LOVE BY FORCE
1- 5
SEHEMU YA KWANZA.
.
Ni katika familia moja ambayo ni maskini sana yenye bibi na mjukuu wake wa kike aitwae Rashma.
Rashma ni mschana aliyelelewa na bibi yake kwasababu wazazi wake walifariki kipindi yupo mdogo sana ivyo bibi ake alichukua jukumu la kumlea na elimu yake iliishia kidato cha nne alipasi vizuri lakini pesa ya kumsomesha ilikosekana kutokana na bibi kutokua na uwezo wa kumsomesha.
Baada ya kukaa nyumbani kwa kipindi ilimradhimu kuhangaika kutafuta ajira viwandani ili kumsaidia bibi ake majukumu.
Siku hiyo alienda kwenye kiwanda kimoja maarufu kwa ajiri ya kutafuta ajira alionana na baadhi ya wafanyakazi wa kiwandani.
Kwa kuwa walikuwa wengi hivyo walipangiwa siku ya kwenda kufanya interview.
*****
Upande mwingine anaonekana kijana mmoja wa kimarekani kwenye asili ya Afrika Shedrak akiwa anarejea nyumban kutoka chuoni.
Baada ya kuingia ndani uso kwa uso alikutana na mama yake(Madam Asia) ambaye alikaa sebren alionekana ni mtu mwenye mawazo kiasi baada ya salamu mama akavunja ukimya
Mama: afadhali ulivyorudi maana nilikua nakungoja wewe tu.
Shedrack: Enhe kuna nini mama angu?
Madam Asia: Kesho nina safari ya kwenda Tanzania kuangalia biashara zangu
Shedrack: Yani mama umerudi juzi tu unataka kuondoka tena!.
Madam Asia: Nitakaa mwezi mmoja tu mwanangu.
Shedrack: Sawa mama mimi nakuombea usafiri salama.
Madam Asia: Nashukuru mwanangu nawapenda na ubaki salama na wadogo zako uwasisitizie kuhusu masomo (shedrack ana wadogo zake wa kiume wawili mmoja anaitwa sheby mwingine ambaye ndio mdogo wa mwisho anaitwa sulleyman)
Shedrack: Kuhusu hilo ondoa shaka mama angu
Basi siku ilipita na mama yao aliondoka walibaki wanaume watupu na dada wa kazi aitwaye Zai baada ya kubaki peke hao walikua na uhuru wa kufanya chochote.
Shedrack ambaye ndio mkubwa alipanga kuandaa bonge ya part nyumbani kwao kwa ajiri ya kumvesha mchumba yake pete alianza kuarika baadhi ya marafiki zake.
******
Siku ya pili yake asubuh Rashma alijiandaa kwenda kwenye Interview alikutana na wenzake wengi baada ya kufika zamu yake iliwadia aliingia akiwa na wasiwasi mno baada ya kuingia
Kwenye chumba cha interview alionana na (Supervisor)Msimamizi akaulizwa baadhi ya maswali mda Rashma anaendelea na interview aliingia mmama ambaye alionekana mtu mwenye pesa zake baada ya yule mama kuingia msimamizi alimtoa Rashma nje ili azungumze na yule mgeni lakini yule mama alimuangalia sana Rashma.
Msimamiz: karibu bosi.
Madam Asia: Asante
Msimamiz: za safari naona umekuja kimya kimya .
Madam Asia: Nzury tu vipi biashara inasemaje? kampuni inaendeleaje?
Msimamiz: Mauzo yapo vizuri tu ila kuna baadhi ya mikataba tumeivunja kutokana na mambo yaliyotokea nyuma kwahiyo tunatafuta wafanyakazi wengine watakaokaa nafasi zilizo wazi.
Madam Asia: Sawa tutaongea baadae kuhusu hilo.... yule mschana aliyetoka apa ana shida gani?
Msimamizi: Ni mmoja wao kati ya wanaohitaji kazi hapa.
"Anaonekana ni mdogo kiumri sidhani kama ataweza..... Ok kesho nitamuhitaji ofisini kwangu.
Yule msimamizi alimuita Rashma akamwambia kuwa kesho anatakiwa aonane na bosi wao.
*******
Siku iliyofuata Rashma alijiandaa kwenda kuonana na bosi alivyofika akaelekezwa ofisi ilipo akaingia na kukaribishwa kwenye kiti.
"karibu binti mrembo... Alisema Madam baada ya Rashma kuingia ndani.
"Asante shikamoo". Alisalimia Rashma
”Marihaba... Nadhani umeitikia wito."
"Ndio bosi.
"Usiniite bosi mimi nimekuita apa kama mwanangu hivyo sitapenda uniite bosi."
Alisema hivyo kwa sauti ya ukalimu.
"Sawa mama nisamehe kwa hilo.
"Usijali ningeomba unipe background ya maisha yako kwa ufupi binti yangu maana umri wako ni mdogo sana kipi kimekusibu kuja kutafuta kazi humu.
Rashma alianza kujielezea bila kuacha kitu "mimi naitwa Rashma umri wangu miaka 20 naishi na bibi wazazi wangu walifariki kipind nipo mdogo sana hivyo bibi yangu ndio mlezi pekee aliyobaki.
Elimu yangu ni kidato cha nne matokeo yangu yalikua mazuri lakini nilishindwa kuendelea kutokana bibi kutokua na uwezo wa kunisomesha.
"Historia yako inanisikitisha sana mwanangu lakini naahidi kukusaidia kwani nilikupenda tangia nilivyokuona". Alisema hivyo yule mmama huku akifuta futa machozi ambayo yalianza kumlenga
"Asante sana mama.
"Utakua teyar kuolewa na kijana wangu si kwamba nataka kukusaidia kwasababu uolewe na kijana wangu ila nimevutiwa sana na wewe na hata yeye akikuona nadhani atakupenda tuu.
Rashma: (Alikaa kimya hakujibu kitu)
"Okay nakupa mda ukiwa umepata jibu utanijulisha nimekupendaa mno usiniangushe
Baada ya hapo alimkabidhi Rashma Business card yenye namba yake huku akimisisitiza kuwa asikatae basi alirudi
kwao alimuhadithia kila kitu bibi yake.
Akamsihi binti ake akubali kwani ni bahati kubwa sana kwake ukizingatia bibi yake uzee nao ulikuwa unamsumbua kuumwa kila siku na pesa ya matibabu ndio hakuna.
******
Sherehe ya Shedrak iliwadia bas siku ya sherehe vinywaji vya kila aina vilikuepo watu walienjoy na Shedrack akamvesha pete mchumba wake Cath.
Cath ni binti mrembo sana ila ni mwenye dharau sana yote ni kwasababu kwao wana uwezo kifedha.
Baada ya tafrija kuisha shedrack na Cath walikua chumbani wanaongea
"Yaani sikuamini kama utanifanyia kitu kama hiki mpenzi wangu.
"Yote kwasababu nakupenda kweli mpenzi wangu.... Alisema shedrak huku akichezea nywele za mwanamke huyo.
Majibu ya Shedrak yalimfanya Cath afurahi alimkumbatia mpenzi wake wakaanza kuchokozana apa na pale mwisho wa siku wakaangukia kwenye ulimwengu mwengine )
Asubuh Shedrack akiwa amekaa na wadogo zake sheby na sulle wakaanza story
"vipi broo Cath alifurahia suprise yako?
Aliuliza Sheby.
"Yeah hakuamini ilikuwa ni bonge la suprise.
"Ila mimi na yule Cath sijui kama tutaelewana ana mashauzi mengi.... Alisema hivyo sulle.
"Heshima iwepo ni shemeji yako yule... Alisema Shedrack kumjibu Sulle.
"Sawa bhana tutaona ndio umuoe tena...
Shedrack: Aah mimi pale kuoa lazima.
Mda wanaendelea na story zao Mama yao alipiga simu akawasalimia lakini akamwambia Shedrack.
"Kuna jambo nataka kuongea na wewe baadae nadhani naweza nikakupigia sitotaka pingamizi lolote kutoka kwako....
Alijibu shedrack "Hamna shida mama yangu siwezi kukupinga kwa chochote.
Jioni yake Mama Shedrack alimpigia simu mwanae na kuanza kuzungumza.
Mama: Nilikuambia kuna jambo nataka kuzungumza na wewe nadhani huu ndio muda muafaka wa kulizungumzia hilo jambo
"Nakusikiliza mama". Alisema Shedrack akiwa na shauku ya kutaka kujua.
"Si unajua umri unaenda mwanangu....
Shedrack alijibu "Nalijua hilo.
Aliendelea kusema "Hivyo basi nataka uoe ndani ya mwezi mmoja tu.
Shedrack Alifurahi sana baada ya kusikia hivyo kwa kuwa alikuwa anajua vyema angemuoa Cath wake akauliza "Lakini mbona ghafla hivyo mama!?.
"Wasiwasi wako uko wapi kila kitu nitashughulikia mwenyewe na mschana nishakutafutia
Shedrack Alishtuka sana baada ya kusikia taarifa hizo "Whaat jambo kama hilo haliwezekani mama yangu hapana siwezi kuoa mtu nisiyemjua.
Mama yake alisema bila wasiwasi "Utamjua tu akija mimi mzazi wako siwezi kukuchagulia kitu ambacho si sahihi kwako Una wiki moja tu ya kujifikiria.
Basi mama shedrack akakata simu. Shedrack alivulugwa sana.
Hakuwaficha wadogo zake aliwaadithia kinachomsibu.
"ujui mama amewaza nini ivyo mimi nakushauri ukubali bro.. Alisema Sheby
"Una kichaa nini na yule mschana wa watu nilomvesha pete!?.
Alidakia Sulle kana kwamba yanamuhusu "Kwani pete ndio ndoa kaka wewe oa tu au kama unamuona huyo Cath wako ndio bora kuliko mama usituombe ushauri.
Wote wakanyanyuka na kumuacha peke yake ana mawazo mengi sana kuhusu ndoa aliyoambiwa ikiwa ana mwanamke wake.
******
Basi ilipita wiki Rashma alimwambia Mama shedraki kuwa amekubali kuolewa.
Mama Shedy alifurahi sana kwani alimpenda sana Rashma hakujua kwanini ametokea kumpenda.
"Usijali kijana wangu ana miaka 28 na kuhusu shughuli ntaghalamikia mimi na shughuli itafanyika Amerika cha kufanya nataka nikaongee na mlezi wako
Mama Shedrack alionana na bibi waliongea sana wakafahamiana kiundani.
"Mjukuu wangu una bahati sana yani yule Mama tajiri ameahidi kunitibia... Alisema bibi kumwambia Rashma baada ya yule mama kuondoka.
Rashma alionekana kuwa na hofu sana. "Bibi mwenzako naogopa mwanaume mwenyewe simjui.
"Ondoa shaka mtaenda kujuana huko huko mimi furaha yangu kukuona mzima mjukuu wangu.
****
"Vipi Broo umeamua nini!?.
Aliuliza Sheby huku akimtazama Shedrack aliyekuwa busy na simu yake.
"Sielewi Nimechanganyikiwa tu.
"Huna chaguo jengine si unajua mama anavyotujali na kutupenda sidhani kama anaweza kukuchagulia mtu ambaye sio sahihi kwako.
"Unataka kusema mama yuko sahihi kwa anachonifanyia?.
"Yeah hujui ameona nini ni mtu mzima anaelewa anachokifanya.
"Hata kama nitakubali huyo Mschana atajuta kuingia kwenye maisha yang.................
SEHEMU YA PILI
"Hata kama nitaoa huyo mschana atajuta kuingia kwenye maisha yangu.
"Utajuaje labda na yeye kalazimishwa kama wewe.... Alisema Sulle.
"Haiwezi kuwa hivyo itakua yeye ndio shinikizo.
****
Basi siku zilienda hatimaye mwezi ulikatika na siku za kufunga ndoa zilikAribia Rashma alilazimika kwenda Amerika yeye na Mkwe wake kufanya maandalizi ya ndoa.
Baada ya safari ya masaa kadhaa waliwasiri Amerika walipokelewa na Sulle na Sheby. Sababu Shedrack hakutaka kuona ujio wa huyo mgeni
"Poleni na uchovu wa safari Mama hujatutambulisha ujue. Alisema Sulle baada ya salamu.
Mama: "Kwan haraka ya nini tunaenda nyumbani.
"Bila shaka uyo ndio shemeji yetu.
Alisema Sheby na kufanya Rashma aangalie chini kwa aibu.
"Acheni maswali nimechoka sana.
Sheby alimuangalia Sulle na kuongea kwa sauti ya chini "Kadhuri nahisi Broo atapagawa.
Sulle alisema huku akimtathimini vizuri Rashma "unamjua vizuri akisema lake kasema subiri lakini tutaona..
"Kama ataendelea kumkataa si basi nitaoa mie..
Kauli ya Sheby ilimfanya mdogo wake acheke mno.
Basi safari ilienda moja kwa moja mpaka kwenye jumba la kifahali wakashuka kwenye gari.
Walipokelewa na Shedrack ambaye mda huo macho yake yote yalikuwa kwa Rashma alimuangalia sana hadi Rashma akajishtukia.
Basi aliwasaidia kuingiza mizigo ndani baada ya hapo watu wote walingia ndani.
Rashma ile anataka kuingia ndani tu kuna mtu alimzuia kwa kumvuta mkono na kumrudisha nje si mwengine alkua ni shedrack.
Shedrack: (Alimuangalia Rashma juu mpaka chini kisha akatabasamu) unaitwa nani?
Alijibu huku anatetemeka maana
"Na..itwa Ra..sh..m..aa.
Shedrack alimkamata kwa nguvu kidevuni na kuanza kumuuliza
"kwahiyo wewe ndio umejishobokesha kwa mama angu ili uolewe eeh!!?
"Ha..pa..na.
Alijibu huku akitetemeka kwa woga Shedrack alisikia sauti ya Mama yake ikimuita Rashmaa ndipo alipomuachia.
Wakaingia ndani mama akauliza "mboni mlikaa nje?.
Shedrack akasema "Nilikuwa namuonyesha mazingira ya nyumbani yalivyo.
"Ni mapema mno amechoka anahitaji kupumzika.
Alisema hivyo na kuwatambulisha kwa Rashma ila mda wote shedrack alikua busy hakutaka kufahamu chochote.
*****
Siku zilipita ndoa ikafungwa ambayo iliudhuliwa na baadhi ya ndugu pamoja na Wafanyabiashara wenzake na Madam Asia.
hakukuwa na rafiki wa Shedrack hata mmoja nadhani kwasababu hakuwaarika baada ya ndoa usiku Shedrack na Rashma walikuwa chumbani.
"Leo mimi nitaenda kulala chumba kingine hiki nakuachia ukifuatisha ninavyotaka kuishi mimi basi utaishi kwa Amani na ukijifanya kiherehere nitakuonyesha pia... Alisema hivyo Shedrack huku akibeba blanket na kwenda chumba kingine.
Basi siku zilipita Rashma na Shedrack walikua hawalali kitanda kimoja. Mmoja akilala sofan mwengine analala kitandani na mara nyingine Shedrack alikuwa anahamia chumba kingine kabisa.
Usiku mmoja Shedrack alichelewa kurudi nyumbani na alirudishwa akiwa amelewa sana yaani hata tembea yake ilikuwa ya shida alikuwa anapepesuka.
Mama alimuita Rashma aliyekuwa jikoni "mchukue mumeo maana kalewa hata hajiwezi kambadilishe nguo zinanuka pombe baada ya mda nitakuja nisimkute na nguo hizi. Mtoto mpumbavu sana huyu yaani anakunywa mpaka hajielewi.
Rashma alibaki ameduwaa asijue cha kufanya yaani ambadilishe Shedrack nguo akipata fahamu itakuaje akiona amebadilishwa nguo...
Hakuwa na jinsi alimshika mkono mumewe akimsaidia kutembea huku wanapepesuka mpaka chumbani.
Ile anataka kumueka kitandani akazidiwa nguvu na shedrack wote wakaangukia kitandani kwa kishindo
Puuh!!!
Rashma juu shedrack chini alivuta pumzi ndefu huku akimtazama Shedrack ambaye alionekana kama amekata moto. Tangu aolewe ndio kwanza leo amemkumbatia tena kwa bahati mbaya.
Basi akajiondoa kifuani mwa Shedrack na kuanza kumfungua vifungo vya shati huku anatazama kifua cha mwanaume kilivyopangika vyema. Shedrack alikuwa na mwili wa mazoezi basi alianza kukipapasa huku anamalizi kumvua Shirt alivyomaliza.
Akafuatia viatu ilibaki suruali ambayo akawa anajifikilia suruali anaanzaje kumbadilisha suruali na ikiwa mkwe wake amesema anakuja baada ya dakika tano.
Mda anajifikiria alistukia anapapaswa usoni na Shedrak.
"Unajua Na..ku..pe.nda sa..na.. Alisema hivyo kwa sauti ya kilevi.
Rashma Alistuka sana maana hakutegemea kuambiwa hivyo alishikwa na kugugumizi cha ghafla"Mi..mi au?..
Shedrack Safari hii aliongea huku akijigeuza alimueka Rashma chini na yeye akawa amekaa juu..
"Nakupenda Cath wangu.
Rashma alijibu kwa kigugumizi maana hakutegemea kama angetajwa Cath.
"Mi..mi sio Cath wako.
"N..me..ku..mi..si. Alisema tena Shedrack kwa kusua sua.
Kabla hajasema chochote aliwahiwa na Romance ya nguvu.
alimkamata Rashma huku akiwa anahema sana aliupapasa mwili wa Rashma na kusema.
"una joto sana leo Cath.
Rashma alijitahidi kujitoa mikononi mwa Shedrack lakini alishindwa sababu alimkamata mikono na kuibana hakuweza tena kufurukuta.
Shedrack aliendelea na zoezi lake huku akipunguza nguo mwilini mwa Rashma ambaye mda huo alikuwa anaguna tu.
Shedrack alijua kucheza vyema na mwili wake asa sehemu zenye mihemko.
Alivyoona mambo yamekuwa sawa akamalizia kuvua suruali yake na kumgeukia Rashma tayari kuingiza dudu yake Rashma aliogopa sana kwan hakuwai kuona utupu wa mwanaume.
Shedrack hakujali hilo alianza kuforce kuingiza lakini hakufanikiwa sababu Rashma bado alikuwa bikra.
"Leo umeweka nini Cath mbona inakataa kuingia panua kidogo tu naumia nimezidiwa mwenzako..
Alisema Shedrack.
Safari hii hakuongea sana alifanya yake ilisikika sauti kali ya maumivu Rashma aliiita
"Mamaaaa!!!
Huku sebren watu wote walinyanyuka kukimbilia chumbani sauti inapotokea Mama ndio alikua wa kwanza kufika mlangoni wakasimama wanasikilizia shida ni nini.
"Shedrack unampiga mtoto wa watu.. Alisema mama kwa hasira.
Rashma ndio alizidisha kulia baada ya kusikia sauti ya mama walisimama nje uku wanaita lakini hakuna aliyeitika.
Huku ndani shedrack amemaliza kufanya yake ndio akili zinamjia baada ya kusikia kelele mlangoni akatazama pale kitandani anashangaa damu kuangalia pembeni yupo Rashma analia alistuka!!!
"Aah imekuaje mboni sielewi.
"Kama hutakuja kufungua kwahiyari yako mimi nitafungua..
Alisema hivyo mama huku akivuta kitasa baada ya kuona mlango unafunguliwa Shedrack aliwahi kuzuia akafunga mlango kwa Ndani akarudi kuvaa bukta then akatoka.
"Kuna nini umempiga mwenzako.. Alisema hivyo huku akitaka kupita ndanu lakini Shedrack alimzuia na kusema.
"Amna mama Rashma Anaumwa kichwa tu.
"Na hizo damu mkononi zimetoka wapi!?? Alihoji Sheby baada ya kuona damu.
"Nimejichuna hapa.. Aliongopa
Mama alisema huku akiondoka pale "Aya kama mwenzako ajisikii vizuri mpeleke hospitali sasa hivi.
Shedrack alirudi ndani na kufunga mlango kisha alivuta pumzi ndefu na kumsogelea Rashma alimuinua pale kitandani na kumpeleka bafuni akimuacha aoge yeye akarudi chumbani kutoa shuka zilizochafuka.
Alimtafutia Rashma nguo avae alivyohakikisha mambo yako sawa. Walitoka nje Rashma akiwa anachecheme
"Mbona Rashma anachechemea..... Aliuliza mama baada ya kuona hali ya Rasma.
Rashma akaanza kulia na kumkumbatia Mkwe wake Shedrack alivyoona hivyo akaona bora asepe
Mama yake alimstopisha akijua kampiga mwenzake akawasha gari na kuondoka akawaacha wamekumbatiana
Mama alihoji tena "Mbona unalia binti yangu kakupiga mwenzako nambie kama amekupiga leo nitampeleka polisi kwa mikono yangu..
Rashma alikataa kwa kutikisa kichwa kuwa hajapigwa Mama alielewa hakutaka kumuhoji tena alijua kilichotendeka alifurahi sana kuona mschana aliyemtafutia mwanawe alikuwa sahihi hakukosea.
Mama alikua mtu mwenye furaha kuliko wote Alizidi kumpenda Rashma akamuahidi zawadi nzuri sana
Mama alisema "Kuna zawadi nitakupatia nadhani huu ndio muda mzuri wa kukupeleka kusoma nitamwambia mume wako akutafutie chuo kizuri.
"Asante mama... Alisema Rashma
"Sawa mwanangu kapumzike.
"Wiki hii Rashma nataka aanze kusoma... Alisema mama mda wanapata chakula cha jioni.
Shedrack alistuka na kumuuliza mama yake "Anataka kusomea nini!?.
Alijibu Rashma "Accountancy.
Shedrack alimuangalia mama yake na kusema "Mwambie atafute cha kusomea.
Mama alimgeukia Rashma na kumuuliza "Rashma mama una kingine cha kusomea!?.
Alitikisa kwisha kuashiria kuwa hana "Sina mama ndoto yangu ilikuwa ni kuwa muhasibu hivyo ni vyema ningesomea uhasibu.
Mama alitabasamu na kusema "Vizuri hamna shida mwanangu kwanza itakua vyema Shedrack anasomea uhasibu pia.
Rashma hakujua kama Shedrak anasomea uhasibu alitabasamu baada ya kuambiwa hivyo huku akijiwazia. "Kama tutasoma pamoja naweza kumfahamu huyo Cath anayetajwa kila dakika.
Shedrack alimtazama Rashma na kumuuliza kinafiki "Umefurahi si ndio.
Rashma hakujibu maana alimjua vyema Shedrak ni mkorofi angeweza hata kumpiga.
***
Usiku wakiwa chumbani Rashma alikuwa busy kukunja nguo alizozifua mchana Shedrack alisogea alipo Rashma na kumwambia kwa sauti iliyotulia.
"Mama Kama atakwambia uchague chuo nambie nimekutafutia chuo kizuri.
Rashma alijibu huku akiweka nguo kabatini "Si jukumu lako nitachagua mwenyewe...
Kabla ajaendelea alimuona mende akitoka kabatini na kumrukia kwenye nguo alipiga kelele huku akiruka ruka mda wote Shedrack alikuwa anamtazama anavyoangaika.
Pamoja na kufanya yote lakini yule mende bado alikuwa amemng'ang'ania safari hii msaada pekee aliouona ni Shedrack alimkimbilia na kumkumbatia.
Shedrack baada ya kuona Rashma anaweweseka sana alivua kiatu alichovaa na kumpangusa yule mende mdogo kwenye nguo ya Rashma kisha akamuua.
Mda wote Rashma bado alikuwa kifuani macho akiwa amefumba
"Toka teyari nimeshamuua.... Alisema Shedrack huku akimnasua Rashma mwilini mwake.
"Bado unaniongopea... Alisema Rashma kwa sauti rahini isiyo na mikwaruzo huku akizidi kumng'ang'ania Shedrack.
Safari hii Shedrack hakuongea tena alimkamata Rashma kwa nguvu na kumsukumizia chini kama mzigo.
"Unaanza kunizoea eh!? Sikia mama wiki ijayo anaondoka akiondoka tu hakikisha na wewe unahamishia mizigo yako chumba cha wageni mwanamke mpuuzi sana wewe.
Mda bado Rashma yuko chini mlango wa chumba chao uligongwa.
"Nimekuja kuwatakia usiku mwema wanangu.... Alisema mama yake baada ya kumfungulia mlango.
Alijibu Shedrack "Kwako pia mama lakini nataka kutoka.
"Unaenda wap usiku huu!?...
"Kwenye part ya rafiki yangu.
"kuwa makini... Alimtaka awe mwangalifu na kuondoka.
Shedrack alitoka safari kuelekea kwa Mpenzi wake ambaye hawakuonana wikii nzima. alifika hadi getini alifunguliwa na Mlinzi mlango wa kuingia ndani ulifungwa kwa ndani aligonga sana lakini ilikuwa kimya ndipo akaamua kumpigia.
Simu ya Cath iliita chumbani kwake hakuwa peke yake Cath alikuwa chumbani na mwanaume mwengine.
"Upo wapi... Ilisikika sauti ya Shedrack baada ya simu kupokelewa.
"Nipo nyumban nimelala... Alijibu bila aibu.
Alisema Shedrack na kumfanya Cath achanganyikiwe "Njoo ufungue mlango nipo nje hapa.
Alishikwa na kigugumizi ila alijitahidi kujibu "Mbona unakuja bila taarifa.
"Njoo kwanza unifungulie.... Alisema Shedrack
Cath alimtazama yule mwanaume wake mwengine "Ujifiche Kaka angu amekuja.
"Sasa nijifiche nini kwani kaka yako anaweza kuingia chumban kwako we nenda kaonane nae mimi utanikuta nakusubiri..
Cath alivuta pumzi na kusema "Ok naomba kanisubirie chumba cha wageni.
"Kwani wasiwasi wako uko wapi nakusubiri hapa hapa tuendelee na mambo yetu.
Cath alitoka nje huku kachanganyikiwa akaenda kumfungulia mlango Shedrack.
"Nimeshindwa Kulala kwajiri yako... Alisema Shedrack huku akimkumbatia mwanamke huyo
Cath hakuwa na furaha hata kidogo akasema "Mbona umekuja bila taarifa usiku huu.
"Sorry lakini nimeshindwa kuvumilia...
"sipendi bhana ukiwa unakuja nambie..
Shedrack akamnyanyua Cath juu juu tayari kwenda nae chumbani..
"Ni kuchafu dada wa kazi leo hakufagia... Alisema Cath.
Shedeack hakuwa na hiyana walienda chumba cha wageni walipiga story mwishowe walifanya yao na kulala hadi asubuhi Shedrack alimuachia pesa ya kutosha Cath na kujiandaa kuondoka.
Akiwa anamalizia kuvaa walisikia kitu kinagonga gonga Shedrack alimtazama Cath na kusema ni nini hiko!?.
Cath alisema "Fanya uwahi nyumbani nadhani ni panya hao...
Shedrack alisema "Panya wa aina gani hawa ngoja nikaangalie..
Cath alionekana kuchukizwa na kusema kwa hasira "Nimekwambia ni panya ina maana huniamini..
Kauli hiyo haikumfanya Shedrack arudi nyuma ndio kwanza alielekea chumbani kwa Cath kujua ni kitu gani..
Akiwa ameshikiria kitasa Cath alisema huku akimpelekea simu yake
"Simu yako inaita Rashma anapiga.
Shedrack baada ya kusikia Rashma anapiga simu alikimbilia simu na kuitoa mikononi mwa Cath kisha akasema "Ni mfanyakazi wetu mpya huyu anaitwa Rashma... Usisahau kuweka sumu ya panya..
Alisema hivyo huku akiondok.............
SEHEMU YA TATU
"Ni mfanyakazi wetu mpya huyu anaitwa Rashma... Usisahau kuweka sumu ya panya..
Alisema hivyo huku akiondoka Cath alibaki ameduwaa alishangaa sana kumuona Shedrack amewahi simu vile akati mara nyingi wakiwa pamoja huwa anapokeaga yeye ila upande mwingine alishukuru kwa sababu aliponyoka basi alienda chumbani kwake kumfungulia mtu wake..
*****
Shedrack akiwa njiani kwenye gari alikua akilaani sana kitendo cha Rashma kumpigia simu "Mwanamke mpumbavu sana huyu kwanza namba yangu hata sikumpa sijui kapata wapi nikirudi nyumbani atanieleza..
Upande wa pili alikua Rashma na Zai ndani ya gari wakielekea supermaket
Rashma alisema huku akitazama simu yake "Shedrack hata hapokei simu sijui yuko wapi.
Zai alijibu "Una wasiwasi bure inawezekana amesharudi nyumbani..
"Sidhani kama amerudi... Alisema Rashma na kuvuta pumzi.
"Siku hizi unazidi kupendeza tu.
Alijibu Rashma na kuuliza "Asante hivi unamjua Cath eh?.
"Namjua ndio..
"Mzuri eeh?. Aliuliza Rashma huku akiwa na wasiwasi.
"Mzuri lakini hakufikii wewe ni mzuri wa tabia pia.
Rashma alitabasamu japo hakuwa na amani hata kidogo. Walifika supermaket mda wananunua mahitaji yao.
Rashma alishikwa mkono alistuka maana hakuwa mwenyeji maeneo hayo aligeuka kutazama alikutana mkaka Mmoja mzuri kiumbo mrefu na mweusi akiwa anatabasamu
"Hi! Mrembo naitwa Tom.. Alisema yule kaka baada ya kutazamana lugha aliyotumia ni kingereza.
Rashma alitabasamu na kusema "Naitwa Rashma.
Baada ya kufahamiana walipiga story sana mda wa kuondoka Tom alimpa namba Rashma ili wawasiliane Rashma alipokea akaweka kwenye mkoba na kuondoka.
Wakiwa njiani Zai aliuliza "Yule kaka anaitwa nani.
"Mmh hata sikumbuki jina lake vipi anavutia.. Alisema Rashma huku akitabasamu.
Walifika nyumbani mda wanaingia ndani Shedrak aliyekuwa amekaa nje kwenye bustani alisema kwa sauti "Simamaa hapohapo...
Rashma bila kuuliza alijua aliyeambiwa hivyo ni yeye alitazama kulia na kushoto Weee nani abaki alianza kutimua mbio bila kugeuka nyuma maana alijua Shedrack hana masihara kitakachofuata hapo ni kifinyo..
Shedrack alianza kumkimbiza Rashma. Zai alikua anafurahia akijua wanacheza mchezo wa kukimbizana kumbee wenzake wana kesi zao. Rashma alipitiliza mpaka kwenye chumba chao akafunga mlango
"Basi nishajua tatizo ni kumpigia simu alidhani atanipata leo hanionei
Shedrak alibaki nje anagonga gonga mlango "Rashma fungua mlangoo...
Alifika mama yao na kumuuliza Shedrack "Vipi hapo kuna nini!?
Shedrak "Amna nataka kuingia ndani.
"Rashma yuko wapi.... lilikuwa ni swali kutoka kwa mama.
Baada ya kusikia sauti Ya Madam Asia Akatoka nje walisalimiana na kuondoka wote hiyo ndio ilikua pona pona yake
"Jumamosi ninasafiri nadhani Shedrack ameshakwambia.. Alisema huku akimtazama mkwewe.
Rashma alijibu "Ndio alinambia..
"Nina mizunguko mingi ila Tanzania ndio nitakaa sana kuna mambo hayako sawa kuhusu Bibi kutibiwa usijali kuna hosptali nzur nishamuandalia nikifika tu ataanza matibabu....
Rashma alikuwa mwenye furaha baada ya kujua bibi yake anakwenda kupona mda si mrefu "Nashukuru mama.
Alimaliza kuongea na mama hakutaka kwenda tena ndani kwa Shedrack angeweza kumpiga alienda moja kwa moja nje alipo Shemeji yake sheby.
"Vipi shem mzima!?.. aliuliza Sheby baada ya Rashma kufika mahali pale.
"Nashukuru mungu niko poa eti Shedrack anapendelea chakula gani...
"Aah kwa wali umwambii kitu pia unapenda mtori wa nyama...
Rashma alitoka pale na kwenda jikoni wa Zai alimkuta ndio anataka kupika "Naona unaandaa andaa... Alisema Rashma baada ya kufika.
"Si unajua muda huu wadudu tumbon wanataka haki yao.
Rashma alisema: Aya sawa acha leo nikusaidie kupika nataka nimuandalie mume wangu.
Zai: Ndio inavyotakiwa niliona pale mnakimbizana.
"Utamuweza Shedrak anapenda michezo ya kitoto... Aliongopa Rashma
"Ndio inavyopendeza akiwa nje yupo serious lakin kwa mkewe utani mwingi hadi nawatamani... Aliongea Zai kwa utani na kufanya Rashma acheke maana Zai hajui yanayomsibu Rashma kwenye ndoa yake.
"Utaniandalia matunda kwajiri ya juice.. Alisema Rashma huku akiwa busy kuandaa viungo kwajiri ya pishi lake.
Rashma alipika vyakula vyote alivyotajiwa na sheby kwa umakini wa hali ya juu Chakula kiliiva aliandaa kwenye Hotpots atar bas mda ulivyofka akatenga chakula mezani Familia yote ilikusanyika mezani kupata msosi
"Leo meza imezidi kuvutia... Alisema mama baada ya kufika mezani.
"Aah msosi unanukia na una radha ya peke.. Sheby naye alisema baada ya kuanza kula.
"Mambo ya zai haya... Alisema Shedrack bila kujua kama amepika Rashma.
"Mimi leo hata sijagusa kapika wifi Rashma... Alisema zai huku akimtazama Rashma aliyekuwa bize na sahani yake ya msosi.
Bas watu wakaanza kumpa misifa Rashma. Story zikawa nyingi Shedrak alikifurahia chakula pia. Baada ya msosi Shedrack alikua amekaa na wadogo zake wanapiga story kwenye bustani.
Sheby: yaani unajua leo kile chakula kimepikwa kwa ajiri yako
aliuliza Shedrak "Nan kasema!?
"Mimi si ndio nakwambia Rashma leo kaniuliza sema msosi ulikuwa mtamu nilikua nakuona unavyofakamia pale... Alimwambia kaka yake kwa utani.
"Kilikua kizuri nimekipenda pia...
Alisema Shedrack huku akiondoka pale.
Usiku Rashma na Shedrak walikua chumbani Rashma akajifanya kuanza kutetemka
Shedrak alimtazama sekunde kadhaa na kumuuliza "Vip wewe!?..
"Nasikia baridi sana... Alijibu Rashma huku akizidi kunyong'onyea..
Akamsogelea Rashma na kumgusa shingoni ili kupima joto la mwili kwel alimkuta wa moto kiasi lakini sio kwamba alikua anaumwa.
Shedrack alikaa kitandani Rashma baada ya kuona Shedrack amekaa na alisogea karibu yake na kujilaza kifuani kwa shedrak.
Shedrack roho ya huruma ilimuingia baada ya kuona Rashma anazidi kuugulia.
Alimtazama Rashima na kumwambia "Nyanyuka nikupeleke hospitali unaweza ukazidiwa..
Kwani Rashma alikuwa anaelewa basi ndio kwanza amezidi kumkumbatia..
Baada ya kuona Rashma yupo kimya akamuuliza "Vipi unaogopa kwenda hospitali..
Rashma alijifanya kutikisa kichwa kuashiria kuwa anaogopa alimtazama tena Rashma kisha akamuweka vizuri shingo yake alihisi kama anaumia alivyohakikisha amemuweka vizuri alianza kumgusa gusa na viganja vyake ili apate joto...
Baada ya kufanya hivyo kwa mda mrefu alimtazama tena Rashma ambaye amemkumbatia bila kumuachia "Vipi sasa hivi huko sawa!?..
Rashma alitikisa kichwa kuashiria bado anasikia baridi Shedrack akasema huku akitaka kunyanyuka "Ngoja nikakuchukue Blanket kabatini..
Rashma alikunja sura kisha akakataa kwa kutikisa kichwa kukataa pia Shedrack alimuuliza "Kumbe sasa unataka nini hospitali hutaki blanket hutaki kipi unataka...
Rashma baada ya kuulizwa hivyo na Shedrak alimuachia Shedrak na kunyanyuka macho yakiwa yamelegea sana mpaka Shedrack alimshangaa.
Baada ya kunyanyuka alisimama usawa aliokaa Shedrak na kumkalia mapajani huku akihema kana kwamba kunakitu anahitaji..
Shedrak mda wote alikuwa mtulivu alisogeza kinywa chake karibu na lips za Rashma na kuanza kumpa Romance maana alishajua anahitaji nini..
Shedrack hakuishia hapo alitumia vidole vyake vyema kutalii mwilini mwa Rashma alivyohakikisha mambo yamekaa sawa alimlaza kitandani na yeye alikuwa juu...
Basi siku hiyo ilikua nzuri kwa Rashma kwani alipata haki yake japo alitumia mbinubya kuumwa Kwa mara ya kwanza walilala wote kitandani mpaka asubuhi..
Rashma alikua wa kwanza kuamka akaenda nje kumsaidia Zai usafi mda mwingi alikua anakumbuka tukio la jana na kutabasamu peke yake...
"Leo nakuona una furaha sana... Alisema Zai na kumfanya Rashma kustuka.
"Kwanini Nipo kawaida tu...
Zai aliguna na kusema "Jana kaka itakua amekupa zawadi maana sio kwa madiko diko yale..
Rashma alitabasamu na kusema "Mmh kawaida tu usinisifie sana nikavimba...
****
Chumbani Shedrak aliamka kitandani alishangaa asubuhi yote hii Rashma kaenda wapi basi akaoga na kuvaa vizuri akajipulizia manukato na kutoka nje kumuangalia Rashma alimkuta jikoni na Zai.
"Rashmaa... Aliita Shedrack.
Rashma aligeuka baada ya kumuona Shedrack alitazama chini kwa aibu maana si kwa mambo yale ya jana.
"Jiandae nikupeleke hospitali.. Alisema Shedrack huku akitoka jikoni..
Rashma alistuka na kuuliza "hos..pit..al !?............
SEHEMU YA NNE

Rashma alistuka na kuuliza "hos..pit..al !?...........
*FORCE BY LOVE*
*SEHEMU YA TANO*
"Sitaki wewe unataka kunitumia tu ukiwa na shida zako...
Shedrack aliyekua ameshamfikia Rashma aliuliza kwa sauti iliyotulia huku akiendeleza zoezi lake la mwanzo "Kwanini ..
"Si ulisema hunipendi... Alisema Rashma huku akirembua.
"Yameshapita hayo ebu angalia hali niliyonayo... Alisema huku akimgusisha Rashma rungu yake..
Alisema Rashma huku akimminyaminya Askari wa Shedrak "Sasa unanipenda!?? Na kama unanipenda achana na Cath wako..
Shedrak alikua mpole sana. Rashma safari hii alimuacha tu afanye atakachotaka kweli alibebwa na kuwekwa kitandani taratibu kisha Shedrack alianza kufanya yake Rashma alimsindikiza kwa miguno huku kiuno cha mtoto wa kike kikicheza taratibuu..
Shedrak alizidi kupagawa ukijumlisha na jicho lilivyolegezwa yaani Rashma nae hakuwa nyuma kwenye sekta hiyo.
Wote walikuwa hoi baada ya mechi kuisha walienda kuoga kisha walilala.
Asubuhi Shedrak aliwahi kuamka akanyoosha nguo zake kwa mara ya kwanza akamnyooshea na Rashma then akajiandaa alivyomalza vyote akamuamsha
"Amka ujiandae nakusubiri... Alisema Shedrack.
"Nenda tu mimi nimechoka.. Alijibu Rashma huku akivuta shuka.
"Hauji kabisa au!?. lilikuwa ni swali kutoka kwa Shedrack.
"Nitakuja baadae... Alijibu
Shedrak akamnyanyua kwa nguvu na kusema "Kaoge tuondoke unataka ufatwe na yule Jamaa yako.
Rashma alitabasamu akijua kuwa Shedrack ameanza kuwa na wivu basi alienda kuoga na safari ikaanza dereva alikua Shedrak njiani Rashma akaanza Kuongea huku anamshika shika Shedrack kifuani
"Vipi kama mwanamke wako akikuona na mimi!?.
Shedrak hakujibu alikuwa busy kuendesha gari Rashma akawa anaendelea kumpapasa Shedrak safari hii alimuegemea kabisa
"Unataka ajari eh?!. Aliuliza Shedrack
Rashma kama aliweka pamba sikioni ndio kwanza aliendelea Shedrak baada ya kuona hili ni sikio la kufa akasimamisha gari pembeni kisha akafunga vioo vya gari akamtazama Rashma.
"Aya fanya unachotaka lakini nikishindwa kujizuia utanipa hata kama humuhumu kwenye gari... Alisema hivyo Shedrak na kufanya Rashma amuachie.
Mda huo huo simu ya Shedrak iliita aliiangalia na kupokea "Nipo barabarani nikishuka nitakupigia..
"Washa gari tuondoke... Alisema Rashma baada ya Shedrak kumaliza kuongea na simu.
Shedrak alimsogelea Rashma akamkiss kwenye paji la uso kisha akawasha gari na wakaondoka walifika chuo Shedrak alianza kushuka then akashuka Rashma mda huo wote Cath alikuwa nje na marafiki zake walivyomuona Rashma anashuka kwenye gari ya Shedrack wote wakashangaa Rashma akamfuata Shedrak akamkiss shavuni kisha akaelekea dalasani kwake huku nje akiwa amemuachia msala Shedrak
Cath alibaki na mshtuko mpaka akaangusha simu yake aliyoshika hakujali kuhusu simu alianza kumfata Rashma kwa hasira.
Shedrak alikuwa anaona kilichoendelea lakini hakusogelea huyo akaondoka
"Wewe binti simama unapata wapi ujasiri wa kumkiss mume wangu!?. Alisema Cath kwa ghadhabu baada ya kumfikia Rashma.
Rashma kwa kujiamin akajibu "Nionyeshe cheti cha ndoa..
Cath akanyanyua mkono kutaka kumpiga Rashma lakini kabla kofi alijatua usoni mwa Rashma mkono wa Cath ulidakwa aligeuka na kuangalia aliyeudaka ni nani alikua ni Shedrak
Cath akasema wewe mwanamke nitakuonyesha umekuja juzi tu unajifanya unaleta mazoea na wanaume za watu
Rashma hakumjibu alimtazama Shedrack na kusema huku akiondoka "Shedrak ongea na huyo Malaya wako akae mbali na mimi maana nitakachomfanya hataamini.
Cath alianza kugombana na mwanaume wake "Kumbe ndio mana ulinambia nikate simu utanipigia ulikuwa upo na hiko kitoto kimeanza juzi tu now ushaanza mazoea nae sasa nitamuonyesha kama mimi ndio Cath.
Cath akaondoka kwa hasira na kumuacha Shedrack peke yake na hakujali wala nini mana yeye ni mtu wa madharau sana
***
Rashma alivyoingia darasani alikuja mschana anayekaa karibu nae.
"Rashma wewe mgeni lakini unagombana na yule dada ambae ana mwaka wa tatu hapa chuo.. Alisema yule mschana aitwaye Jack.
Alijibu Rashma huku akipangua pangua makaunta yake "Kwahiyo mtu akinichokoza nimuache kisa ana miaka mitatu hapa yaani hata kama angekua amezeekea chuo heshima ifuate mkondo wake .
Alisema tena Jack "Yule uliyekua nae ni bwana wake ndio maana kapaniki..
"Yeye bwana wake mimi mume wangu.
"Mmh aya sawa nisiingilie ugomv wenu lakini ana kundi lake hilo ni wakorofi hatari.. Rashma hakujibu kitu
Upande wa pili Cath alikuwa amekaa na marafiki zake "Yaani kale katoto ndio kanataka kushare na mimi subiri nitamuonyesha... alisema Cath kwa hasira
Wenzake wakaanza kumsaport kuwa lazima baadae wamfundishe adabu
Ulivyofika mda wa kutoka Rashma alifika mlangoni kwa ajiri ya kutoka nje alimuona Cath akiwa na rafiki zake watatu wakija upande aliopo alianza kupepesa macho kumtafuta Shedrak maana asingeweza kuwakabili wote watatu lakini hakufanikiwa kumuona hivyo alisimama na kujiandaa kwa chochote kitakachotokea...
Walimkaribia Cath akaanza kusema kwa dharau huku akimpandisha na kumshusha Rashma "Kwanza wewe unatokea nchi gan maana hata hufananii kuwa hapa..
"Kamuulize Shedrak kanitoa nchi gani atakupa jibu.. Alisema Rashma huku akimtazama Cath.
Alikerekwa na jibu alilopewa akanyanyua mkono wake na kumkata kibao cha shavu Rashma akampiga tena cha pili ile anataka kumkata kibao kingine cha tatu Rashma aliudaka mkono na kumsukumizia pembeni na kumfanya Cath aanguke chini kama gunia "Puuuh!...
Watu walikua wamejaa wanashangaa
Rashma hakujali alisogea hadi alipoanguka Cath alichuchumaa na kumwambia
"Sinaga historia ya kumuogopa mtu kwahiyo kama unataka vita na mimi njoo polepole maana sitaangalia wewe nani na una cheo gani harafu dili na Mwanaume wako sio mimi..
Kwa mbali alionekana Shedrak akiwa anakuja mbio eneo la tukio lakin alikuta Cath ndio ananyanyuliwa chini na mashoga zake.
"Kuna nini?.. Aliuliza Shedrack
Rashma alijibu kwa hasira akielekea ilipo gari ya Shedrak "Kamuulize malaya wako.
"Mmegombana tena!?.
"Kaja kunifanyia fujo..
"Nisubiri hapo kwenye gari nakuja sasa hivi.. alisema Shedrak huku akiondoka kumfata Cath.
"Unaenda wapi.. Aliuliza Rashma
"Subiri nimekwambia nikukute hapohapo.... Alisema Shedrack huku akienda alipo Cath.
Bas Shedrak akaenda upande walipo wakina Cath. Cath akivyomuona Shedrak akamfuata na kumkumbatia huku analia
"Hivi Shedrack unataka kunisaliti kisa kischana kile ana majibu ya ovyo sana naomba unijibu yule mschana ni nani yako.. Alisema Cath huku akiwa bado kifuani
"Nenda nyumbanin jioni nitakuja sitataka kukuona tena ukimfuata yule bint nenda...
Baada ya maneno ya Shedrak Cath alifarijika kidogo Shedrak alimsindkiza hadi alipopark gari then yeye akamfuata Rashma na kuondoka wakiwa kwenye gari Rashma akamuuliza..
"Ulienda kule kufanya nini?..
Shedrak hakujibu akaendelea kusema
"Ulienda kumbembeleza!?..
Shedrak alijibu kwa ukali "kwani huwezi kukaa kimya eh!?
"Nakaaje kimya akati sikuelewi na kesho nabeba cheti cha ndoa naenda kumuonyesha malaya wako akome kunifata... Alisema Rashma
"Umuonyesha ili iweje?.. Aliuliza Shedrak baada ya kuona anamchanganya.
"Ajue kama namiliki mume na si bwana kama ilivyo yeye..
Shedrak alikaa kimya bila kujibu chochote walivyofika nyumban moja kwa moja alioga na kukaa nje.
"Naelekea kuwa kichaa... Alimwambia Sheby mda wamekaa nje.
"Kwanini!?.. Alihoji Sheby
"Unajua Rashma ni pasua kichwa sikutegemea kama angekuwa hivi... alisema shedrak huku akijikuna kichwani.
"Kafanyaje!?. Sheby bado alikuwa njia panda
"Wamegombana na Cath...
"Duuh wamejuana kumbe Cath si atakua anamuonea Rashma kila siku maana ni mpole sana..
Shedrak aliguna na kusema "Hakuna hata aliye mpole kati yao Rashma ni mkorofi kuliko hata Cath..
"Kwahiyo unataka kufanyaje mimi najua tu Cath ndio mkorofi.. Alisema Sheby akimtetea Shemeji yake.
Muda huohuo wakiwa wanaendeleza maongezi alikuja Rashma na glass mbili za juice na kuwapa kila mtu yake kisha akamnongoneza Shedrak
"Ukimaliza kuongea njoo chumbani"
Shedrak alibaki anamuangalia tu hkujibu chochote.
"Aah yaani huyu ndio shemeji yangu ninae mjua mimi chaupole wangu..
"Mmh cha upole bondia leo kamchezeshea mtu vitasa huko... Alisema shedrack huku akicheka.
Chumbani Rashma alipamba chumba chake vizuri na kupulizia manukato alivyohakikisha kupo vyema alikwenda kuoga mda anapaka mafuta alikuwa amekaa kwenye kioo huku anaongea mwenyewe..
" Unajifanya anajishaua yaani mwaka huu ahuishi ushaachwa maana nitampagawisha bwana mpaka hakusahau haijarishi ulikua wa kwanza lakin sasa ni mume wangu.
Shedrak alimaliza kuongea na Sheby akawa anaelekea chumbani alipoitwa kabla ajaingia ndani simu yake iliita "Subiri nakuja sasa hivi ndio najiandaa hapa.... Alisema baada ya kupokea simu kisha akakata na kuingia chumban akamkuta Rashma kavaa kigauni kifupi kinaonyesha hadi nguo ya ndani..
Shedrak alisimama mlangoni huku akishangaa
"Unaniitia nini... Alisema Shedrack
"Mbona mbalimbali sogea karibu nikwambie..
Shedrak alimsogelea Rashma baada ya kuwa karibu na Shedrak akamsogelea hadi usawa wa sikioni huku mikono yake ikiwa kifuan inampapasa akamnong'oneza " Nataka nikufanyie massage mume wangu"
"Aah ninataka kutoka nina dharula..
Shedrak akataka kukataa Rashma hakukubali akamsogelea Shedrak ambaye alikuwa ameshakaa chini alimkalia na kumlaza kitandani huku anampapasa kifuani akafungua vifungo vya shati akalivua lote akahamia chini akamvua suluari akambakisha boksa tu
Akamgeuza kulala kifudifudi ili aendelee na kazi yake.
Akachukua mafuta maalumu kwajiri ya massage ambayo alikuwa ameshayaandaa na kuanza kumkanda kanda mgongo taratibu huku akimkiss shingoni basi Shedrak alibaki ametulia huku akitoa miguno tu
Rashma aliendelea hadi akaumaliza mwili mzima mda huo Shedrak yupo hoi hajiwez maana Rashma alikuwa anafanya uchokozi uchokozi mda anamkanda mara ajifanye kuigusa mashine kwa bahati mbaya.
Simu ya Shedrak ikaita Rashma aliangalia jina akakuta ni Cath akaichukua simu na kutuma sms bila Shedrak kuona akaandika
" Nimepata dharula sitakuja" Kisha akaiweka simu ilipokuwa mwanzo.
****
Upande wa Cath alipopata ile Sms kutoka kwa Shedrak akampigia mwanaume wake mwingine kuwa anamhitaji aje maana hakuwa na mwanaume mmoja..
Rashma alivyomaliza Kummassage Shedrak bakora yake ilikuwa imevimba hatari Rashma akajifanya kama hajaiona akanyanyuka kitandani na kusema
"Nishamalza kazi yangu aya nenda kwenye hiyo safar yako...
Shedrak alimuangalia Rashma kwa jicho la uchu na kumuuliza: Naendaje endaje!?
Rashma alimkonyeza huku anatabasamu na kusema: Kichwa chini miguu juu..
Shedrak akaona utani mwingi akamvuta Rashma na kumdondoshea kwenye Kitanda.
"Umemchokoza mwenyewe mpe haki yake.... Alisema Shedrack baada Rashma kuwa kitandan.
Shedrak akakipandisha kigauni juu na kuanza kumpapasa kifuani hakuishia hapo alishusha mkono hadi kwenye kitovu kizuri cha mtoto wa kike akawa anakipapasa taratibu Rashma alikua anaguna guna tu bas wakafanya yao walivyomaliza Shedrak akaenda kuoga mda anavaa Rashma akamuuliza "Unaenda wapi??..
"Kutembea... Alijibu Shedrack.....
Tags
simulizi