si mama Jeni huyuuu? si anajifanyaga mlokole huyu jamani, aiiih dunia hiii, ebu ngoja kwahiyo anafanya mapenzi na Hamza, kile kitoto mmmh mbona makubwa aya!”

Sauti zile za mahaba za Mama Jeni akisulubiwa na kijana mdogo zilimfanya yule dada anogewe na kuendelea kusikilizia, alitafuta japo upenyo kidogo aone jinsi Bus linavyovutwa na bajaji lakini bahati mbaya ilikuwa kwake, hakukuwa na tundu hata la kupitisha sindano!

“Aahhh! mabafu mengine bhana si wangetoboa hata kidogo mmhhh! ona sasa nakosa utamu hivi hivi! Na sitoki hapa mpaka watoke niwaone, niwaone kabisa kama ndiyo wenyewe ili nipate cha kusimulia, umbeya nayo kazi japo haina posho!”

Ndicho alichokiamua yule binti, alijibana kabisa pembeni ya mlango akawa anawasikiliza mpaka wamalize watoke awaone, hakujali mbu wala nini. 

Utamu wa penzi la Hamza ulimpeleka Mama Jeni katika dunia nyingine, akawa anajihisi yuko kwenye ulimwengu wa peke yake ambao anaishi yeye na kidogodogo chake!
Hamza alikuwa jabali usiku ule, japo haikuwa mechi rasmi ila aliibuka kinara akawa nyota wa mchezo ndani ya lile bafu. 

Mama Jeni alikiona cha moto walifanya kuzunguka tu ndani ya bafu, huku Hamza akiwa nyuma yake kamganda kiunoni kama kupe kwenye ngozi ya ng’ombe aliyenona.
Kitendo cha kukojozwa na kilimfanya mama Jeni achanganyikiwe, utamu alioupata hakuwa amewahi kuupata kabisa, ndani ya muda mfupi akawa amekojozwa mara tatu na hapo nguvu zikamuishia akaanza kumuomba Hamza amuachie maana kamganda kiunoni kama sumaku. 

“Hamza babaangu nimechoka sasaa!niachieee oooohh!utaniua we baba weweeee!”

“Niite baba ndiyo nikuachie!”

“Babaaaa! babaaa nimetoshaaa!”

“Utaniita tena dogooo!?”

“Hamna baba wewe ni babaaaa ooooshiiiiihhh ooooohh!”

Ni muda huo huo ndiyo akawa anakaribia kukojozwa mara ya nne, huku kijana Hamza akiwa anatafuta kukojoa kwa mara ya pili, wakajikuta wamekutana njia panda ya kwenda kileleni!
Walimaliza kwa pamoja ndipo hapo wakaanza kuoneana aibu, Mama Jeni alishindwa kumuangalia Hamza usoni, hata Hamza naye aliangalia pembeni kabisa akaanza kuoga. 

Mama Jeni naye akakumbuka maji yake aliyaacha nje, akatoka nje akiwa mtupu akachukua ndoo na kurudi bafuni akajimwagia maji kisha akajifunga kanga yake. 

“Hamza kuanzia leo usipige punyeto baba, ukitaka mambo we nikonyeze tu mimi, hata gesti ntalipia!”

“Sawa mpenzi!”

“Mie ngoja nimuwahi baba Jeni, najua atakuwa anakoroma tu yule akilala hashtuki!”

Mama Jeni alitoka bafuni akamuacha Hamza ambaye naye alivaa boksa yake akajifunga taulo akatoka bafuni.
Alizipiga hatua zake mpaka kwenye chumba anacholala yeye na wadogo zake, aliwakuta wako hoi usingizini, alitaka kufunga mlango lakini akasikia sauti ya kike inamwambia. 

“Usifunge mlango Hamza!”

Sauti ile ilimchanganya Hamza na kumshtua, alitaka kuifananisha na sauti ya mama Jeni lakini haikuwa yenyewe, wakati anajiuliza mlango ukafunguliwa yule mtu akaingia ndani. 

“Da Sheila!”,alitahamaki baada ya kuona ni mwanamke anayemjua, japo hajamzoea sana, huwa anamuita tu na kumtuma dukani basi. 

“Da Sheila umefuata nini hu…!”

“Shiiiiihh! wadogo zako watasikia!”

“Sasa dada ume…!”

“We Hamza ukome tena ukome kuniita dada, mimi sijazaliwa tumbo moja na wewe, tena ukome kabisa hiyo tabia yako ya kuniita ita dada!”

“Jamani kwahiyo kosa langu kukuita dada?”

“Kosa lako kumliza mtu mzima bafuni!”

Hamza alishtuka mapigo ya moyo yakenda kasi, hakutaka kuamini kama Sheila amesikia kila kitu kilichotokea bafuni. 

 “Sasa unashtuka nini? au siyo wewe uliyokuwa unasema niite baba, usiniite dogo kuanzia leo, nikatie mama Jeni siyo wewe!?”

Hamza alinywea akawa mdogo kama piltoni, aliamini kuwa anafanya mapenzi na mama Jeni ili kuficha siri yake lakini kitendo kile kimemuingiza matatani!
Sheila aliwaona sasa msala umekuwa mkubwa zaidi, sababu bora ule wa punyeto ni yeye na sabuni yake lakini huu ni yeye na mama Jeni na kibaya zaidi mama Jeni mke wa mtu. 

Majanga ni endapo Sheila ataamua kusema juu ya alichokiona baina yake na mama Jeni, hapo ndipo kwenye utata. 

“Vipi na mimi nikuiteje sasa dogo au baba?”

“Da Sheila please usije ukasema mimi sijafanya kitu na mama Jeni!”

“Weeee! Acha uongo tena mdanganye mwingine nimewasikia kabisa kwa masikio yangu, hadi alipotoka nilimuona!”

“Bahati mbaya tu Da Sheila!”

“Nimekukataza kuniita dada au hunielewi!”

“Sasa mbona unapiga kelele baba ataniskia!”

“Ntaenda kumwambia we nizingue uone, hapa nisikilize tu nipe nachotaka basi tumalizane!”

“Unataka nini?”

“Na mimi nataka nikuite baba!’

“Mhhh! sasa hivi wadogo zangu wamelala lakini!”

“Usijali twende kwangu!”

“Mhhh! kwako!!?”,aliuliza kwa mshangao. 

“Ndiyo si unajua naishi peke yangu au umesahau eeh!”

Alisema Sheila muda huo akamsogelea kijana Hamza na kumbania ukutani, mkono wake akaupeleka na kulifungua taulo lake likaanguka chini akabaki na boksa tu. 

“Lakini da….!”

“Shiiiiiiiiiiihhh! unanipa humu humu au tunaenda kwangu?”

“Kwako, kwa…kwako tu…tunaenda kwako!” alibabaika Hamza sababu mkono wa Sheila ulikuwa ndani ya boksa yake unaichezea mboo yake. 

“Kumbe ndiyo maana yule mama kalia eeh, unalo likubwa hadi raha oooohhhsiiiih!”

Alisema Sheila muda huo taratibu akaenda chini na kupiga magoti akataka kuitoa mboo ili ainyonye lakini ghafla wakasikia mlango unagongwa.

“Ngo!ngo!ngo!”

Walishtuka Sheila akamuangalia Hamza ambaye naye hakuwa akielewa nani aliyekuwa anagonga mlango kwa sauti ya mbali namna ile,
Aliogopa sana akidhani pengine ni wazazi wake ndiyo wanagonga mlango, akasogea mlangoni huku kijasho chembamba kikimtoka!

                   *********

Mama Jeni baada ya kutoka bafuni alienda kwake akaingia na kumkuta mumewe akiwa amelala hana habari kabisa juu ya kinachoendelea!
Alisimama akamuangalia mumewe kwa sekunde kadhaa, alimlaumu sana mumewe kwa kumpimia mapenzi, aliamini kabisa tabia hiyo ndiyo iliyomfanya aangukie kwenye penzi la Hamza ambalo hakudhani kama atachomoka maana dogo mwenyewe anajua mambo hatari. 

“Mhh! umeyataka mwenyewe baba, ngoja wakusaidie kula si umekuwa kibogoyo!”

Alijisemea Mama Jeni kisha akakaa kitandani, hapo akili na mawazo yake yote yalikuwa kwa Hamza. Kijana mdogo aliyempatia mapenzi ya ukweli. 

“Mhh! huyu dogo huyu mmh! itakuwa kafuata kwa baba yake maana hata mama Hamza sijawahi kumuona na michepuko, katulia kama maji ya mtungini! Mhhh!hili toto hili sijui la nje ya ndoa, mbona litamu hivi?eti niite baba na mimi naye bila aibu babaaa, wewe ni babaaaa, mmmh! yani kunipelekesha mtu mzima miye na kijasho kinanitoka jamani mmh!”

Mawazo ya mama Jeni yalikuwa kwa Hamza tu, mwanaume ambaye kwa hakika alimteka akili yake jumla jumla bila hata chenji. 

“Hivi katakuwa na hela ya kula shule aka kweli?mmh! ebu ngoja nikapelekee bhana, kama pongezi ya kazi nzuri!”

Mama Jeni alichukua pochi yake akaangalia akiba yake ambayo ilikuwa na kama laki tano za biashara yake anayozungusha mtaani!
Alichomoa noti ya shilingi elfu tano akatoka mpaka mlango anaolala Hamza na wadogo zake alifika akagonga bila kujua ndani yupo Sheila ambaye naye analitaka penzi la Hamza kwa udi na uvumba. 

“Hamza ni mimi bhana fungua!” alisema Mama Jeni baada ya kuona Hamza kapata kigugumizi kwenye kufungua mlango. 

Hamza ni kama alishikwa na kigugumizi cha maamuzi, alishindwa aamue nini? kufungua mlango ama lah!
Ndani kulikuwa na mwanamke na nje kuna mwanamke pia. 

"Fungua mlango!" alisema Sheila!

"Nafungua halafu inakuwaje?" Alihoji Hamza!

"Acha maswali ya kijinga basi ngoja nikafungue Mimi!"

"Basi! basi! subiri nikafungue mwenyewe!"

Hamza hakuwa na namna ilibidi akafungue yeye mlango maana angefungua Sheila ungeweza kutokea fujo, jjambo ambalo hakutaka litokee sababu baba yake akisikia utakuwa msala mkubwa mno. 

Alifungua mlango akatoa kichwa nje akamuona Mama Jeni kajaa tele, kasimama na kanga yake anatabasamu tu uso unang'aa na mwanga wa mbalamwezi.
Mama Jeni ni kama hakuridhika baada ya Hamza kutoa shingo tu nje. 

JE NINI KITAENDELEA? MAMA JENI ATAINGIA NDANI BAADA YA KUTORIDHIKA AU ATAFANYA MAAMUZI GANI?

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post