TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA 05

ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA NO 5

MTUNZI JOGOO POLL 

NO 0657 774735

nilipeleka mdomo wangu kalibu na kidevu chake akili yangu aupokee auvute nilikuwa nataka aanze tu nimalizie lakini namwona kanikumbatia nasikia pumzi zake zinanigusa kwenye paji la uso natamani nimwambie kaka nile basi mwenzio nishaiva maana nilikuwa sielewi mwili wangu ushajaa joto la matamanio tayali 

lakini yule kaka anaogopa kucheza na mwili wangu na mimi naogopa kucheza na mwili wake ndipo nilipokumbuka neno busu la pinki kwamba tunapendana tunaogopa kuambiana basi ladi ilipiga tena kwa nguvu 

nikamwambia kaka nikumbatie kwa nguvu naogopa nitachukuliwa na ladi uku natelemsha mikono yake iguse fungu mbili zangu zinazonisaidia kukaa chini labla atasisimka nasikia mti ngozi wake kama ushaanza kustuka natamani ladi ipige tena nimpigie uno kidogo la uchokozi 

mala namsikia dada naomba niende nje kidogo nikakojoe unajuwa mvua zinafanya mtu ujisikie aja ndogo kila wakati.

nilinyanyuka uku nasema usichelewe my naogopa mimi uwai ladi lisije likanichukua.

akastuka neno my na mimi lilinitoka bahati mbaya yani joto la mwili lilisababisha nijikute nimelopokwa vile.

nikaona kuna kitu anafikilia nikamwambia my kaka nenda basi uwai kuludi.

akaniambia naomba mwamvuli.

nikamwambia kojoa tu nje hapo mvua si inanyesha utaenda na maji mkojo usiende chooni kuna teleza saizi utaanguka.

akakubali akatoka nje.

asikwambie mtu usimuone mbwa dume mjinga anaacha lindo anaenda kwa mbwa jike ali ya muamko ikija kichwani unakuwa nusu chizi ndio maana mchezo uu ukimaliza unajishangaa kweli mimi ndio nilikuwa naulalamikia vile nilijikuta namchungulia dilishani yani niliona mti ngozi vizuri umejaa mkononi na anaonekana ni mwanaume aswaa 

mkojo wake unaenda mbele sio unaishia miguuni wale unaishia miguuni awana shughuli wakikojoa wanatanua miguu kama wanavaa taulo la kike awana kazi ao ndio wanaacha wanawake njiani utaona mwanamke anasema mimi mapenzi siyapendi alafu sipendi mwanaume anayependa kila siku kumbe unakutana na watanua miguu wasiojuwa kumtafuta mwanamke wapi anastaili kushikwa ukashikika na njia ikafunguka watanua miguu wanategemea mate au mafuta iwasaidie kutanua njia wapite ao watanua miguu ndio wamejaa madhalau na ndio anaitukana kibompoli aijuwi thamani yake kuitafuta itengeneze yenyewe utelezi ajui ata kumfikisha mwanamke ajui nikiwachambua wanakela 

basi kaka akalichukua mti ngozi akalisafisha na mvua vile anavyoliosha na maji mimi uku navulugika natamani aniambie njoo ulioshe yani naumia alafu nikajuwa ni msafi sio kama wanaume wengine wakimaliza analitia kwenye suluali matone madogo madogo yanamdondokea ndio maana wananuka mikojo ila awajijui tu kazi kutusi wanawake utasikia kinuka mkojo yeye ajioni 

basi akamaliza kuliosha akachukua leso akaanza kulipangusa maji alafu anapangusa talatibu anazidi kunifanya mimi nizidi kulitamani yani wazo la kutamani awe mume wangu lilitoka nikawa natamani awe mwilini mwangu alipomaliza akaliweka kwenye suluali talatibu analinyenyekea yani anajuwa thamani ya mti ngozi wake sio wengine wanaliweka ata awaangali zipu wamefunga kuliweka kwenye usalama zaid utakuta anatembea zipu ajafunga mpaka akumbushwe na mwanaume mwenzake oya umesaau kufunga zipu ndio utasikia nilikuwa na alaka kweli asante 

basi akawa anakuja ndani nikakimbilia kitandani akafika akaniambia uoga umeisha.

nikamwambia bado ninao alafu mkojo na mimi umenibana naomba unipeleke nje.

akaniambia sawa ila mimi nitakaa mlangoni.

nikamwitika sawa uku najua nilichopanga nini kichwani mwangu tulienda nje yeye akasimama mlangoni kichwa kaweka kwa ndani mimi kanigeuzia mgongo.

mimi kweli nikakojoa nilipokuwa na nawa nilijikuta chakula kilikuwa tayali kwa kuliwa yani nakuta ?? zilitoka sasa nikajifanya nimestuka ila sijapiga kelele nikamsukuma yeye akaniuliza nini tena dada??

moyoni nikasema umeisha tayali nikamwambia kaka kuna kidudu kimening'ata uku kaka naomba mkono wako uniangalie uku nachukua mkono wake naupeleka kwenye kibompoli yani.........

ITAENDELEA 

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post