Je wajua Kuwa Vazi la Kitenge ndilo Vazi laheshima na linalotambulisha Asili Ya Bara la Africa?
Kitenge Nivazi ambalo linavaliwa na takriban waafika wote kwakua hili ni Vazi Pekee la heshima hasa Kwa mwanamke wa Kiafrika alie staarabika,vazi hili nilaaina yake na yakipekee sana kwani linaweza kupendeza kwa kila mtindo wa mshono utakao taka kuushona.
Kutana na Lizyvitengecollection
Hawa ni wauzaji Wazuri wa vitenge aina zote vilivyo na ubora wakipee na vyenye kupendeza na kukubaliana na Kila aina ya mshono utakao taka wewe. Wanapatikana TABORA Mjini.
Wahi Sasa na pendeza na Lizyvitengecollection
Wasiliana noa Sasa Kwa kupitia business card hapo juu.
Tags
biashara