TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

TWENDE KWA MPALANGE LEOOO. 01-05

TWENDE KWA MPALANGE LEOOO..!!
1-5
SEHEMU YA KWANZA.
“Titi! KWA MPALANGE ndio wapi eti?”
“Kidawa! Kidawa! Uko dunia gani wewe! Yaani ni sawa na kuniuliza ‘Instagram’ ni nini?”
“Kweli sipajui, kwani mbali sana?”
“Kama ndio mara ya kwanza kwenda, ni mbali haswa! Unaweza ukalia kabisa,”
“Yaani uende sehemu halafu ulie bila sababu?”
“Unataka kwenda nikupeleke? Ukishaenda mara moja jua huwezi kuacha, ni raha hatari!”
“Kwani nauli ni kiasi gani?”
“Ukitaka kwenda tena kwa wewe shoga yangu, mafuta yako tu, wala sio gharama kubwa,”
“Mafuta tu?”
“Ndio, wajumbe wanaita kilainishi au dawa ya vyuma kukaza,”
“Kwahiyo wewe ulishawahi kwenda?”
“Mara nyingi sana, kunalipa asikwambie mtu,”
“Kama kuna mzunguko mkubwa wa pesa, inabidi nitafute mafuta tu shoga yangu,”
“Mafuta ya jero tu tena hata hayaishi,”
“Kuna mafuta ya gari ya jero?”
“Acha kuyumbisha dishi wewe! Usichoelewa hapo kitu gani?”
“Kwani wewe ulimaanisha nini?”
“Sikiliza, kwa mpalange ni nyuma,”
“Ya wapi?”
“Inuka nikuonyeshe, unaniletea utoto wewe…”
Kwavile nilikuwa sipajui kweli KWA MPALANGE nilisimama ili anionyeshe, basi Titi alinifuata kisha akanipiga kofi la makalio, makalio yangu niliyobarikiwa na Mungu yaliyumbayumba huku nikiwa sielewi,
“Kwahiyo kwa mpalange ndio kwenye makalio?” nilimuuliza, 
“Inama,” aliniamrisha kama afande
“Shoga yangu ujue namaanisha kupajua kwa mpalange, ila kuinama huko vipi?”
“Nimesema Inama,”
“Sawa.” Basi nikainama
Nilivalia gauni fulani pana lenye nafasi ya kutosha, si nikainama bwana! Kile kitendo cha kuinama kiliyafanya makalio yangu yenye msamba kutaka kama kugawana pande mashariki kwa magharibi. Macho yangu yalikuwa makini kumwangalia, akazunguka nyuma yangu na kisha nikashtuliwa na kitu kikinichoma kwenye mpododo wangu, nilishtuka ile ya kuruka na kubana makalio huku mikono yangu ikiwa ipo nyuma ya makalio kama mwanafunzi aliyechapwa fimbo.
“Sasa hicho ni kidole tu unashtuka, je mdudu?” aliniambia hivyo rafiki yangu huyo aliyeitwa Titi
“Kwahiyo unamaanisha kwa mpalange ndio huku kwenye mpododo?”
“Ndiyo,”
“Yaani mdudu unapenya huku kabisa?”
“Tena bila wasiwasi,”
“Unapata faida gani kwa mfano? Titi umeshafikiria madhara yake? masikini wa Mungu,”
“Wewe unanijua maisha yangu yalivyo, huko panalipa

*SEHEMU YA PILI*

asikwambie mtu, halafu…! Hao wanaotaka kwa mpalange ni waume za watu wenye ndoa zao kabisa, kwahiyo jitafakari,”
“Mume wangu hawezi kutaka uchafu, ushetani na dhambi kama hiyo, ina siku zote ndio kitu unachokifanya?”
“Ndio na kunaniingizia pesa hapa mjini,”
“Acha huo mchezo ni mbaya utakuletea shida,”
“Nilijua tu ungenishauri hivyo mama mchungaji ndio maana sikukwambia,”
“Umama mchungaji niutoe wapi, ila zingatia hayo,”
“Kwa mpalange ndio habari ya mjini sasahivi, wanaume wengi ndio michezo yao, mjaribu mumeo umpime maana watu wengi wenye wanawake kama wewe hivyo wenye makalio makubwa kidogo hupendelea sana hizo habari,”
“Hawezi, hata kwa dawa,”
“Kwani kumjaribu ni shilingi ngapi, utanipa jibu kesho,”
“Mh! Ila Titi umenisikitisha sana,”
“Kwaheri, acha nikaliwahi danga langu, mtu anataka jicho, kelele moja kwa Titi wakeee…” Titi aliniaga hivyo kwa bashasha kisha kaondoka.

Nilipobaki mwenyewe nyumbani kwangu ndio nikaanza kufikiria alichoniambia. Ni kweli maisha ya Titi yalikuwa ovyo sana hapo mwanzoni na ghafla akaanza kupendeza na kumudu vitu vya gharama kubwa. Hakunipa siri ya urembo, nilisikitika sana nilipoijua. 

Suala la kwenda kwa mpalange kichwani mwangu lilikuwa na mtazamo wa tofauti sana, kwanza kidini ni dhambi, kiafya sio vizuri kabisa. Sikuwahi kujiwazia hata siku moja ingetokea hata kwa bahati mbaya tu niende kwa mpalange. 

Basi nilifanya shughuli za hapa na pale nyumbani kwangu kisha nikaelekea kitandani kujipumzisha. Sio kwamba nilikuwa na usingizi Hapana! Bali nilishika simu yangu na kuanza kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii. Baadaye mawazo yalikuja Kichwani mwangu, mume wangu ndiye niliyekuwa nikimuwazia. Nikaanza kukumbuka alivyokuwa akinipiga shoo, kwakweli nilimshukuru sana Mungu kwa kunipa mwanaume ambaye akikukamata unahisi kweli umekamatwa na mwanaume, yaani ana uwezo wa kucheza shoo ya hatari mpaka kuna muda huwa naomba poo mimi. Kwa uwezo wake kitandani nilimpachika jina la “Mapafu ya mbwa” sasa alikuwa na mtindo wa kukosea sana kuchomeka mdudu hasa tukiwa tumekaa mtindo wa buti la jeje lililogeuzwa maarufu kama mbuzi kagoma. 

Unakuta anafanya vizuri kwa kuishughulikia kapuchi lakini mara nyingi huwa

*SEHEMU YA TATU*

anakosea na kujikuta ikipiga hodi kwa mpalange kulikofungwa mlango na kufuri kabisa. “Inawezekana akawa anapenda kweli eh?” nilijiuliza hivyo huku nikijipanga kuwa akirudi niitumie ile njia aliyonishauri kivuruge Titi nimjaribu kama kweli anapenda.

Basi nilijua majira yake ya kurudi, nilimwandalia maji ya kuoga, mimi pia nilioga na kujiweka kimitego hasa. Mtandio wangu niliufunga kiuchokozi kukatisha kwenye makalio maana ndio sehemu mume wangu aliyoipenda hasa. Alipooga tu alipumzika kitandani, mimi pia na khanga yangu moja tu nilijilaza kiuchokozi, nadhani mnajua mwanamke akilala kifudifudi ni sehemu gani hutuna zaidi.
“Mume wangu najua umechoka ila nikuombe kitu?” nilimwambia hivyo
“Sema chochote mke wangu,”
“Naomba nipake mafuta kwenye makalio nimeshindwa,”
“Hilo tu! wala Usijali.”
Basi nilimpa mume wangu mafuta aina ya ‘Babycare’ kisha nikapandisha khanga yangu juu na kuliacha wazi wowowo. Mwanaume akaanza shughuli yake, suala la kunitandika makofi kwenye makalio lilikuwa la kawaida sana na alishanizoesha hivyo nilitegemea kufanyiwa hivyo.

Alinipaka mafuta huku akipigapiga makalio na kunisifia jinsi nilivyobarikiwa,
“Yaani mke wangu pungua kote lakini sio makalio, nayapenda sana,” aliniambia hivyo
“Ngoja nikatumie mchina niyapunguze,” nilimtania
“Nakuacha tu, cheki huu msamba,” Aliposema hivyo, nami nikamkazia
“Upake mafuta huo msamba,”
“Usijali.”
Basi akaanza kuupaka taratibu huku akizamisha mikono yake, alikuwa akinitekenya hivyo kila mara nilipohisi kutekenywa nilibana makalio, dole gumba lake ni kama liliweka kituo kwa mpalange, kwavile lilikuwa likiteleza, lilifanya kama linataka kutia sahihi, akawa analiingiza taratibu, nikaigiza kuhisi raha, nilitoa kisauti fulani hivi huku nikiinua kiuno juu kuonyesha nimefurahishwa na hicho kitendo,
“Mume wangu unafanya mbona raha hivyo!” nilimwambia kwa kumtega, sikupenda hata kidogo alichokifanya
“Unahisi raha eh?”
“Ndio, kwani huko watu huwa wanafanya?”
“Kwani unapenda nikufanye?
“Unaweza kunifanya?”
“Ukihitaji, chochote ninaweza kukufanyia kama mume wako,” kauli hiyo ilinivunja mifupa kabisa, niliishiwa nguvu ghafla
“Yako kubwa haiwezi kuingia,” nilimdekea huku moyoni

*SEHEMU YA NNE*
nikimchukia mno
“Subiri…” aliniambia hivyo na kuitoa ile bukta yake
Kusema ukweli sikuwahi kumuona mume wangu akiwa na tabasamu kama alilolionyesha wakati huo. Alipiga mpaka ishara ya msalaba ni kama alikuwa akimshukuru Mungu kwa jambo fulani, alichukua yale mafuta na kujipaka kwenye mdudu wake uliokuwa wa wastani tu, nikawa najiuliza moyoni “Ni kweli anataka kwenda kwa mpalange bila hata aibu usoni?” alipoupaka akawa anaendelea na zoezi lake la dole gumba, alipoona dole gumba linekwenda bila sawasiwasi akaongeza na kidole kingine ambapo nilihisi maumivu na kukereka,
“Sijawahi kufanya lakini mume wangu,” nilimdekea kwa kumwambia hivyo
“Usijali inama, wala hutosikia maumivu,”
“Kweli mume wangu?”
“Ndio,”
“Naogopa bwana tufanye siku nyingine,”
“Hapana, Kwanini siku nyingine,”
“Mimi naogopa kuumia mume wangu…”
Huwezi amini mume wangu aling’ang’ania hilo jambo, niliinama huku makalio yakijimwaga akawa anayachezea tu, nilikuwa namvutia tu kasi, akauchukua mdudu wake na kuanza kufanya kama ananipaka mafuta pale kwenye mlango wa kuingilia kwa mpalange. Mpaka kumfikia hapo nilikuwa nimeshapata jibu kuwa mume wangu anapenda hiyo michezo, nilibana makalio kisha nikalala kifudifudi, sikuweza kukosa visingizio, nilimwambia tumbo linaniuma, kwavile anajua nina vidonda vya tumbo alinielewa vikichachamaa huwa nakuwa katika hali mbaya sana.

Basi hilo zoezi ikabidi tusitishe, moyoni niliumia sana, ama kweli kumjua mtu inachukua muda mrefu sana, niliishi na mume wangu huo ni mwaka wa tatu mbali na ile kabla ya ndoa, sikuwahi kumhisi wala kushtukia dalili zozote. Kitendo cha kuthibitisha kuwa mume wangu ni muumini mzuri wa kusafiri kwa mpalange, iliniumiza sana.

Kwa upande wake alijua nalia kutokana na maumivu ya vidonda vya tumbo Kumbe yaliyoniliza ni mengine kabisa. Niliwaza mbali mno kwamba kwa muda wote huo alikuwa akiitafuta hiyo huduma sehemu nyingine na bila shaka aliipata kwahiyo kwa kifupi alikuwa akinisaliti.

Usiku huo sikupata usingizi, yalipofika majira ya saa tano, niligeuka na kumwangalia usoni, yeye alikuwa anakoroma kabisa. Nilimtafakari huku machozi yakinitiririka mashavuni, ndugu zangu wapendwa nikisema niliumia
...itaendelea

*SEHEMU YA TANO*

basi mjue niliumia kweli maana sikumtegemea.

Hata usingizi wangu ulikuwa wa mang’amung’amu mno, niliogopa kuingiliwa kwa mpalange bila kujua maana kwa mume wangu ilikuwa ni kawaida kuamka kukuta akiwa anakunyandua, mazoea ya kulala bila nguo ndio yaliniweka katika hatari, yaani sikuweza kupata usingizi ule wa kupitisha hata nusu saa.

Asubuhi niliamka na kumwandalia kifungua kinywa, nilikuwa nikiyumbayumba mwenyewe maana nilitembea huku nikisinzia, 
“Mke wangu, nakupenda sana, naomba uchukue hela hii utasuka nywele uzipendazo, hii kafanye manunuzi yako, na pia hii hapa unaweza kumtumia mama kijijini,” mume wangu baada ya kumaliza kupata kifungua kinywa alinikabidhi kiasi cha pesa shilingi laki mbili na nusu 
“Ahsante mume wangu Mungu akubariki,” nilimjibu hivyo huku nikielewa mchezo mzima
“Usijali, jana umenifurahisha mno, nakupenda sana Kidawa wangu,” Aliposema nimemfurahisha ilinibidi nipabane na kuachia kwa mpalange ili kupima kama pako salama, usikute usiku alishafanya yake, nilihofu hilo
“Nakupenda pia mume wangu.” Nilimjibu baada ya kuthibitisha kwa mpalange pako salama kupitia zoezi dogo nililolifanya
Tulijibizana hivyo kwa sekunde kadhaa kisha akanisogelea, alinikumbatia huku nikiwa ndani ya khanga nyepesi moja tu, akanivuta na kuanza kunichezesha mchezo wa njiwa uliodumu kwa muda wa dakika mbili nzima, hiyo ilikuwa ni kuagana tu. 
“Naondoka mke wangu…” alisema hivyo huku akinishikashika matako
“Sawa, kazi njema mume wangu,”
“Ahsante sana…”
“Ashiii wewe! Ebu ondoka huko!” alinishtua na dole lake lililonichoma kwa mpalange.
Basi mume wangu aliondoka huku zile pesa nikiwa nimezishika mkononi nisiamini kama ndio yeye. Kusema kweli mume wangu hakuwahi kunipa pesa nyingi hivyo kwa ajili ya matumizi aliyoyaorodhesha. “Anafanya hivi ili aniandae kisaikolojia kuwa natakiwa nimpe ruhusa aende kwa mpalange, sio mimi Kidawa, siwezi kuruhusu niliwe kwa mpalange labda niwe maiti.” Nilijiwazia hivyo moyoni huku nikipigilia msumari wa nchi sita msimamo wa kutokubaliana na mume wangu.

Kitu cha kwanza nilikwenda kitandani na kulala, niliamka majira ya saa sita mchana. Nikafanya usafi na pindi nilipoigeukia simu yangu nilikuta


Itaendelea

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post