*JE UNAPATA CHANGAMOTO YA MAUMIVU YA MENO, KUTOBOKA NA HARUFU MBAYA YA KINYWA?*
✍️Na Dominic MAPUJILA (Nimshauri Na Mtaalam Wa Maswala Ya Afya)
Tatizo la meno kutoboka ( dental cavity) kwa kitaalamu ni hali ya jino kuwa na shimo. Shimo kwenye jino huanza taratibu na huendelea kupanuka kama jino halita tibiwa mapema.
Ni kutokana na kwamba kufanyika kwa shimo kwenye jino huwa haina maumivu kwenye kipindi cha awali inakuwa vigumu kujua kama tatizo lipo, ndio maana tunashauri kuonana na Daktari wa meno kila baada ya miezi mtatu akufanyie vipimo.
Pamoja na kwamba tayari umepata shimo kwenye jino na jino lako linaoza, fahamu kwamba kuna hatua unaweza kuchukua kuzuia hali hii isiendelee.
Dalili za Meno Kutoboka au dalili za meno kuwa na mashimo huwa inategemea na ukubwa wa tatizo la meno kuoza. dalili hizi ni kama
👉Meno kupata ganzi
👉Maumivu ya meno
👉Uwepo wa shimo kwenye jino
👉Utando mweusi kwenye meno.
Nini Kinachangia Meno Kutoboka na Kuoza
kuna baadhi ya vitu ambavyo huchangia kwa meno kutoboka na kuoza
Upungufu wa vitamini (A, D, E na hasa vitamin D) kwenye lishe.
Matumizi makubwa ya vyakula vyenye tindikali
Matumizi ya vyakula na vinywaji vyenye sukari iliyosindikwa
Kila mtu ana bakteria kwenye mdomo, Bakteria hawa hubadili mabaki ya vyakula ya mdomoni kuwa tindikali. Na tindikali hii huanza kumomonyoa jino na kuruhusu bakteria kushambuliza jino.
Ndio maana tunashauri kusafisha meno kila baada ya kula au walau amara mbili kwa siku ili kuondoa mazingira ya bacteria wabaya kumea.
Suruhisho tunatowa elimu na ushauli bure kabisa kupitia whatsaap status. Pia tuna Dawa ya meno maalumu kwaajili ya kutatuwa changamoto ya meno kutoka,kufa ganzi,na harufu mbaya ya kinywa.
Dawa hii Haina kemikali ya frolide ni asiri na salama hata Kwa watoto wanao penda kumeza dawa wakati wa kuswaki.
Wasiliana nasi Sasa kupitia whatsaap *0755429549* au piga usaidiwe mapema.
Tags
AFYA