MAHEKALU na jamii za siri na fumbo.
Shujaa flan (askari) aliunda Askari Wenzake Maskini wa jamii yake ili kulinda mahujaji na nchi yao takatifu ktk vita ya msalaba...kwa amri ya kijeshi iliyoanzishwa karibu 1116 wakat huo wakaunda templar..Hekalu la Solomon-ikabadilika hadi The Knights Templar kwa ufupi. wakati Wakiwa na makao ya siri katika Milima na mahekalu na maficho....., jamii iyo maskini ilipitia njaa na shida zaidi ila awakuweka mambo yao hadharani kabsaa...washirikiana waliahidi kuishi maisha ya usafi, utii na umaskini, kujiepusha na kamari, pombe na hata anasa mbali mbali.
Jamii iyo ilijulikana kwa zaidi ya uwezo wao wa kijeshi,siri,mafumbo na maisha ya maadili....viapo vyao na kushuhudia ukweli wa kile mtu husema, kushuhudia kwamba mtu ana nia ya dhati ya kufanya kile anachosema,matambiko ya siri ikawa chanzo cha kuwa jamii ya siri na Apo wakaanza kubadilika....wakawa sio masikini tena,Walikuja kuwa moja ya vikosi tajiri na vyenye nguvu huko Uropa baada ya kuanzisha benki ambayo iliruhusu mahujaji kuweka pesa katika nchi zao na kuzitoa katika Ardhi Takatifu....watu wakashtuka kwamba utajiri ni ushikamano wa watu wenye lengo moja na kuapa kwa uaminifu kutotoa siri za kambi kwa chochote mnachojadili...
Ushawishi wao uliongezeka hadi kufikia kiwango cha juu zaidi mnamo 1139.....Templar ilimiliki visiwa, makundi ya meli na kukopesha pesa kwa wafalme na milki mbali mbali...
ila kumbuka lengo lao lilikuwa ulinzi juu ya watu wao na watakatifu wao.
......
Illiminant ilianzishwa Mei 1, 1776..wakiwa na lengo la kuangazia maisha yao..
Freemasonry , 24 June 1717 wakiwa na lengo zuri kwao kama wajenzi wa ulimwengu na tuanaona faida yao......
Skull and bone ni 1832 ..(mystery)
Bilderberg ilianzishwa 1954...
Nyingine azijulikani kabsaa nyingine zipo kama kivuli cha kuzuia nyingine isijulikane..
Kwakua ni jamii za siri sadaka zao azieleweki na azijulikani na mwanachama akisema juu ya sadaka anatoka nje ya makubaliano ya jamii husika..
Kuna watu waliunda mipango ya kuchafua jamii kama izo kupitia majina ya jamii izo izo kujifanya wao na kuonesha sadaka ambazo sio sahihi...
Je sisi jamii yetu tuiitaje, jina liendane na lengo letu pamoja...!😊
Hapa hapa tulipo tunaweza kuanza...
Kila unachotaka kipo upande wapili wa HOFU yako.....Maisha uanza pale unapoacha hofu...karibu tuishi.
By BINTA
0659131307
Tags
Makala