TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

NJIA ZA KUONGEZA WINGI WA MBEGU ZA KIUME




Kutokana Na Changamoto Hii Ya Upungufu Mkubwa wa Nguvu za Kiume Leo Tumekuletea Makala Maalum Ya Jinsi Gani Utaweza kuongeza Wingi wa MBEGU za Kiume.
👆☝️👆☝️👆☝️👆☝️👆☝️👆☝️👆☝️👆☝️👆☝️👆👆
Na DOMINIC MAPUJILA (Mtaalam na mshauri wa maswala Ya Afya)
Simu/whatsapp: 0755429549
Bonyeza sasa hivi hii link chini ili tuchat moja kwa moja whatsapp kwa ajili ya ushauri na tiba👇
_______________________________________________

Kula Lishe Bora

Chakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.

Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya ngano. Ongeza zaidi matunda, mboga za majani na mafuta yenye afya.
.
.
Acha kutumia kahawa au vinywaji na vyakula vyenye kaffein

Kama una tatizo la kuwa na mbegu chache ni vizuri ukaacha kutumia vinywaji au vyakula vyote vyenye kaffeina kwanza.
.
.
Matumizi ya kitunguu swaumu:

Kitunguu swaumu kina Selenium na pia kinaondoa sumu mwilini vitu hivi viwili ni muhimu kwa ajili ya kuongeza spidi ya mbegu.
Vile vile Kitunguu swaumu kina ‘Allicin’ ambayo huongeza msukumo wa damu kwenda kwenye uume.

Kujitibu unaweza kuongeza kitunguu swaumu kwenye chakula unachopika. Pia unaweza kutafuna punje 2 au 3 kila unapoenda kulala au unaweza kukatakata hizo punje 3 vipande vidogo vido (chop) kisha unywe na maji.
Usile zaidi ya punje 3 kwa siku
.
.
Matumizi Ya Mayai:

Mayai yanachukuliwa kama mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingi wa mbegu pamoja na kuongeza spidi au kasi yake.

 Yana vitamini E nyingi na protini ya kutosha vitu viwili mhimu katika kuongeza mbegu. Tumia mayai ya kienyeji zaidi na sio ya kisasa.
.
.
Matumizi Ya Spinach:

Mboga hii ina Folic asidi ambayo ni mhimu katika kuongezeka kwa mbegu za kiume
.
.
Kula Ndizi:
Ndizi zina Magnesiamu, Vitamini B1 na Vitamini C, vitu ambavyo ni mhimu sana kwa ajili ya kutengeneza mbegu za kiume. 

Vile vile Ndizi zina kimeng’enya kimoja adimu sana kijulikanacho kama ‘Bromeliad’ ambacho husaidia kuziweka sawa homoni zinazohusiana na tendo la ndoa.
.
.

Matumizi Ya Mbegu Za Maboga:

Mbegu za maboga zina kiasi kingi cha madini ya Zinki ambayo ni mhimu katika kuundwa au kutengenezwa kwa mbegu za kiume na homoni ya testosterone.

Vile vile mbegu hizi zina vitamini B, C, D, E, na K ambazo zote ni vitamini mhimu katika kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na nguvu kwa ujumla.
.
.
Kula Zaidi Mboga Za Majani:
Mboga za majani zinapunguza homoni ya ‘estrogen’ na hivyo kufanya homoni ya ‘testosterone’ ipatikane kwa wingi na kiurahisi zaidi na hivyo mbegu zako ziweze kuongezeka bila vipingamizi vyovyote. Homoni hii ndiyo inayohusika na kuzalishwa kwa mbegu
.
.
Kunywa Maji Mengi Kila Siku:
Kutokunywa maji ya kutosha kila siku kuna uhusiano wa moja kwa moja na kupungua kwa uwingi wa mbegu. Mbegu zako zimetengenezwa kwa maji, zipo kwenye hali ya kimiminika.
Kunywa maji ya kutosha kunasaidia kutengenezwa kwa mbegu nyingi.

Kutegemea na uzito wako unaweza kuhitaji maji lita 2 mpaka 3 kila siku.
.
.
Tumia Vyakula Vyenye Folic Asidi Kwa Wingi:

Vyakula hivi ni pamoja na tunda la parachichi na karoti, mbegu za maboga, ufuta, alizeti, maharage, chungwa, papai, bamia nk
.
.
USHAURI:

Kwa kutambua kuwa baadhi ya vyakula na matunda mengi hayana ubora kama zamani kutokana na jinsi yanavyolimwa, mbolea zinazotumika hivyo tunashauri unapovitumia vyakula au mboga hizo  pia uongeze na virutubisho lishe vyenye vitamins na madini kama vile selenium,zinc,vitamin b complex, vitamin B,C,D,E, folic acid  nk  ambavyo  kwa pamoja vitaongeza mbegu hizo zitoke zikiwa imara sana na zenye rutuba
Endapo wewe ni mwanaume na unahitaji mbegu bora na nzito basi usisite kutumia virutubisholishe vyetu na utakuwa shuhuda siku za mbeleni

Endapo utahitaji virutubisho hivi au ushauri basi wasiliana nasi kwa namba:

Simu/whatsapp: +255 755429549

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post