TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

SIRI YA BAFU 03

Chombezo……………….SIRI YA BAFU!
UMRI______________18+
SEHEMU YA 3
ILIPOISHIA........ 

Alifungua mlango akatoa kichwa nje akamuona Mama Jeni kajaa tele, kasimama na kanga yake anatabasamu tu uso unang'aa na mwanga wa mbalamwezi.
Mama Jeni ni kama hakuridhika baada ya Hamza kutoa shingo tu nje.

ENDELEA NAYO......    

Alivyoona vile ikabidi akachukua maamuzi ya kumvuta na kutoka mzima mzima mpaka nje. 

"Vipi?" alihoji Hamza muda huo anahofu sana sababu walipo ni karibu sana na dirisha ambalo wamelala wazazi wake. 

"Jamani Hamza mie nimekuletea tu zawadi nzuri uliyoifanya bafuni, unahitaji zawadi maana siyo kwa mahaba yale, mpaka najiuliza we mtoto au mtu mzima!?"
Aliongea Mama Jeni bila aibu mbele ya kijana ambaye kwa hakika kama angewahi kuzaa basi angekuwa mwanaye kabisa. 

"Mmmh! mie hata sijafanya kitu jamani!"

"We wasema lakini mimi najua ulivyonichanganya hadi nakuita baba jamani unadhani mchezo!"

"Mhh!Aya nipe zawadi nikalale hakuna usalama hapa, mazingira si unayaona!"

Mama Jeni alimvutia kwake kijana yule akamkumbatia na kumuangushia mabusu kadhaa, kisha akamshikisha kitu kama karatasi mkononi!

"Hiyo usifungue mpaka ukifika ndani!"

"Sawa!"

Mama Jeni alipitisha mkono na kumshika bwana utamu ambaye alikuwa kasimama kama hajatoka kumuadabisha mtu bafuni. 

"Mhhh! wewe baba wewe, siumetoka kunifanya Bafuni jamani, tena saivi umesimamisha namna hii jamani!" alisema mama Jeni sababu alishazoea penzi la mumewe akimaliza bao moja tena hatumii muda mrefu basi hapo ni mpaka kesho kuiona imesimama tena. 

Kwa akili yake yeye alijua Hamza amesimama baada ya kumuona hapo, bila kujua kuna mwanamke kwenye chumba cha Hamza na wadogo zake na yeye anataka penzi kama alilopewa yeye bafuni. 

Mama Jeni aliichua mboi ya Hamza ambayo imemfanya akakojozwa mara kadhaa bafuni, moyoni alikiri kweli Hamza ni kijana mdogo aliyebeba makubwa!
Kama haitoshi Mama Jeni akamuaga Hamza kwa denda tamu la kifaransa kisha akamuachia, ila kabla hajaondoka akamwambia!

"Hatakiwi mtu kujua kilichotokea, tunza hii siri mpenzi, hii ni 'SIRI YA BAFU'

"Hahahahahaha!", alicheka Hamza basi Mama Jeni ni kama alikuwa amechanganyikiwa zaidi na penzi la kijana Hamza akataka amkumbatie tena ghafla wakasikia baba Hamza anakohoa. 

"KOH!KOH!KOOH!"

Hapo hakuna aliyemsubiri mwenzie, kila mtu alipita njia yake, Hamza aliingia ndani na Mama Jeni akatimkia kwake. 
Ile Hamza ameingia ndani tu Sheila akamvuta akamkamata mkono ili aone Mama Jeni kampa nini?

"Nini lakini Sheila?"

"Tulia wewe Leta nione amekupa nini? Limama lizima halina haya hili!" alisema Sheila akajisahau kuwa hata yeye kamzidi miaka Hamza japo si sana kama Mama Jeni. 

Alifanikiwa kuufungua mkono wa Hamza na kujionea noti ya shilingi elfu tano, kama zawadi kutoka kwa mama Jeni. 

"Khaaaaaaahh huyu mwanamke huyu si nimemuomba buku mbili jioni aniazime tu akasema hana pesa, saivi amekupa elfu tano!"
Alishangaa sana Sheila akaona kama Mama Jeni alimnyima pesa ilihali alikuwa nayo kabisa. 

"Ni mara ya ngapi leo mnafanya mapenzi?" alimhoji swali Hamza. 

"Ya kwanza!"

"Mmhh!muongo wewe yaani mara ya kwanza tu ndiyo huyu achanganyikiwe hivi?"

"Kweli ni mara ya kwanza leo!"

"Okay, hainihusu hata hivyo, nataka ukanipe kilichomchanganya huyo mwanamke la sivyo naenda sasa hivi kwa baba yako kukuchoma kuwa nimekukuta mnafanya mapenzi bafuni, kama mnasema ni SIRI YA BAFU' basi mnajidanganya!"
Alisema Sheila muda huo Hamza hasemi kitu anamuangalia tu binti yule ambaye kwa hakika ni mzuri, maana hata yeye alikuwa anammezea mate siku nyingi, sema kumwambia ndiyo asingeweza sababu bado ni mkubwa kwake. 

"Acha kuzubaa twenzetu!" Sheila alimshika mkono Hamza ili atoke naye nje muda huo yuko ndani ya pensi tu. 

"Subiri nivae basi!"

"We jifunge taulo tu sitaki uvae manguo mengi ukanisumbue kukuvua huko Mimi!"

Hamza alivuta traki yake akaitupia mwilini na singlendi kisha akatolewa mkuku mkuku mpaka mlangoni kwa Sheila. 

Walifika wakazama ndani, Sheila akaufunga mlango vizuri kisha akamgeukia kijana Hamza, akamuangalia kwa muda kisha akaanza akaivua kanga yake na kuiweka pembeni. 
Kama haitoshi akavua na chupi yake akaiweka pembeni, macho yake yalikuwa yameregea kama ametoka kutafuna kungu, kumbe wala ni kiu cha mapenzi alichokuwa nacho. 

Alisimama akachukua kibanio na kuzibana nywele zake, alijua kwa timbwili linaloenda kutokea si ajabu kila kitu kikavurugika. 
Alimsogelea Hamza akamkumbatia kisha akamuambia sikioni. 

"Show me what you gat boy! (Nionyeshe ulichonacho kijana)"

Hamza ni kama bado alikuwa anautathmini uzuri wa mlimbwende Sheila ambaye kwa hakika alikuwa na sifa zote za kuitwa pisikali!
Urefu aliokuwa nao, sura nzuri na wembamba wake uliwafanya watu wamtolee macho, hasa pale anapoamua kupigilia zile pamba kali za kijanja. 
Wengine huwa wanamtania na kumuita ni malaika aliyepotea njia na kuja kuishi duniani, wakimaanisha ni mrembo aliyestahili kuishi masaki huko au Osterbay lakini kaangukia Uswazi huku Tandale kwa tumbo.

Kiuno chake kidogo kilibeba msambwanda usiokera, mkumba kiasi ambao ulimfanya akivalia nguo za kubana basi avutie haswa, mpaka kuna vijana walikuwa wanamtaka awe Video queen kwenye nyimbo zao za singeli lakini akawa anakataa. 

Hamza ni kama bado alikuwa haamini kama kweli yuko na mwanamke yule chumbani, tena akiwa mtupu kabisa mbele yake. 
Alipatwa na kigugumizi ndiyo maana akashindwa kufanya kitu, kiufupi alizubaaa tu. 
Japo alikuwa anamtamani Sheila, ila alikuwa anamheshimu kama dada yake, Mara nyingi Sheila alikuwa anamuita na kumtuma dukani kumtafutia mahitaji yake na kadhalika. 

Hakuwahi kuiwaza kama kuna siku itatokea Sheila akawa mtupu vile mbele yake!

Sheila ni kama alijua Hamza amepatwa na kigugumizi, ndiyo maana akamsogelea karibu zaidi na kumkumbatia, chuchu zake zikamchoma kifuani na kumfanya asisimke balaa. 

Kama haitoshi akapitisha mkono na kuishika mboo ya Hamza akaishia kuguna tu, maana ilikuwa imesimama halafu kubwa mpaka siyo vizuri. 

"Ndiyo maana mama Hamza ametulia, itakuwa huyu mtoto karithi kwa baba yake una mashine kama hii ndani uchepuke utakuwa chizi sasa!" alijisemea moyoni Sheila!
Mpaka hapo hakuwa na swali, alijua kwanini mtu mzima Mama Jeni alikuwa anaangusha yowe bafuni kama mtoto mdogo. 

"It's show time babe!" alisema Sheila kisha akaishika boksa pamoja na traki akavishusha chini kwa pamoja.
Taratibu akapiga magoti na kuishika mboo ya Hamza, ni kama alitaka kufanya kitu lakini akaona siyo sehemu sahihi ndiyo maana akamsukumia kwenye kochi Hamza akakaa bila ubishi. 
Ni hapo akapiga magoti mbele yake, akaishika mboo ya Hamza na kuipiga busu la nguvu, kisha akaisukumia mdomoni akawa kama anaipigisha mswaki. 

"Tulia kijana nikupe penzi, achana na yule mama aliyekubaka bafuni!"
Alisema Sheila mara baada ya kumuona Hamza anaweweseka balaa, utamu wa ulimi ulimzidia na kujikuta ameyafumba macho na kutoa miguno ya kimahaba. 

"Oohh!ooohhh!!Oooohhhhh!"

Sauti yake ilimpa nguvu Sheila ambaye aliongeza utundu wake na kuzidi kumchanganya Hamza ambaye ilikuwa ni mara yake ya kwanza kunyonywa mboo, maana yeye alikuwa anaona tu kwenye video alizokuwa anaangalia, siku hiyo akakutana nayo laivu kwa mtoto wa kitanga. 

"Mhhh!mmmhhhh!Sheiiiiiiiii!"

Utamu ulimnogea Hamza na muda huo Sheila anaziramba koro zake na kuzimumunya kama anakula ubuyu kisha anampuliza, ule upepo unaleta ubaridi unaompa raha Hamza. 

Wakati anafanya yale mkono mmoja ulikuwa umemshika bwana utamu anamchua taratibu bila karaha.
Raha alizosikia Hamza zilimfanya awaite wazungu bila kutarajia, alijihisi kabisa anataka kukojoa, akataka amtoe Sheila ili asimkojolee lakini binti alionekana anazitaka mbegu. 

"Njoo baba, nawasubiri wazungu walete bebiiiii, waleteee mpenziiiii, nawataka wazunguuuu!"

Hamza hakuweza tena kuwazuia wazungu, akawashusha wote huku anapiga kelele za kiume. 

"Ooohh!oooohhh!ooohhhmmmmhhhhh!"

Sheila alikuwa fundi kweli, hakukubali na punje moja iangukie chini, zote akazimeza mdomoni zikazama tumboni na zilizobaki akawa anaziramba na kuzimeza bila kinyaa wala kichefuchefu. 

"Oohhh! dogo hapa ndio penyewe kaa hapo ngoja ninywe kwanza maji kijana, bado hujalia mbona!"

Sheila alienda kunywa maji akamuacha Hamza anatafakari, ni hapo kumbe akajua kuwa hawafanyi mapenzi ila wanapigana vita. 

"KUMBE NI VITA EEEH!"
Alijiuliza Hamza baada ya kugundua Sheila anataka Vita siyo mapenzi, alitabasamu tu kisha akasimama na kumfuata huko huko kwenye friji akamkumbatia kwa nyuma muda huo mboo yake inasoma 5G tayari iko dede. 

"Mhhh, we dogo ushasimamisha mara moja ile jamani, mmh!"

Hamza hakujibu kitu ndiyo kwanza akaupitisha ulimi wake kwenye uti wa mgongo wa Sheila na kumfanya apige kelele bila kutaka. 

"Aaaaashiiiiiiihhh! Dogo umenigusa wapi aaaashiiiihhhhhh!"

Hamza aliutembeza ulimi wake kwenye mgongo wa Sheila kama nyoka aliyejeruhiwa.
Alipandisha ulimi na kuiramba shingo yake kwa nyuma, hapo binti Sheila akakunja shingo yake na macho yake yakaregea kabisa. 

"Osssshiiiiiiiiiiihhhh!bebiiiiii noooooohhhh!!"

Maeneo yote aliyotembelea Hamza ndiyo yalikuwa yanahifadhi nyege zake, alijua muda sio mrefu ataanza kuimba kilugha chao bila kutaka, ndiyo maana akawa kama anataka kujitoa lakini haikuwezekana. 

"Hamzaaaaaaaaaa!aaaaahhhhhsiiiiiiihhhh!"

Alichanganyikiwa baada ya ulimi wa Hamza kuingia sikioni mwake na kumfanya kama anamchokonoa na ulimi wake kisha akampiga busu moja la kushtukiza, hapo Sheila akaanza kuhemea juu juu kama anataka kukata roho. 

"Oooohhhh! oooohhh!mmmmhhh! utaniua babe ooohhh!"

"Si umetaka vita mama tulia tupambane!" alisema Hamza kimoyomoyo muda huo tayari lile jina la dogo limepotea sasa alishaanza kuitwa babe, alijua si muda mrefu ataitwa baba maana ndiyo jina analolitaka. 

Alimgeuza Sheila akamkumbatia kwa mbele sasa, hapo akampa denda la nguvu huku mkono wake ukiipapasa kuma yake ambayo ataivuruga muda sio mrefu. 

Alijua kabisa huko kote anakopita ni mvua za rasha rasha tu, sehemu ya kumfanya aitwe baba ni pale kwenye kuma, ndiyo maana hakuwa na papara wala haraka napo kabisa. 
Aliutoa ulimi mdomoni akaushusha kwene chuchu za Sheila ambazo bado zilikuwa zinadai. 

"Haaaa...mzaaaaaa!"

Baada ya kumalizana na utalii nje sasa akaingia rasmi kwenye utalii wa ndani ambao kwa hakika ndiyo uliowaleta pale.
Alimtupia kitandani Sheila, kisha akaichanua miguu yake na kupeleka kichwa chake ili aingie chumvini ila Sheila akashtukia mchezo. 

"Unataka kufanya niniiiiiiii????" aliuliza Sheila akataka kumzuia Hamza asizame chumvini lakini akachelewa ulimi Hamza ulitua kwenye mashavu ya ikulu yake na kumfanya apige yowe kubwa mno!!

"AAAAHHSIIIIIIHHHH!MAMAAAAAAAAA!YESSS! YES BOY FUUUUUUUCK!!!"

Sheila alikamatika haswa, sehemu aliyoingia Hamza ndiyo udhaifu wake ulipo, hapo ndipo zilipo nyege zake!
Hamza alikuwa chumvini anajichimbia chumvi hana habari, wakati huo Sheila anapiga mayowe kwa raha alizopewa. 

Hakutegemea kama Hamza anaweza kuwa na mbwembwe namna ile, hali ilikuwa mbaya sana upande wake. 
Alishikwa sehemu mbaya sana, kama haitoshi Hamza akapenyeza kidole na kuanza kuisugua g spot huku ananyonya kuma ya Sheila bila papara, ni hapo ndipo akalipata lile jina alilolitaka. 

"Aaahh! babaaaaa! baba weweeee! unajuaaaa!aasssoiihhh tamuuu jamaniiiiii oooshiiihhh!"

Sheila alimuita Hamza baba hata kabla hajamzamisha bwana utamu pangoni!
Kilio kiliongezeka, akakishika kichwa cha Hamza na kukikandamizia kwenye kuma yake na kisha akaikunja miguu yake na kumuwekea kichwani Hamza, sijui alihisi atamtoroka. 

"Aaahhhsssiiiihhh, Hamzaaa! Hamzaaaa!bbabaaaa!nakujaaaa ...na...na...nakujaaaa woooooiiiihhhh!"

Kasi ya kiuno iliongezeka, Sheila akauma meno kijasho kikamtoka, dalili zote zilionyesha kabisa ni wazi anataka kufika kileleni. 
Ndiyo maana Hamza akaupenyeza mkono wake mmoja akaishika chuchu ya Sheila na kuipapasa taratibu. 
Yaani hapo ikawa mikono yote inafanya kazi pamoja na ulimi juu. 
Mkono mmoja ulikuwa unacheza na g spot, mwingine uko unapapasa chuchu na ulimi uko unanyonya kuma bila pupa. 

Ghafla Sheila akaanza kutetemeka kama anapigwa shoti na kelele juu. 

"Oooshiihi!na...na...kojoaaaaaaashiiiii!babaaaaaaaaa!babaaaaaa!"

Alishusha kojo moja la nguvu akalala chali huku anahema kwa nguvu, muda buo Hamza anamuangalia tu kwa jicho la je niendelee au niishie hapa. 

"We siyo mtoto wewe ooohhh! ooohh! mama yanguu!"

Alisema Sheila huku anahema kwa nguvu muda huo sasa ndiyo kijana Hamza akavua singlendi yake na kusimama mbele ya Sheila huku ameshika mboo yake anaipapasa. 
Muda huo Sheila alikuwa anamuangalia kwa macho ya kusema, 'Niache tu baba niache tu nimetosha!'

Macho yake ya kutia huruma, hayakumfanya kijana Hamza aache kufanya alichotaka kufanya kwa Sheila!
Alipanda kitandani akamuweka sawa kisha akaingia katikati ya mapaja yake, aliamua waanze na kifo Cmcha mende kwanza. 
Aliishika mboo yake akaisogeza kwenye kuma ya Sheila na kuisugua kwa juu kidogo kama anampiga katerero, hapo alikaaa kwa dakika kama mbili nzima ndipo hamu zikamuingia tena Sheila. 

"Ni...nipe babaaa, nipe basiiiii naumiaaaa ooooshiiiiih, weka jamani!!"

Masikio ya Hamza ni kama aliyaziba, wakati Sheila anamwambia azamishe mboo kumani, yeye wala hakuonyesha hata dalili kuwa anataka kuizamisha. 
Sheila aliona usinitanie wewe, kama hutaki kunilisha nitakula mwenyewe, aliushika uboo wa Hamza akaupeleka kumani ukazama taratibu mpaka ukaishia wote akaanza kulia kwa sauti tamu za mahaba. 

"Ooooshiiiiiihhhh!tamuuuuu! Kubwaaaa ooooshiiiihhh!"

Aliipokea mboo taratibu kwa viuno vya taratibu kama anacheza rhumba la kikongo, au ile nyimbo ya Lau nafasi. 

"Nifanye babaaaa, nifanyee mpaka nikuite babuuuu, aaahhhsiiii Hamzaaaa jamaniiii aaasiihhh we mkakaaa!"

Mahaba yalimzidia Sheila muda huo mchezo ukawa unaongeza kasi taratibu, wakajikuta wametoka kwenye rhumba mpaka wakaingia kwenye sebene. 

"Utaniuaaa! utaniuaaaa!aasiiiihhhh!nakujaaa..nakujaaa...fuck me boiiii fuck me babeee ! Njooo babe,njoo nakusubiriiiii! Oooooshiihiiii!aaaaaaaahhhhhsiiiiiiih!"

Sheila alishusha kojo jengine akahema kwa kasi sana, alitegemea atapumzishwa lakini ndiyo kwanza Hamza akainyanyua miguu yake na kuiweka begani. 

"Mamaaaaaaa! we Hamzaaa we!weeeehh!unaniuaaaaa aaashiiiiiihhh!"

Staili ile ilimfanya Hamza aingize mboo yake yote bila kukwama na kumfanya Sheila augulie kwa utamu aliosikia lakini pia kulikuwa na maumivu sababu alihisi mboo inamchoma kizazi kabisa. 

"Tamuuu!aaashiiiiiiihhiiii!ooohhhh!!naumiaaa....oooh!usiacheee hapo hapo babaaa!"

Hamza alikuwa kazini muda ule, maneno yalikuwa machache ila vitendo vilikuwa vingi mno. 

Alichokijua muda ule ni kutwanga tu alitegemea kupepeta baadae!
Sheila akaanza tena kutangaza anataka kufika kileleni, safari hii alionekana kojo lilikuja kwa utamu wa kipekee!
Sheila alionekana kama kapandisha mashetani, kelele alizopiga na jinsi alivyoweweseka ni wazi alikuwa anaenjoi sana kitombo. 

Alimvuta Hamza na kumpa ulimi akamnyonya kwa nguvu kama anataka kuutoa ulimi.
Wakati huo akawa pia amefanikiwa kuzivuta hisia za Hamza, naye akahisi wazungu wanakuja.
Hapo Sasa kukawa hakuna wa kumtuliza mwenzie, kila mtu anataka kushinda mechi yake. 
Nyonga ya Sheila ilizunguka kama feni bovu, na kiuno cha Hamza kilikuwa kinatwanga kama hakitatwanga tena. 

"Hapo!hapooooooo...nifanye kwa nguvuuuu, fuck!fuck!!!"

Sijui aligusa wapi Hamza. Sheila akashusha kojo lake zito lilitoka na maji mengi ndipo kijana Hamza naye akaangusha kojo moja zito wakatulia kwa sekunde kadhaa. 

Sheila alijua mechi imeisha, akataka kuamka lakini akashangaa amevutwa ghafla na kuinamishwa ile staili ya mbwa mtukutu.
Hamza akapiga magoti nyuma yake, akaushika uboo wake na kuutupia kumani. 

"JAMANI MIE NILIJUA TUMEMALIZA OOOOHH!"

"Bado hujaniita babu!"

"Ni..ni..kikuita...ba..bu...u..ta..nia..cha?"

"Ndiyoooo!"

"BABUUUUU!"

JE NINI KITAENDELEA?HAMZA ATAMUACHA SHEILA!?

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post