TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA 04

ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA NO 4

MTUNZI JOGOO POLL 

NO 0657 774735

tulibaki wawili mimi na yule kaka deleva wa bajaji kashaondoka natamani kaka aniambie ananipenda lakini namwona kama ananiogopa na mimi naogopa kumwambia mpaka ananipeleka kwa dokta ajaniambia chochote 

dokta akaniangalia akanipima akuona tatizo lolote alisema uyu alistuka tu akuna sehemu aliyoumia.

alimaanisha mimi maneno ayo anamwambia kaka yule.

yule kaka akaniuliza NO ya simu ya deleva wa bajaji unayo??

nikamjibu sina.

basi akaniambia basi twende tukachukue bajaji nyengine tuvuke balabala.

nikamwambia naomba unishike mkono mimi naogopa magali.

nilisema ivyo makusudi sababu tu anishike yani nampenda sana ila kumwambia ndio naogopa naisi imekaa vibaya atanichukulia mimi ni mchaluko basi alinishika mkono tunavuka balabala.

tulipofika kwenye bajaji nilichukia tulimkuta deleva mwanamke alafu nikaisi sio mcheshi.

kumbe moto wa kuotea mbali.

tulipanda tu akatuuliza nyinyi dada na kaka au busu la pink??

kaka akamuuliza busu la pink lina maana gani??

deleva wa bajaji akasema busu la pink ni unampenda mtu ila unashindwa kumwambia na yeye anakupenda anashindwa kukwambia sababu mimi nimeona mnaangalia kwa kuviziana wewe ukimwangalia mwenzio mwenzio akikustukia unazuga zuga toka mnavuka balabala niliwaona nyinyi sio mtu na kaka yake.

kaka akasema uyu ni mpangaji mwenzangu nampenda kama dada yangu na yeye naisi ananipenda kama kaka yake twende na safari mawazo yako wewe sio mazuri.

deleva wa bajaji akasema poa.

tulipofika nyumbani yule msichana aliyechukua nguo za yule kaka alikuja kumvuta kaka mkono aende nae chumbani kwake akampe nguo zake ndio anavyosema.

kaka alimwambia dada samahani mimi si wa kiivyo kabisa naomba tuheshimiane kama dada na kaka mbona mimi siwezi kukushika wewe mkono nenda nguo nitachukua asubui sio saizi sitaki.

yule mwanamke akanikata jicho la kishambenga na mimi sikukubali nikamkata jicho la kishanabe nilimpandisha nikamshusha alafu nikamtema mate puu.

msichana akanisonya msonyo wa shari flani ivi.

anataka nijibu atoe la rohoni.

waswahili wanasema mbwa ukimjua jina asumbui sikumjibu.

alienda ndani kwake alichukua nguo kwa asila kazikusanya kumbe kakusanya na kadi yake kuchukulia vidonge vya ukimwi akaja akamlushia yule kaka nguo kwa asila ile kadi ikaluka juu.

deleva wa bajaji wa mwanzo kabisa akafika akaiyokota ile kadi.

msichana yeye ajui kama kadi kalusha pamoja na nguo za yule kaka.

kaka yule alikasilika sana alitamani ajibu neno.

ila deleva wa bajaji akasema oya usimjibu muache watu wavivu kula dawa za ukimwi wanakuwaga na asila za ajabu ajabu ila wanaozingatia dawa utawaona awapendi mdomo wala sex wewe tulia.

yule mwanamke aliingia ndani kwake.

deleva akamuonyesha kadi ya ukimwi ya yule dada kaka yule.

walipoisoma walisikitika kwa pamoja.

sasa kaka alizikusanya nguo ili aingie nazo kwake ndipo alipogundua funguo amepondeza akili ikaama atafanyaje alimuuliza deleva wa bajaji kwenye bajaji yako ukuona funguo??

deleva wa bajaji akajibu sijaona funguo itakuwa labla umeidondosha osp.

kaka akasema sasa nitalala wapi??

deleva wa bajaji akasema kwani uyu dada analala na nani?? 

mimi nikamjibu nalala peke yangu.

deleva wa bajaji akasema sasa si umsaidie mwenzio nguo uingize ndani kwako.

nikamwambia mimi sina nguvu ngoja nifungue mlango aingize mwenyewe.

deleva wa bajaji akacheka akasema iyo kauli yako imenisisimua neno aingize mwenyewe limenipeleka mbali sana yani dah acha tu.

mala mvua inanyesha.

deleva wa bajaji akasema jamani kesho mimi nakimbilia kwenye bajaji yangu na wewe ingia ndani umo chanzo cha kupoteza funguo yako Ni yeye nenda kalale chumbani kwake.

kaka aliingia ndani kwangu chumbani sina kiti zaidi ya kitanda na godolo na tenga la kuwekea nguo tu yani nilichukua nguo zake nikaweka juu ya tenga nikatoa shuka nikatupia shuka kitandani.

moyoni nilisema hapa nishindwe mwenyewe sasa kaka yupo ndani kwangu.

kaka akataka kulala chini.

nikamwambia kaka samahani usilale chini naomba ulale kitandani chini wanaweza wakaja sisimizi nakuomba sana.

kaka akasema sawa ila dah.

nilishangaa anasema dah kwa sababu gani lakini sikutaka nimuulize kwanini unasema dah akalala kitandani na mimi nikalala kitandani mala ladi ilipiga nje.

niliogopa nikamsogelea kaka uku namwambia kaka naogopa mwenzio naomba unikumbatie.

ladi ikapiga tena kweli akanikumbatia ile mikono yake iliponifungata vizuri mwilini na umeme ukakatika paa sababu ya upepo mkali.

nilijisikia raha sasa nafanyaje ili ajuwe isia zangu juu yake kwakweli joto la kunipa raha lilipanda niliamua kumpelekea mdomo wangu kwenye.........

ITAENDELEA 

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post