TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

WATAMBUE WANAWAKE 8 WENYE UPUNGUFU WA AKILI 😃


WATAMBUE WANAWAKE 8 WENYE UPUNGUFU WA AKILI 
1 MWANAMKE Anaevaa nguo fupi(mini- skirt) halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti yake kwa mikono au kitambaa chake cha mkononi.
  Ana upungufu wa AKILI.

2️⃣. MWANAMKE Anaetoa mimba kisha analala na midoli kwenye kitanda chake, Ana upungufu wa AKILI.

    

3️⃣. MWANAMKE Anaetembea na mume wa mwanamke mwenzie  miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaume wanaomchumbia wenye nia ya  kumuoa. Huyu nae ana upungufu wa AKILI.

4️⃣. MWANAMKE Anaeweka nywele bandia, kucha bandia,kope bandia akiambiwa amependeza anasema Asante utukufu kwa MUNGU..
   Huyu nae ana upungufu wa AKILI.

5️⃣. MWANAMKE ambae hamiliki hata kitanda nawala hana hata Biashara ya mtaji wa elfu 20. Lakini, anataka mwanaume mwenye nyumba au gari huyo nae kichwa chake hakina kitu kama mtungi wa gas usivyokua na kitu ndani yake...

6️⃣ MWANAMKE anayeutumia mwili wake na kuufanya kuwa biashara kwa Wanaume kwa ajili ya kumuingizia kipato. Huyu nae dishi lake limeyumba.. 

7️⃣ MWANAMKE ambaye hajaolewa au aliyeachika asiyetuliza miguu yake nyumbani kwake au kwao, kila kukicha kichwa chake kimejaza taarifa za mesengenyo, umbea na kufatilia ndoa za wanawake wenzie. Ana upungufu wa AKILI....

8️⃣MWANAMKE Anaesoma post hii kisha anatukana badala ya kubadilika wakati nimemuelimisha huyo nae Dishi lake ni NO SIGNAL, Halina hata channel za bure.....

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post