*UTELEZI*❤️🔞🍌
*SEHEMU YA 01
Mapema asubuhi kwenye mtaa wa TUGONGANE, uswahilini haswa, mzee Banzi alitoka na kopo lake la kunawia uso pamoja na mswaki mkononi na kusimama mlangoni huku akilipandisha pandisha vizuri taulo lake kiunoni, akasogea pembeni kwenye maua na kuanza kupiga mswaki akiwa ameinama kidogo, akitokea kwenye nyumba kubwa na pembeni kukiwa na vyumba kadhaa vya kupangisha, mzee huyo akiwa ametoka kuchukua pesa zake za mafao ya uzeeni siku chache zilizopita, akiwa na mamilioni ameyahifadhi ndani kwenye nyumba yake akiwa haamini kabisa katika suala la kutunza pesa benki, wakati akiwa anaendelea kupiga mswaki mlango wa chumba cha mmoja wa wapangaji wake ulifunguliwa taratibu akageuka kutazama, akamwona mwanadada aitwae Jamila, mmoja wa wapangaji wa nyumba hiyo akiwa na tambala la deki mkononi na ndoo ya maji akipiga deki chumbani kwake huku akiwa amejifunga upande wa khanga nyepesi, tena akitoka kinyume nyume matuta yake makubwa ameyaelekezea nje, khanga hiyo nyepesi ikiwa imemshika ipasavyo na kujichomeka katikati ya barabara ya matuta yake makubwa, mzee Banzi akajikuta anapiga mswaki shavuni akijipaka dawa badala ya kinywani kwenye meno kutokana na kumshangaa sana mpangaji wake huyo
"Alamba alamba tena aaamh aaamh, alamba alamba..." Jamila aliimba wimbo wa taarabu aliouweka kwenye sabufa yake ndani huku akinesa nesa akicheza kidogo kidogo, matuta yake makubwa ndani ya upande wa khanga aliojifunga yakiruka ruka kimtindo, mzee Banzi akabaki ameachama mdomo tu anatazama matuta makubwa ya mpangaji wake huyo yaliyokuwa yameelekezwa kwake, mkewe akiwa ametoka ameenda msibani kwa ndugu zake na kumuacha peke yake nyumbani, huku khanga hiyo ya Jamila ikiwa imeandikwa maneno yaliyosomeka kwa herufi kubwa 'KAMA UNAITAKA IGHARAMIE'
"Wanaume tumeumbwa mateso, mateso kuhangaika" mzee Banzi alianza kujiimbia mwenyewe huku akilivuta vuta vizuri taulo lake lililotaka kumporomoka kiunoni, likituna kwa mbele maana muhongo wa jang'ombe🍆wa mzee huyo ulishasimama ndani ya taulo, Jamila akageuka na kumtazama mzee huyo jinsi anavyohangaika hangaika
"Baba shikamoo" alimsalimia kwa mapozi
"Marahaba Jamila hujambo, teh teh" mzee Banzi alijichekesha
"Sijambo, kwani mama yupo au katoka?"
"Katoka kidogo yupo msibani"
"Aaah kumbe katoka, basi sawa, nilijua yupo maana tarehe yangu ya kodi ndo imefika na anasemaga mwenyewe kuwa kodi tumpe yeye tusikupe wewe"
"Aaah kodi ya miezi mingapi?"
"Mitatu"
"Aaah Jamila wala usihangaike kuhusu habari za kodi bwana"
"Wewe baba unasema tu, akija mkeo hapa kinawaka"
"Mimi si ndiye baba mwenye nyumba na hii nyumba nimejenga mwenyewe, kodi wala huna haja ya kulipa"
"Kweli baba?"
"Kweli Jamila sasa mimi nikutanie wewe, na ulivyojaza minyama nyama hivyo yaani unanivuruga kabisa we mtoto"
"Jamani mzee Banzi mie huyo"
"Eeh kumbe nani, teh teh"
"Mzee Banzi jamani mimi nakupendeaga hapo hapo yaani, hasa tumbo lako hilo"
"Tumbo gani hiki kitambi ndo unakipenda Jamila teh teh?" alijishika shika tumbo lake kubwa
"Ndiyo, yaani linanimaliza tumbo lako, kwahiyo nikupe zawadi gani unayotaka?"
"Aaah Jamila, wewe unaijua bwana, unaniuliza tena teh teh"
"Jamani niambie"
"Si unajua tena mambo yetu yale"
"Basi tangulia kwako nakuja"
"Hamna, kwako bwana"
"Kwangu hapajakauka au hutaki?"
"Sawa natangulia, usichelewe basi Jamila"
"Wala sichelewi baba" Jamila alimjibu mzee huyo ambae haraka haraka aliingia ndani kwake akiwa amelishikilia taulo lisimuanguke na Jamila ambae alikuwa na mkakati wake maalumu akafunga mlango wa chumba chake na kuingia nyumbani kwa mzee huyo mzima mzima,
"Aaaah kumbe ndo maana hiki kidada hakilipi kodi na kina jeuri kumbe kinatoka na baba mwenye nyumba, sasa subiri" mpangaji mwingine mwanamke aliongea wakati akichungulia mlangoni kwake, akabofya simu yake na kupiga, ikaita kwa sekunde kadhaa na kupokelewa
"Halow!"
"Mama mwenye nyumba shikamoo"
"Marahaba nani mwenzangu?"
"Mimi mpangaji wako, mama Esta"
"Enhe niambie mama Esta"
"Upo wapi?"
"Naelekea msibani, kuna nini kwani?"
"Mumeo mzee Banzi kamwingiza Jamila ndani wanafanya yao, upo?"
"Unasemaje?"
"Habari ndo hiyo"
"Nakuja sasa hivi, pumb...avu!".............
Endelea nayoHapa
Tags
Simulizi 🔞