TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MWIBA

🔞1-------5
*MWIBA*



SEHEMU YA... 1

Nb:
Simulizi hii isomwe Zaidi na watu Wenye umri kuanzia miaka 18.
Chini ya hapo subirini ndeleza🙈🙈.


___

Kuna muda unaweza kukaa na kujiuliza kwamba kwanini hata nilizaliwa mwanamke jibu linakuja noooo!!!! Kwanini basi napitia changamoto kama hizi pia jibu linakuja noooo kwa Sababu Kila kitu huwa na Sababu yake true😔.

Hakuna ile kitu inaumiza kama mtu wako wa Karibu ndugu yako wa damu badala ya kuwa Faraja kwako ndie anageuka kuwa mwiba Huwa inauma inauma na inaumiza sana😰.

Katika maisha Yangu ya kuanzia ujana nimepitia changamoto nyingi sana na chanzo akiwa ni kaka Yangu wa damu akigeuka na kuwa mwiba Kwangu inauma inaumiza.

Nipo hapa Leo kukusimulia kisa Changu kilichonitokea  mpaka ndugu Yangu wa damu aligeuka na kuwa mwiba Kwangu.... SONGA NAYO....


Hellow kwa majina naitwa Selina Ni Mtoto wapili kuzaliwa katika familia yenye Watoto hao hao wawili.
Wakati huo  hapo Nina umri wa miaka 17 na kaka Yangu yeye alikuwa na umri wa miaka 23.

Siku hiyo ilikuwa ni kipindi Cha likizo nimerudi Zangu nyumbani maana shule niliyokuwa nasoma ni ya bweni.
Si private school no no no vile wakati nimemaliza masomo Yangu ya Kidato Cha nne nilipata alama nzuri ivyo  basi nikachaguliwa shule ya vipaji ya wanawake tupu na ilikuwa ya bweni.

Kiujumla maisha yetu yalikuwa ni ya kawaida tu baba Yangu alikuwa akiendesha magari makubwa tangia nipo Mtoto lakini alipataga ajali Wakati mmoja basi Akampelekea kukatwa mguu na hapo kazi yake iliishia hapo.

Mama Yangu yeye alikuwa akiiuza genge Tena pape mtaani alikuwa  maarufu kwa jina la mama Lina maana jina Langu selina kwa Kifupi walizoea kuniita lina.

Kaka Yangu wa kuitwa Felix yeye alimaliza masomo ya Kidato Cha nne na hakubahatika kuendelea na masomo basi akawa tu kijana wa mtaani.
ile pita huku na kule akapataga Kundi na vijana wenzake wakaanzisha Eneo na kuwa wanafanya kazi ya car wash na udalali siku zinaenda.

Mpaka naingia shule kuanza elimu Yangu ya Kidato Cha Tano kaka Yangu ndo naweza kusema alikuwa ni Kila kitu Kwangu.
Kuanzia maandalizi ya shule kila kitu aligaramika huku mama nae akimsaidia  yale madogo madogo.

****

Basi nilifika nyumbani Na kupokelewa na mama Yangu mwenyewe Ambae alifurahi kuniona kama kawaida.
Baba alikuwepo amekaa Sebleni nae nikaenda kumsalimia mama Yangu.

Habari Tena zilikuwa ni za huko masomoni Nini shangwe kama lote.

Nilipomaliza nikaingia chumbani Kwangu hapo nilijiandaa nikaenda bafuni kuoga.

Bafu letu lilikuwa ni eneo la kordoni kuelekea vyumbani sasa Wakati Natoka bafuni nikakutana uso kwa uso na Kaka Felix.

Nilikuwa hapo nimevaa khanga Yangu tu ndo nyumbani Tena najiachia Sina habari,
"Kaka shikamoo"
"Marhaba dogo niaje"
"Safi tu..."
"Nishaleta kuku huko nilivyosikia unarudi Leo Mdogo Wangu upate hata kuku maana skonga Huko mnapiga maharage tu".

"Hahaha!!! Umejuaje Asante Kakangu ubarikiwe sana..."
"Haya nipe mastory lakini naona unakuwa tu unachana masomo mepesi Nini"
"Mhhh kaka jamani nimekonda ivyo!! Mwili Wangu hata umepungua"
"Amna upo Vereee haya basi"
"Haya ngoja nikavae nikamuandae kuku Wangu mie".

Nilikimbia kuelekea chumbani Kwangu hapo kaka alibaki tu amesimama.

Tulipika na kula vizuri siku ile tukafurahi mpaka usiku ulipofika  nilihitaji kujisomea.
Nilishazoea mwenyewe maisha ya shule kabla sijaingia kulala kuwa kuna wakati wa kujisomea (prep) basi ilikuwa kawaida Yangu hata Wakati wa likizo kabla sijaingia kupumzika nikae kwanza kujisomea.

Mazingira ya chumbani Kwangu Mwanga ulikuwa  hafifu yani Yani taa Ina mwanga ule wa kulala wa rangi ya blue ivyo nikawa nashindwa kuona kitabu vizuri.

Niliamua kutoka hadi eneo la Sebleni nikakaa pale dinning na kuanza kujisomea.
Mama ndo alikuwa ametoka kufunga funga genge lake akanikuta pale.

"Selina mwanangu Marafiki zako nimewaambia kuwa umerudi kesho wamesema Wanakuja kukuona yule tunu, na hata Almas unamkumbuka mpaka Karibu na mtihani mkawa mnaenda kusoma kwao".

"Yah nawakumbuka jamani ivi wapo? Ungewaambia waje hata Sasaivi niwasalimie jamani".

" Ahhh nimeona Sasaivi usiku buana mtasalimiana kesho... Haya naenda kulala mie  kaka yako hajarudi nawe ukienda kulala hajafika Basi akija atagonga mlango".

"sawa mama napitia kidogo tu kama saa moja".

Basi mama aliniacha pale mwenyewe naendelea kusoma.

Baada ya kama nusu saa ivi Ndipo Alirudi kaka Felix na kunikuta pale.

" Dogo unadhania bado upo Shule au? Mbona hulali? "
" Mhhh kaka masomo  ukiyaacha unajisahau nimeshazoea walau mala moja kwa siku mida kama hii napitia".

" Mhhhh sasa mbona unakaa hapa palivyo na mmbu husikii".

" Wapo lakini sasa ningekaa chumbani Kwangu Kwenye neti ila taa Ina mwanga Mdogo".

" Twende nikakuwekee taa Mimi ninazo taa za mwanga mkali".

Niliona afadhali nikainika na kwenda chumbani Kwangu na baada ya muda akaja kaka Felix nae kuniwekae taa.

Tulikukuruka pale kushikiana Kiti apande mpaka Mwisho akafanikiwa kuniwekea Taa ile.

" Hapo si fresh au? "
" Yah hapa safi".
Nilifurahi mwenyewe  basi kaka akatoka zake nikabakia mwenyewe pale Chumbani.

Lakini baada ya kama dakika 10 kaka Alirudi na Kwa kuwa mlango nilikuwa sijaufunga kwa ndani alifungua tu na Kuingia yeye.

Hapo akanikuta nimevaa night dress kikaptula Kifupi na t-shirt yake lakini za kulalia.

" Nilikuwa nakwambia kuna move kama hutojali kwenye PC Yangu ukihitaji nikupe PC uwe unaangalia".

"Kaka jamani utanifanya nisisome si unajua Move ndo Kitu napenda ndo udhaifu Wangu".

"Hahaha!!!! Ndo maana nikaja kukuambia najua unapenda kama Kuna move hapa naenda kuichek ni noma sana".

"Mhhh basi Nije kuiyona kidogo jamani usinitamanishe".

Nilitamani nakwambia nitachukua tu khanga nikajifunga kifuani kwa juu ya zile nguo Zangu za kulalia huyooo nikaenda hadi chumbani kwa kaka Nia nitazame tu hiyo move inahusiana na Nini maana nilikuwa napenda sana move zile za action.

Kufika tu nikaona matukio ya move inahusu mazombi wamechachama wanashambulia watu basi  nami ndo vitu napenda nikakaa kabisa kitandani kuangalia.

Move move tukawa tunacheka pale Na move ikaendea mpaka sehemu ya msisimko sasa.

Nilibaki nanyamaza pale kimya Sina vibe mpaka nikaona aibu nikawa nazuga zuga Ndipo kaka felix akaniuliza,

"Vipi  unajisikiaje? Ushaanza kuhusi msisimko Nini?"
"No kaka jamani nipo okay".

"Amna buana kifua nakuona limesimama Mdogo Wangu ushakuwa Binti".

Jamani nilishangaa kaka Felix akanishika Kabisa kifuani🙆‍♀️🙆‍♀️, nilishtuka na kuogopa nikainika Haraka Na Kuondoka Zangu Kwa aibu.

Nilifika chumbani nikafunga mlango na kujiangalia kifuani pale.
Ahhhh Hapana nikaishia kuzima taa huyo nikapanda Zangu kitanda kutafuta usingizi.....

Sijui itakuwaje?
Tukutane sehemu ya 2


Mamuh na simulizi zake:
*MWIBA*

SEHEMU YA... 2
Na
Mamuh mohd


Tulipoishia.....

Nilifika chumbani nikafunga Mlango  na kujiangalia kifuani pale.
Ahhhh Hapana nikaishia kuzima taa huyu nikapanda Zangu kitandani kuutafuta usingizi....

SONGA NAYO.....

Palikwenda mpaka Asubuhi niliamka Zangu mapema tu kwa ajili ya shuhuli za pale nyumbani.
Hata ivyo kuamka mapema ilikuwa ni destury Yangu maisha ya shule ndo yalinifundisha ivyo Kwaiyo ni kitu Ambacho nilishakizoea.

Nikiwa Zangu naosha viombo kule jikoni mala alitoka mama Yangu akaja mpaka jikoni kule nilipokuwa kuchukua kikapo chake Cha sokoni.

"Mama shikamoo"
"Marahaba Lina mbona umeamka mapema mwanangu"
"Ahhh!!! Mama jamani saa 12 kasoro ni mapema hii? Shule tunaamkaga saa 10 usiku".

"Hata kama lakini sasa upo likizo...mmewekewa likizo walau mpate kupumzika ungelala mwanangu hata saa 3 ukaamka".
"Usijali mama hata ivyo lazima nikusaidie kazi hapa".

"Haya Binti Yangu nakwenda sokoni kununua vitu vya gengene ndo mida hii wewe fanya shuhuli zako ukimaliza urudi kitandani ukapumzike"
"Sawa mama".

Mama alitoka Zake na Siku Ile Kuna kamvua kalikuwa kananyesha basi mama wa watu akatoka na mvua yake huku kajifunika mwamvuli.

Ahhh vile nilivyomtazama nilijikuta najisikia vibaya sana  naona kama mama Yangu anateseka mwenyewe.

Nilijisemea ipo siku yataisha nitasoma nitakuwa na kazi Nzuri nitawasaidia wazazi Wangu.

Basi ile nimefunga mlango Tayari Narudi jikoni, mala nilikutana na kaka Felix akanishika mkono Kwa nguvu nyie akanivuta mpaka Chumbani kwake.

"Dogo unanyamaza kimya hapa tunamaliza jambo mchezo umeisha"
"Jambo gani kaka"
"Wewe jana unajua uliniachaje? Mimi siwezi kuteseka Namna hii usiku umekuwa mgumu sipo sawa tuibie tufanye".

Nilishtuka na ukizingatia sikuwahi kufanya icho kitendo hata siku moja.

Jamani kaka alibiziba Mdomo na kunilaza kitandani.
Asubuhi hiyo nimevalia kikanga Changu tu jamani na kanguo ka ndani wala hakakumpa shida kukatoa na kutimiza hitaji lake.

Nilihisi maumivu mwanzoni jamani lakini kadri alivyokuwa anamaliza nikawa nahisi kama Kuna kuna ka ladha flanu🙈.

Basi Pale kitandani palikuwa pamechafuka na damu damu maana nilikuwa sijawahi kufanya kitendo kile ndo mala ya kwanza.

"Ahhh pole sana Mdogo Wangu najilaumu sana.
Kiukweli ilikuwa ngumu sana kujizuia Mimi Mwanaume ujue.
Jana umeniacha hapa Nina hali Mbaya usiku kucha na Asubuhi hii nisamehe sana dadangu.
naomba chunga iwe siri yetu usimuambie mama wala baba hata rafiki Yako yoyote".

"Aibu kama hii naanzaje kusema kaka Felix...najisikia vibaya sana".
"Selina wewe mtu mzima buana jikaze Ukilalamika najisikia vibaya mie".

Basi nilijifunga khanga Yangu nikatoka kuelekea Mpaka chumbani Kwangu.
Huko nilijiandaa nikaenda bafuni kuoga maji ya baridi yakawa halali Yangu.

Kutoka pale hata mood ya Kurudi kuendelea kuosha viombo nilikuwa sinayo nikapanda Zangu kitandani kulala huku nawaza kilichotokea na usingizi ukanipitia.

Nilikuja kushtuka baada ya kusikia mama ananiamsha.
"Selina jamani saa nne hii mwanangu chai haunywi.... Maana nimecheka nimekuta viombo vyako haukumalizia nikajisemea mwanangu mvua ilikuzidi eeeh... Haya nimekununulia sambusa za chai unywe".

" Mama wee acha tu kale kamvua jamani...".

" Na mwenzio huko naona kafua mashuka..Felix jamani tokea lini akafua mashuka Asubuhi subuhi Wanangu mna vituko nyie".
Hewe kusikia ivyo nilishtuka  maana Siri naijua Mimi mufuliwa Hilo shika lakini nilijikaza tu kunyamaza.
Nilizuga zuga pale yakaisha mama akatoka zake nnje.

**

Basi ile hali ilinisononesha sana na haswa kila Wakati Ambao kaka Felix alikuwa Akirudi nyumbani basi najikuta namuonea aibu sio kawaida.

Zilipita siku mbili ivi Ndipo siku hiyo alinikuta gengeni pale namsaidia mama kuuza akaniambia,
"Pole Mdogo Wangu Yani najikuta hata Mimi najisikia vibaya sana.
Nimewaza nikagundua kuna namna ya kukusahalisha hili unizoee".

"Nikuzoee Kivipi?"
"Yani turudie Tena na Tena hata mala tatu utanizoea wala hautakuwa Tena ukinionea aibu huo ndo ukweli nakwambia.

Wewe fanya ivi Usiku Leo njoo chumbani Kwangu siku hizi tatu TU tukirudia Rudia utanizoea na aibu itatoka Kisha ndo basi".

"Kaka Felix naogopa mwenzio"
"Sasa unaogopa Nini Wakati Mimi nakusaidia wewe... Mimi nakutengenezea hali ya wewe kutokuniogopa Yani utanizoea tu haya mambo ya nikija unaangalia chini yote yataisha".

Nilinyamaza kimya na mpaka mama akaja na kutukuta pale akajua wana ndugu tunapiga story zetu.. basi alichukua alichokichukua akarudi zake ndani.

Nae kaka Felix akaingia zake Ndani nikabakia mwenyewe pale nawaza kile alichoniambia kuwa tukirudia Tena hata mala mbili tatu Ndipo ile hali ya kumuomea aibu itaisha.

Wakati nimegubikwa na mawazo hapo Ndipo nilishtukia naitwa Tena Kwa Sauti,
" Lina.. Lina Lina weee".
Ahhh kutazama alikuwa ni kijana mmoja anaitwa Almas ni school mate Wangu wakati nipo Olevel japo alinipita Kidato kimoja yeye Kwa sasa yupo form six.


"Ahhhh Almas mzima wewe?"
"Mimi mzima hofu kwako naona upo mbali sana kinawazo"
"Ahhh acha tu buana enhee za masiku?"
"Salama tu na wewe za masomo?"
"Nzuri kabisa...Kuna siku nilipita hapa mama akaniambia umerudi basi siku ile nilikuwa naenda Kwa baba Yangu aliniita so nikasema nikirudi huku kwa bi mkubwa Nitapita nikuchek".

"Asante mwaya Ndo ivyo tunapambana na masomo".

"Yah ndo Cha muhimu kukazana Wangu".
Basi tuliendelea wenyewe kuzungumza zungumza pale na baada ya Muda akaondoka Zake ila aliahidi ataniletea notes anazo nzuri Ambazo zitanisaidia pia kwani wote katika combination tunazosoma tulikuwa tukisoma Somo la biology.

Siku ile ilikwenda mpaka Kufikia usiku Ndipo Sasa Nilikuwa nawaza kile alichoniambia kaka Felix, akili huku inaniambia niende au nisiende.

Mwisho nilikata Maamuzi tu Afadhali niende huwenda kweli ikasaidia nikawa Sawa.
Niliona Tayari nilishaanza nae Sasa kumalizia pia haitakuwa shida.

Usiku ule kiasi saa 6 nilikwenda chumbani kwake na tukafanya Tena kitendo kile, kama haitoshi na Siku iliyofuata Tena nilikwenda na Tena siku ya Tatu yake.

Kama alivyosema na ndicho kilitokea uwoga nikajikuta wote umeisha wala sikuwa namuogopa na kumuonea aibu ila Zaidi nilijikuta natamani tuwe Tunaendelea Maana sio kwa utamu uleeee😋😋😋.

Nilijikaza moyoni mwangu nikasema weeee pepo mchafu tokaaa😀 yule ni kaka Yangu na  tumemalizana nisizoea yakatokea mengine na mengine.

Japo kaka alikuwa akinishawishi ananinunulia vitu mbalimbali nikubali tuendelee tu lakini binafsi nilikataa.

"Kaka jamaniii Mimi uliniambia nikija Tena nitakuzoea na ndicho kitu Ambacho kimetokea naomba tusiendelee kaka".
"ila imeninogea Selina.
Huwezi amini nimeacha mademu Zangu kibao kisa wewe".
"Mhhh kaka nitamwambia mama sasa  naona kabisa tukizidisha nami nitafikia huko ulipo wewe sasa nitajikuta nataka kila siku.
Afadhali Sasaivi nimeshakubali matokeo nimeamua tuache".
" Haya buana weee nitese tu mama".

Kuanzia siku ile Nikamuona Kabisa kaka felix amebadilika.
Alipooza Akirudi nyumbani haoneshi uchangamfu.
Nami nikajikuta sasa namuonea huruma akili inanituma kwamba au niende tuendelee tu kwani shida nini? Lakini akili nyingine inakataaa Kuwa ni kaka Yangu nisirudie makosa nikaathirika na Mapenzi yake.

Mwisho nikaona nibakie tu na msimamo Wangu sikuendelea Tena.

****
Basi baada ya likizo ile kuisha nilirudi Zangu shule.
Huko niliendelea na masomo Yangu na Zaidi niliamua nisiwe Narudi rudi Nyumbani nijiweke mbali Kabisa na kaka Felix.

Basi kipindi Cha likizo wazazi Wangu walikuwa hata hawaelewi nikizungumza nao kupitia matron nilikuwa nawadanganya tu kuwa tumeambiwa tubaki tunajisomea.
Wakawa wananitumia pesa tu na hata kaka Felix nae aliendelea kunitumia pesa nikaendelea Zangu kusoma.

Mpaka baada ya miaka miwili kasoro miezi kama miwili Ndipo nilirudi Tena nyumbani Nikiwa nimeshahitimu elimu Yangu ya secondary.

Bahati mama nae nilikuta ananisubiri kwa hamu tuende kijijini kwao eti Kuna matambiko ya kifamilia Niendelee kusoma kwa bidii kama kuniombea kimila zao.

Tulikaa pale nyumbani siku mbili tu haoo tukasafiri Kwenda mkoani morogoro kwao na mama Yangu.

Huko kweli Kuna Ngoma kumbe mama alikuwa ameniandalia Kama Binti niliekuwa mkubwa nichwezwe.

Ngoma ile ilienda sambamba na mafuriko wenyewe walugulu wanaota mafuriko walinitunza nguo Nyingi sana.
Nilipewa maana jinsi ya kuishi na watu, jinsi ya kujitunza dhidi ya Wanaume mpaka pale nitakapokuwa Tayari kutumika kama mke wa mtu.
Moyoni nilikuwa najisemea Laiti wangejua acha tu.

Hata baada ya ngoma kumalizika niliamua kukaa Zangu kijjini kule na wakati huo nilikuwa na simu kaka Felix alininunulia kasmart phone basi nikaona nibakie Zangu tu.

Mpaka matokeo yalipotoka nikawa nimefaulu kijiunga na elimu ya ngazi ya juu chuo kikuu na nilichaguliwa chuo kikuu Cha palepale daresalam.

ilipita wiki moja tangia matokea yale yatoke Ndipo siku hiyo kaka Felix alikuja kule kijijini  Kwa bibi nae akidai amekuja kunifuata Nirudi daresalam.

Bibi hakuwa na hiyana Si anajua ni kaka Yangu, nilijiandaa bibi akatufungia zawadi pale na Siku iliyofuata ilibidi tuondoke.

Lakini tukiwa njiani sasa Ndipo kaka Felix akaniambia,
"Tunakwenda guest mama hajui kama nimekufuata kwaiyo nakupeleka gest".

" Kaka unaongea nini? Kwaiyo bado unayo tu hayo mambo"
" Ulidhania nasahau? Naanzaje? Selina inamaana hukumbuki kabisa  umenifanya kila mwanamke naekuwa nae sioni kama ana ladha kuzidi yako Twende buana Siri yetu hii milele".

Moyoni mwangu nilijisemea Hapana mda wote nilijua hata nae atakuwa amesahau lakini ndo kwanza anayaleta yaleyale....

Sijui itakuwaje?
Tukutane sehemu ya 3

Mamuh na simulizi zake:
*MWIBA*

SEHEMU YA.... 3
Mamuh mohd


Tulipoishia....

Moyoni kwangu nilijisemea Hapana. Mda wote nilijua hata nae atakuwa amesahau lakini ndo kwanza anayaleta yaleyale....

SONGA NAYO.....


Ahhh niliishiwa pozi jamani sikuwa nataka Tena kuendelea na ule mchezo moyoni nilijisemea kuwa sitakubali.

Tuliingia mjini majira ya saa Sita mchana Ndipo alichukua mizigo ile aliyotufungua bibi akazipeleka nyumbani huku Mimi akaniacha katika nyumba moja ya wageni.

Nilibaki chumbani pale nawaza hii hali mpaka lini? Ni balaa gani Hili nalitengeneza.
Akili ya haraka haraka ikaniambia kwamba Laiti nikikaa pale ni wazi akija atajua nami nataka Afadhali hata niondoke zangu ajue namaanisha.

Yessss!!!! Nilitoka chumbani kule gest Uzuri nilikuwa na ka akiba ka pesa ka nauli nikaanza Zangu safari kurudi nyumbani.

Nilifika mama akashangaa kunioa,
"Heee!! Wewe kaka yako ametoka hapa Sasaivi kasema amekufuata kijijini lakini umesema utakuja kesho Sasa mbona nawe umefika?"
"Ahhh mama Niliona nirudi tu kumbe kaka ameshafika?"
"Sasa kwanini haukufuatana nae kama ulitaka kurudi Leo? Selina isije kuwa Kuna mahali ulipitia ndo maana haukufaka kufuatana na kaka yako wewe".

Alinigombeza mama Ndipo pale nikamtuliza huku najisemea kwamba Laiti angejua kuwa Huyo kaka felix ndie anaenisumbua sijui mama Yangu angekuwa katika Wakati gani.
Niliona jambo zito lile si la kumuambia mama kabisa.

Basi kaka Felix aliponikuta sipo akaanza akunitumia sms za matusi kwenye simu.
"Wewe upo wapi? Ushaanza uhuni ehhh? Umeona ukagawe kwa mabwana zako si Ndio? Kumbe hunijui wewe kwanini imedondoka?.

ivi unajua nilikuwa nimelipa bei gani hapa umenitia hasara si Ndio nakwambia utasema katika hili kumbe mjinga wewe".

Yaaani alikuwa akunitumia sms za matusi mala ananipigia simu lakini Mimi nilikuwa sijibu wala sipokei maana niliingiwa na uwoga Kabisa.

Basi Usiku wa siku Ile Aliporudi Nyumbani alikuwa na hasira hasira tu nami wala sikutaka kupita nae Karibu alikula akaenda chumbani kwake.

Nami nikamalizia kazi Zangu kuweka kila kitu sawa Kisha huyo nikaenda Zangu bafuni kwanza nikaoga Kisha Ndipo nikaenda chumbani.
Nilifunga mlango kwa ndani kabisa nikajisemea asije akaniingilia bule.

Lakini Ile nabadili Nguo sasa si mala Nikamuona  kaka Felix anatokew chini ya uvungu.
Uwiiii!!! Niliogopa jamani nikataka hadi kukimbia  Ndipo akanishika mkono.

"Kwaiyo ulinifanya mjanja mwenyewe ukaona dizaini kama umenikimbia si Ndio? Selina ivi Umewahi kuwaza najitoa kiasi gani mpaka wewe umesoma umefika hapo?.
Kama haitoshi nyumbani hapa Kila kitu kinaenda sawa Sasa wewe kuwa tunafurahishana shida nini?".

"Kaka jamani usinifanyie ivyo Mimi Mwenzio kwanza nimeshasahau".

Kusahau wapi!!! Kuzungumza vile kaka alinitupia kitandani na ivi nilikuwa nimejifunga khanga tu Nimetoka kuoga wala haikuwa kazi kwake.
Nililazimika kufanya nae tendo lile pasina hata kupenda.
Tulipomaliza Nilibaki mwenyewe nalia yeye ndo akachungulia mlangoni na kuondoka zake.


Basi yale yalikuwa Ndio maisha yetu Mimi na kaka Felix pale nyumbani. 
Alikuwa akiamua ananitishia  na kufanya tendo lile mpaka muda wa kwenda chuo ulipofika Kwangu ndo  ikawa nafuu kwa maana niliondoka pale nyumbani nikawa nakaa Zangu hostel.

Kifua Changu kilijaaa jambo lile zito lakini sikuona hata wa kumueleza.
Hakuna mtu Ambae ningeweza kumuambia jambo lile walau akanipa ushauri.

Nyumbani nilipaona pachungu ivyo nikawa Zangu nakaa hostel tu sikuwa na hamu ya Kurudi nyumbani kabisaaaa.

Katika harakati za ujana Tena nilikutana na Kijana Ambae tulipendana na tukaingia katika mahusiano ya kimapenzi.

Kijana huyu aliitwa sudi nilikutana nae hapo university.
Tulikuwa tukisomea wote fani  Moja ya udaktari lakini mwezangu yeye alikuwa mbele Zaidi alinipita ivyo licha ya kuwa mpenzi Wangu pia alikuwa mwalimu Wangu mzuri sana.

Mapenzi yetu yalinawiri buana pale chuo Watu walitutambua Lina wa sudi Mpaka raha.
Sudi yeye kidogo alitokea familia kujiweza kipato ivyo Mpaka chuo alikuwa anakuja na usafiri wake private alikuwa na gari mwenyewe.

Huwa tulikuwa tukitoka siku za weekend kutembea Sehemu mbalimbali na Mpaka kwao tulifika na akanitambulisha kwa mama na dada yake.

Basi nami kuona ivyo nilihitaji kumuaminisha Kuwa ni jinsi gani nampenda nikapanga nami nimtambulishe nyumbani kwetu.

Nilitafuta siku ilikuwa weekend nikaenda kabisa nyumbani kumuambia mama Kuwa weekend ijayo nitakwenda kumtambulisha mpenzi Wangu.

Mama mwanzo Alishangaa Kusikia vile,
"Selina Mwanangu chuo mwaka wa pili ushapata Mwanaume? Mnapendana au mnataka kuanza kuchezeana Mwishowe mkaishia njiani usimalize masomo".

"Hapana mama Yani huyu ni WA uhakika kabisa.
Navyokwambia kwao wananifahamu mama yake mzazi na dada yake mzaliwa nae.
Basi nikaona nami nimlete hapa nyumbani plzzz mama naomba mpokee".

" Mhh haya mlete Nitaongea na kaka yako maana baba yenu kama mnavyomuona Mgonjwa atakuwa tu msikilizaji lakini Zaidi Mimi na kaka yako".
Basi nilikubali pale Walau nilishakuambia mama nikaona jambo litakuwa sawa bin sawia.

Usiku ule Sasa mama alimueleza kaka Felix kuwa Wiki ijayo namleta mchumba Wangu kumtambulisha hapo nyumbani weeeee kaka akawa mkali.

" Ndo kilichokupeleka shule icho eti? Umeenda kusoma au kupiga uhuni... Soma maliza masomo yako kwanza ndo hayo mengine yatafuta hakuna Cha mchumba saa hizi alaaa".

Mama Sasa kusikia vile Ndipo akaniambia,
" Lakini anachokisema kaka yako ni sawa kabisa mwanangu ebu ungeshika moja kwanza Hilo la kusoma alafu mengine baadae.
Usije ukajiharibia mwanangu wakati bado padogo tu uhitimu"

Nilimkata jicho kaka Felix hata hamu ya kuendelea kukaa nao pale iliisha nikainuna na kwenda Zangu chumbani.

Nikamsikia tu kaka amebakia anamuambia mama,
"Na Tayari kashaharibika si unaona amekuwa Jeuri Selina hakuwaga ivi ila wewe mama usijali kila kitu niachie Mimi atanyooka Huyu"
"Wewe ndio baba Felix Wa pili msimamie Mdogo wako jamani"
"Nakwambia mama wala usiwe na wasiwasi mbona utapenda".

Niliwasikiliza tu nikawaacha.

Siku iliyofuata mapema sana niliaga nikarudi Zangu chuo kiukweli sikuwa sawa nilichefukwa.

Kaka felix alikuwa alinipigia pigia simu lakini mie walaaa sikupokea.
Nilikuja kuipokea simu ya kipenzi Changu Sudi.

"Haloo my love uko mzm?"
"Yah nipo mzima japo sio sana"
"Nini Tatizo?"
"Ahhh si ya kuongea kwenye simu sudi labda tukikutana"
"Ok lini maana siwezi kusubiri utatoka nyumbani saa ngapi?"
"Nipo chuo nyumbani nimeshatoka"
"Nije nikifuate nikupeleke eneo tulivu sawa jiandae"
"Sawa".

Basi ikawa ivyo alinipitia tukaenda zetu ufukweni Huko.
Nilimueleza kuwa nilikwenda kuwaomba wazazi Wangu niende kumtambulisha lakini wamekataa wamesema bado natakiwa kusoma kwa sasa.

Sudi alikuwa ni Mwanaume muelewa Jamani sijapata kuona yaani alinisikiliza Kisha akanishika mikononi.
"Naelewa Hata kwetu Kuna mabinti wa kike Naonaga jinsi wazazi Wangu wanavyowalea ni kweli Kwa wewe mwanamke si Sawa.
Wanachokisema wazazi wako ni sawa wana wasiwasi ila usijali ni suala la muda tu watakuamini na watanipokea kubwa ni kuwa makini tusilete mistake wakasema tulisema".
" Asante sana mpenzi Wangu Kwa kuwa Muelewa".
" Mhh worry out  kwa sasa nitakupeleka sawa tu mapenzi kidogo masomo Kwa wingi"
" Mhhh acha buana usitake nikonde mwenzio "
" Nakufanyia Mpango wa field utakwenda kufanya katika hospital kubwa  ambayo Mimi nakuwepogi pale tawi la hospital hiyo Kwa Tz kubwa yake ipo India Ndipo anafanya kazi baba Yangu huko..."
" Wooow Asante sana nafurahi".

Kweli nilifurahi Nilitokea sana kumpenda sudi Wangu yaani hata chuo nilikuwa chonjo sitaki wanawake wamsogelee My mr romantic🌹🌹.

Basi Majira ya usiku kama saa mbili ivi ndo alinirudisha hostel hapo Kuna vizawadi alininunulia basi nikawa nimebebelea mwenyewe.

ila Ile napiga hatua mbili tatu mala Nikamuona Kaka Felix amesimama katika mlango wa kuingilia hostel kwetu inamaana aliniona nilipotokea bila wasiwasi.

"Kwaiyo wewe ndo unajua sana Mapenzi siku hizi sio... Kumbe huyu bwege ndo anakupa jeuri sio mpigie simu kabla hajafika mbali mwambie nataka kuonana nae".

"Kaka Felix naomba uniache nimekaa kimya kwa muda mrefu usitake nizungumze bila  kujali nini kitatokea kaa mbali na Mimi usinifate fate kaka Felix".

Nilijikaza nakwambia huyoooo nikapitiliza Zangu kuingia ndani alishanichosha jamani....

Sijui itakuwaje?
Tukutane sehemu ya 4

Mamuh na simulizi zake:
*MWIBA*

SEHEMU YA..... 4
Na
Mamuh mohd


Nilijikaza nakwambia huyoooo nikapitiliza Zangu kuingia ndani alishanichosha jamani....

SONGA NAYO....

Undugu kwetu sasa ulianza kubadilika na Taratibu Kabisa nikaona uadui unatunyemelea.
Kaka Felix alishindwa kabisa kunielewa alichokuwa anataka nisiwe katika mahusiano yoyote niwe Mwanamke wake yeye tu.

Nae pia aliniambia eti hatokuja kuoa mke mwingine yoyote tuishi katika laana ile jamani.

Nilikuwa na msimamo nikawa namueleza kuwa Huko Mimi nimeshatoka na Siwezi kurudi Tena.
Nilimtaka tu atafute Mwanamke wa kupendana nae   maisha mengine yaendelee.
Alikataa nilipoona usumbufu unazidi nikaamuaga kumblock kwa kweli.

*****

ilipita miezi kama miwili ivi kaka Felix aliondoka pale nyumbani Mimi hakuniaga ila aliwaaga wazazi wake kuwa amepata kazi mkoani Atarudi tu.
Kwangu niliona Afadhali jamani hata usumbufu utapungua.
Hapo nilikuwa sasa hata na amani ya kuwa na mpenzi Wangu sudi wenyewe na nikampeleka nyumbani mama Yangu alimuona nae akampenda na kutubariki kuwa tufike mbali.

***
ilipita miaka minne buana ambapo elimu Yangu nilikuwa nimeshamaliza na kazi pia nilianza katika hospital ileile ambayo nilikuwa nafanyia mazoezi alinitambulisha Sudi pale.

Sudi hakutaka kupoteza muda maandalizi yalianza ya Mimi na yeye kufunga ndoa.
Walitumwa washenga nyumbani kwetu kuleta barua, na baadae ikafuatia Mahari aiseee mambo yalikuwa paaambe.

Mama nikawa nasikia anawasiliana na kaka Felix kuwa anatakiwa arudi kwa ajili ya kunifungisha ndoa.
Baba hali yake ilikuwa Mbaya na Zaidi uzee ulikuwa ukizidi basi alikuwa mtu wa kukaa tu.

"Yaaani kaka yako simuelewi kabisaaaa... Miaka minne haji nyumbani anatuma tu ela  Sasa hata hii harusi yako unadhani itakuwaje bila yeye?"
"Mama mbona wajomba wapo na kaka Zangu Watoto wa baba mkubwa kwanini usiwashirikishe hao?"
"Mhhh Sasa wataambiwa hao na Hali ya kuwa yupo kaka yako wa damu? Hiyo haiwezekani wewe subiri Anasema atakuja na ataiwahi harusi lakini sasa hasemi ni lini".
Mhhh nilijinyamazia Zangu Japo nilianza kujisikia Vibaya Tena kwamba asije akaja Akaanza ujinga ujinga wake wakati Mimi mwenzie sasa Tayari ni mchuimba wa mtu.

Basi siku ya harusi ilifika Na Asubuhi ya siku hiyo Ndipo kaka Felix Alirudi.

Wakati huo nipo Zangu chumbani naandaliwa kama bi Harusi Tena Ndipo nikasikia mlango ukigongwa.
Kufungua aliingia Kaka Felix nikashangaa kumuona jamani.
"Alimtaka yule aliekuwa ananiandaa atoke Nnje kwanza ana Maongezi na mimi.

" Hongera sana Selina unaolewa Leo lakini Mimi ndo umeniharibia maisha Yangu mpaka sasa nipo mtu mzima lakini Sina muelekeo wa ndoa"
" Kaka hayo umeyataka wewe Mimi mbona siku nyingi sana nilishakuambia yaishe.
Miaka imeenda lakini bado unawaza huo ujinga Ebu nitakuanzishia dozi huwenda kichwa chako hakipo sawa".

" Mapenzi yako Selina ndio yamenifanya niwe ivi kama Mjinga Leo unaniona mjinga sawa....ndoa njema lakini nakuhakikishia hautakuwa na Furaha kama Ambavyo Mimi Sina Furaha".
Aliongea kauli hiyo tata kaka Felix Ambayo ilinishtua jamani sio siri.

Ahhh niliona nipotezee buana hana maajabu hata ivyo ya kunisumbua nikishaolewa Zangu nikaenda kukaa Kwangu na mumewangu itakuwa ndo Kwisha habari yake.

Basi muda wa ndoa ulipowadia niliolewa nae kaka Felix alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha ndoa imepita salama.
Niliondoka pale nyumbani na mumewangu hadi upande wa Nyumbani kwa kina sudi.

Huko napo buana palikuwa na maandalizi sio ya kitoto.
Mwenzangu kwao walikuwa na pesa Zaidi ivyo waliandaa Sherehe kubwa usiku wa siku Ile.
Katika Sherehe Hiyo tulizawadiwa nyumba ya kuishi yenye thamani ya Tsh milioni 250.
Kwa kuwa kijana wao gari alikuwa nalo Mimi mkamwana wao walinunulia nami kagari kakuendea kazini jamani.
Nilifurahi sana sio kawaida mpaka machozi ya furaha yalinitoka.
ilikuwa ni harusi ya kifahari iliyofana sio kawaida.

Baada ya pale Mimi na mumewangu tulikwenda zetu honey moon katika hotel nzuri ya nyota Tano buana Ilikuwa raha sio siri.

Tulikaa kule hotelini kwa wiki moja na Kisha Ndipo tulirudi katika nyumba yetu sasa.
ilikuwa ni Nyumba kubwa na Nzuri.
Nyumba Yetu ilikuwa na vyumba vinne vya kulala na Kila chumba kilikuwa self contain kina toile na bafu.
Pia palikuwa na eneo la toilet kwa ajili ya wageni wale Ambao wakuja na Kuondoka.

Sebule kubwa na eneo la dinning, Jiko la kisasa la kupendeza kwelikweli.

Nnje sasa palikuwa na miti Mingi ya Matunda, eneo la bustani Zuri la kukaa Kwa Mimi lile lilikuwa ni jambo kubwa sana sikuamini Selina Mimi pale ndo nyumbani Kwangu.

Mumewangu aliniandalia mtu wakunifundisha kuendesha gari na Wakati mwingine alikuwa akinifundisha yeye mwenyewe.

Miezi mitatu tu ilinitosha nami nikakamilisha kila kitu nikaanza sasa kuendesha gari langu.

Tulikuwa tukifanya kazi hospital Moja na mumewangu lakini yeye Kuna Wakati alikuwa akienda Hospital zingine pale alipohitajika kwani alikuwa na elimu Zaidi.

ilipita miezi Mitatu Tena Ndipo Siku hiyo tukiwa tumekaa zetu Sebleni na mmewangu mala alipigiwa simu na akaipokea akawa anazungumza mbele Yangu.
Maongezi yale nipoyasikia ni kama Kuna jambo la kibiashara mmewangu alikuwa akilikamilisha kwamba bado siku Chache aizindue biashara Hiyo.

Mhhh nilishangaa na alipomaliza kuzungumza na simu nilikuwa na shauku ya kutaka kujua.

"Mmewangu Kuna biashara unaifungua au?"
"Hahahaha mkewangu nilitaka iwe surprise kwako ila pia sio mbaya.... Tunafungua Duka kwani shemeji aliwahi kunifuata na kuniomba nimpe Kampani apate pakuanzia kimaisha.
Sasa Kwa kuwa yeye mwenzangu  ana mzuka sana na biashara nilimpa option achague kipi kitakuwa kizuri kwake na akapendekeza minmarket basi nimeona sio mbaya kumsupport ndo mzigo soon unafika tunapafungua".

Nilishangaa jamani maana si jambo dogo,
" Mmewangu mbona japo kubwa sana Hilo hujaniambia na shemeji yako yupi huyo maana Wadogo zako wakike wote wapo nnje ya nchi kimasomo".

" Mhh ni shemeji Yangu Felix".

Nilishtuka kusikia vile inamaana kumbe ni kaka Yangu ndo kimya kimya alimfuata mmewangu Kumuomba amuangalizie Cha kufanya.
Lakini mbona Mimi nilikuwa sijui hakuniambia Kabisaaa ndo kwanza nilisikia hayo kwa mumewangu Leo.

"Kaka Felix hakuniambia chochote mmewangu ujue"
"Aliniambia Mimi Mwanaume Mwenzake mkewangu ujue sio kila kitu lazima akuambie Ndio maana nikakuoa wewe nasimama nafasi yako pia Katika familia yako no wajibu Wangu".

" Asante mmewangu siamini katika hili.... Lakini sasa je Litakuwa ni la kwako wewe au la kwake yeye? "
" Umiliki ni Wangu lakini ninampango nikiona ameshasimama panajiendesha penyewe basi nitamuachia tu haina tatizo.
Pengine nae anahitaji kuanzisha familia Kwaiyo lazima tumuunge mkono Kwa kadri tutakavyojaliwa.... Ujue katika familia akibarikiwa mmoja basi ana wajibu wa kuwainua wenzao na wote wawe sawa kimaisha".

Nilijikuta nafurahi sana na moyoni mwangu nilijipa moyo kuwa kaka felix huwenda Sasa ameshajitambua anatafuta mwanga ili aanzishe familia yake kwangu niliona itakuwa afadhali.

Basi kweli Baada ya mwezi mmoja Tena Walifungua huyo minmarket ambapo siku ya uzinduzi nami pia nilikwenda kweli walipata eneo Zuri la mjini kabisa palipochangamka.

Kulikuwa na Kila kitu kana kwamba mtu akiingia asilimia kubwa ya Vitu vinapatikana... Lilikuwa ni la kisasa Zaidi.

Baada ya pale Mimi sikuwa nikienda sana ila mala kwa mala mmewangu ndo alikuwa akipita na kuniletea tuchoclate Nini kwani Kwa Wakati huo nilikuwa Nina kamimba kachanga basi kanapenda chocolate kupita Maelezo.

Maisha yaliendelea kiivyo na Mmewangu akawa ananisimulia jinsi mambo yanavyokwenda vizuri mpaka Kaka Felix kaweka na watu Wengine wawili wakusaidiana nae kuuza.

****

Siku Hiyo Majira ya Usiku kiasi saa 4 ivi nilikaa Zangu mwenyewe namsubiri mmewangu haswa na chocolate ice cream kama alivyozoea kuniletea.
Lakini muda ulikwenda siku hiyo mpaka saa Tano ilifika mpenzi alikuwa hajarudi.

Nilishika simu nikawa nampigia lakini ilikuwa ikiita tu pasina kupokelewa.
Hali iliendelea kuwa vile nakaa dakika 5 napiga haikuwa kawaida na hakuwa akilala hospital kwani ikitokeaga ivyo alikuwa akiniambia mapema ila siku hiyo hakuniambia chochote kwa maana Atarudi kama kawaida.

ilifika saa 6 kasoro Ndipo nilipiga simu ikapokelewa na mtu mwingine Ambae sikumfahamu Sauti ilikuwa ngeni,
"Halooo mwenye hii simu tunampeleka hospital hapa wewe mkewake njoo Hospital ya Malaika ndo Tunaenda huko".

Nilishtuka jamani sio kawaida,
Mwili wote ulitetemeka sio kawaida lakini ilibidi nijikaze nikachukua funguo za gari kuwahi Huko hospital.

Kweli kufika nilikuta gari la mumewangu nnje pale na kupiga Tena namba ya mumewangu aliekuwa na simu akaipokea na kunielekeza walipo.

Alichoniambia kwamba walikuta amesimamisha gari njiani Kwa muda mrefu anapigiwa honi kupisha njia haitikii Ndipo wakashuka baadhi ya watu na Kuingia katika gari lake kumuangalia alikuwa na Hali mbaya wameona watumie gari yake hiyo kumleta hospital.

Nilitaka kwenda kumuona kwanza lakini watu walinituliza kwanza walinitaka niwe mpole japo haikuwa rahisi.

Kufika saa 8 ivi Usiku mala Nikamuona mama mkwe amekuja pale hospital akiwa na mama Yangu inamaana waliwasiliana make hata Mimi nilijikuta nimesahau hata kuwaambia kwa jinsi nilivyochanganyikiwa.

Nilijiuliza sasa wamejuaje juaje Ndipo mama akanisogelea na kuniambia,
"Mwanangu Twende nyumbani Sasa walau ukaoge una jasho sana"
"Kiaje unaongea nini mama??? Kwani mmefikaje fikaje hapa?"
"Kanipigia simu Mama mkwe wako nae alipigiwa na daktari wa hapa wanafahamiana..elewa twende nyumbani ukaoge uandae chakula tuje Asubuhi Kwa sasa hawaruhusu kuona wagonjwa".

"Mama Mimi ni daktari pia nitajua Cha kuwaambia nitaingia tu".

Mala sijakaa sawa nikawaona ndugu wa Sudi Ambao nilitambulishwa hata Wakati wa harusi baba zake wakubwa na wanaume wengine wengine hapo sasa nilihisi ukakasi...mapigo ya moyo yalibadilika nilizidi kuogopa na mama nae akanishika kwa nguvu.....

Sijui itakuwaje?
Tukutane sehemu ya 5

Mamuh na simulizi zake:
*MWIBA*

SEHEMU YA.... 5
Na
Mamuh mohd


Tulipoishia......
Mapigo ya moyo yalibadilika nilizidi kuogopa na mama nae akanishika Kwa Nguvu....

SONGA NAYO.....

"Mama sielewi mama niambie Nini kinaendelea mama yangu sielewi mama".
Mama alinikumbatia tu hakuweza kuniambia Chochote.

Jamani Moyo niliona unaniuma akili ilinituma tu nipige kelele basi kweli nikaangua kilio Kwa Sauti,
"Sudi weeeeeeee.... Sudi weuweeeeeeeee".

Nililia jamani Na Ndipo Watu wakanisogelea Kwa Nguvu kunitoa nnje.

Lakini Kabla hatujafika hata nnje Nilipoteza fahamu na sikujua Tena Nini kiliendelea jamani.

Nilikuja Kupata fahamu na kujikuta hospital nimelala.
Nikahisi maumivu Fulani Ambayo sio ya kawaida Lakini Bahati mama yangu alikuwepo Karibu.

"Selina tulia Mwanangu tulia Tafadhali hali yako sio nzuri kabisa ni Mbaya Sana unatakiwa kutulia sawa?"
"Mama sudi Wangu hayupo jibu Hapana mama sema kwamba sio kweli mama yangu".

"Selina imeshatokea ivyo unachotakiwa ni kujikaza ili uweze kumstiri Mumeo... Na pia hali yako hiyo Usikubali kupoteza Na icho sawa? Jikaze mwanangu ndo maana Kila Wakati nipo Karibu na Wewe jikaze.... Jioni sudi anapumzishwa jikaze turudi nyumbani Walau ukamuage Mumeo tafadhali".

Haikuwa rahisi Kwangu sikuamini lakini niliona Afadhali hata nikamtazame Mimi mwenyewe huwenda naweza kumuamsha na akaitikia.

Basi nilitolewa pale hospital Tukarudi hadi Nyumbani kwa wazazi wa sudi Ambapo na Taratibu zote zilikuwa zikifanyika hapo.

Niliweza kufika katika chumba ambacho alikuwa amelala Sudi Wangu na kumkuta ametulia tuli utadhani amelala.
Nilimuamsha kwa kuangua kilio jamani lakini sikuweza kubadili ukweli kuwa sudi alipoteza maisha.
Niliwaamsha mpaka na Ndugu zake wengine waliokuwa wametulia sasa waliibuka kwa vilio pale sio kawaida.

Muda ulikuwa umeenda Kufikia jioni alitakiwa sasa Kwenda kuhifadhiwa katika makazi yake ya milele.
Hapo napo jamani nilishindwa kujizuia nikadondoka na kupoteza fahamu kwa mala nyingine tena.

Kumbe safari hii nilizimia kwa muda wa siku mbili ile siku ya tatu ndo nilipata fahamu na kujikuta hospital Tena.
Safari ile daktari aliponiona nimepata fahamu alipendekeza kwamba niendelee kubakia chini ya uangalizi kwa siku kadhaa Kwani waliniona kabisa sipo sawa.


Basi nilibakia nimelazwa pale hospital huku nikiwa ni mtu wa kulia tu mpaka ikabidi wawe wananichoma Sindano ya usingizi.

Siku hiyo Jioni alifika kaka Felix kule Katika chumba nilichokuwa nimelazwa.
Sikuwa hata nimemuona tokea matatizo ya tokee Ndio sasa.

"Pole sana Selina Mdogo Wangu Kwa matatizoni pole mno"
"Asante.... Lakini ilikuwaje Mbona gafla tu alipatwa na Nini?"
"Hata Sisi hatujui maana siku ile hakuja hata dukani kabisa kama ilivyokuwa kawaida yake siku zingine.

Nilishindwa kufahamu Nini Tatizo Lakini ndo ivyo Tena tukaja kushtukizwa tu Taarifa kuwa amevamiwa na vibaka".

Nilijikuta naangua kilio jamani mpaka akili yangu ilifika mbali sasa.
"Kaka Felix huu ni mkosi na ni laana lazima tutubu ili mkosi utuondoke.
Ni wazi kwa yale tuliyokuwa tukiyafanya ni laana naomba tutubu".

"Mhhh Kwaiyo woooote wanaopitia matatizo wana laaana Mdogo Wangu? Ni kama matatizo mengine tu wala sio kwamba ni Sababu"

" Lakini nafsi Yangu inaniuma sana nahisi Mimi Ndie Mwenye laana na mkosi mpaka nimemsababishia Mtoto wa watu... Natakiwa kutubu".

Kaka Felix akanisogelea na kuniambia,
" Wacha kujitesa Kilichotokea baina yetu ni jambo la Kawaida sana tu.
Kuna watu wanatembea na watoto wao sembuse sisi Ndugu tu.
Hapa ndo ujue kwamba wewe unatakiwa kuwa na Mimi tu wala usihangaike Tena...".
" Kaka Felix naomba uondoke maana unazidi kunikwaza tokaaa ".

Nilijikuta namkalipia kaka Felix kwa Sauti mpaka mama akasikia alikuwa Karibu wodini pale akaingia.

" Haya vipi Tena mbona kelele ivi? Kwanini unamfokea ivyo kaka yako jamani mwanangu unatakiwa ujizuie... Kweli Kwa sasa unapitia Wakati mgumu sana lakini jikaze mwanangu.... Felix baba mzoee dada yako hayupo sawa kwa kipindi hiki inabidi tumuelewe tu".

"Wala  hakuna shaka mama basi Mimi nipo nnje baadae kidogo".
Haya baba..... Basi kaka Felix akatoka nnje Nikabakia na mama pale huku nalia tu.

Zilipita siku tatu Ndipo afya Yangu kiujumla ilikaa sawa nikaruhusiwa kurudi nyumbani.

Mama alitaka Nirudi nyumbani kwetu  na sio kule nyumbani Kwangu nilipokuwa Naishi na Sudi.

"Mama Mimi ni mke natakiwa kwenda kukaa nyumbani Kwangu mpaka nitakapomaliza wakati husika na sio kukaa kwetu".
"Mwanangu sikutaka kukuambia kabla kutokana na Hali uliyokuwa nayo lakini ukweli ni kwamba wakwe zako hawataki urudi pale.
Wanasema kuwa eti wewe ni mkosi ndo maana hadi kijana wao amepoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha.

Mwanangu inaonekana kama Wewe ndie Umefanya kusudi ili upate Mali.
Pale nyumbani kwako nyumba imefungwa Kabisa".

Nilishangaa zile nazo Habari mpya Tena.
Hapo ndo niliunganisha Matukio kwamba Wakati wote nipo hospital sikuwaona wakwe wala mawifi Zangu.

" Hapana mama wasinifikilie ivyo jamani Mimi Sina hatia"
" Ndo ivyo mwanangu Wanaamini ivyo.
Baada ya kwenda kumstiri Ndugu yao walinifukuza nyumbani pale mwanangu".

Niliwaza nikajisemea hakika huu ni mkosi huu ni mkosi Kabisa kama nilivyomuambia hata kaka Felix.

Niliishia kulia tu jamani nilishaona nimeharibu maisha Yangu kabisa.

Siku ile nilienda nyumbani kwetu na Siku iliyofuata Nilipelekwa eneo alipopumzishwa Sudi Wangu.
Kaka Felix ndie alinipeleka na kufika Yeye alibaki pembeni Mimi nikasogea huku nalia sana.
Nilijikuta nakosa hata Cha kuzungumza  Ndipo mala gafla nikasikia nikishikwa begani.

Nilishtuka na kugeuka alikuwa ni kijana mmoja Ambae sikumfahamu.
"Samahani dada wewe ni nani?"
"Naitwa Selina"
"Ohhh ok Mimi niliambiwa kuwa Selina asifike eneo hili hutakiwi kukaa Sehemu hii.
Ndugu zake na huyu bwana sudi wamesema usikanyage  hapa kwaiyo naomba uondoke".

"Unaongea nini wewe?Mimi ni mkewake sio mtu Baki".
"Sawa lakini eneo hili ni la Familia yao wameniweka Mimi kama mlinzi na nimeambiwa hutakiwi kufika hapa... Dada samahani kibarua changu usije kufanya kiote nyasi naomba uondoke ".

Mtu yule kijana alinishika mkono kunitoa jamani sehemu ile.
Kaka Felix alikuwa akishuhudia lile ndo ikabidi aje kunichukua mpaka kwenye Gari jamani lile lile gari langu.

Nililia njia nzima jamani nikaona Hapana... Nikamwambia kaka anipeleke nyumbani kwa kina sudi.
"Unajichanganya bule Mdogo Wangu wewe Wala usingeenda achana nao"
"Kwanini sasa wanifanyie ivi na Hali hii hawajui nataka nikawaambie kuwa kijana wao kaniacha na ujauzito".

"Haina haja Tena ikibidi kunywa vidonge mapema uitoe hiyo mimba maana hata walijua hawataikubali" .
Maneno yale ya Kaka Felix yalinivunja moyo lakini moyo Wangu ulitaka niende nikazungumze nao.

Kaka alikataa kunipeleka lakini mwenye nilitoroka siku moja nikaenda.

Jamani kufika nilipokelewa na maneno.
Hapo ndo niliamini kweli Ile Familia hawanitaki.
Jamani walinitukana kuwa Nina mkosi Mimi ndo nimemuangamiza kijana wao ili nipate Mali.

Wakaniambia kuwa sitapata Chochote nyumba yao wataichukua Sina Cha urithi niondoke.
Jamani hata nilipowaambia kuwa Nina ujauzito Hawakunielews nilifukuzwa kama mbwa.

Niliumia sana, yaaani nilipanick sio kawaida.
Nilijiona kweli ni mkosi na yote ni Kwa Sababu nilitembea na kaka Yangu.

Basi nilifika chumbani siku ile nikiwa na Na hasira niliamua kutafuta madawa nikayachanganya Ambayo niliyajua Yatafanya sumu.

Lakini gafla moyo Wangu ulisita kutaka kufanya nilichotaka kufanya kutokana na Ujauzito mchanga niliokuwa nao.
Nilisita Ndipo nikakaa Zangu Kitandani ni kulia na mimi, Mimi na kulia.

Licha ya kuwa nilipewa miezi mitatu ya mapumziko kazini kwa kuondokewa na mume lakini mala gafla nililetewa barua ya kuachishwa kazi 
 
Hospital ile Walikuwa wakifahamianana baba yake Sudi na Kwa Wakati ule baba yake Sudi alikuwepo pale inamaana alifanya namna nifukuzwe na kazi.

Jamani Kwangu nilichukilia ile ni mikosi na laana inanitafuna moyoni nilijisemea sasa basi lazima niwe muwazi  walau nipate amani.

Niliamua siku hiyo kumfuata mama nilikusudia kumuambia kila kitu.

"Mama Kuna kitu kikubwa sana nahisi hay yanayonikuta ni  laana mama Kuna kosa kubwa sana Nilifanya mama Yangu naomba nisamehe mama nateseka".

Mama alishtuka Ndipo akanitazama kwa makini,
" Jambo gani hili Selina mbona unanitisha sana haya niambie".

Nilivuta pumzi kwa nguvu kwanza nikaanza kumuelezea mama...

Sijui itakuwaje?
Tukutane sehemu ya 6

Full 1000
0743433005

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post