TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

TOFAUTI 6 KATI YA WHATSAPP NA TELEGRAM

Karibu mpenzi msomaji wetu leo tumekuja na jambo letu la kiteknolojia kidogo. Tumewaletea Tofauti 6 za kazi na miundo iliopo kati ya Application Hizi mbili ambazo ni WhatsApp na Telegram.

Twende kazi

Whatsapp na Telegram zote ni Application za messenger/kutuma na kupokea messeji ambazo zote zinapatikana Katika Simu za Android na zile za iOS. 
Application hizi Kwa haraka haraka waweza sema zinafanana Karibu vitu vingi ama kazi zake zinafanana Kwa kiasi kikubwa, Ila ukweli nikwamba Application hizi zinatofautiana Kwa kiasi kikubwa sana nabkuzidiana kukubwa katika utendaji kazi wake. Leo Tumekuletea Tofauti kubwa 6 katika Application hizi.

Karibu Tuanze kuzichambua Tofauti hizo.

A. WhatsApp
 1. Group la Whatsapp Lina ukomo wa members ambao mwisho ni members 257

B. Telegram
  1.Group la Telegram nalopia linaukomo wa members ambao mwisho Katika telegram ni members 200,000

A. WhatsApp
   2. Hakuna Channel Kuna broadcast lenye ukomo wa members ambao mwisho ni 257

B.Telegram
  2. Channel ya Telegram Haina ukomo wa members
A. WhatsApp
 3. Ukomo wa kutuma faili ni MB100 Pekee

B. Telegram
 3.Katika Telegram Unaweza kutuma faili lenye ukubwa wa
mpaka GB2

A. WhatsApp
 4. Huwezi kuficha Namba yako ya simu.

B. Telegram
 4. Unaweza ficha Namba yako ya simu katika Telegram.

A. WhatsApp
 5. Whatsapp Haina uwezo wa kutunza taarifa kwa muda mrefu

B. Telegram
 5. Telegram inauwezo wakutunza taarifa kwa muda mrefu.

A. WhatsApp
 6. Huwezi kusearch group

B. Telegram
 6. Unaweza kusearch group

Naam Yapi Maoni Yako katika Makala hii....

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post