TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

AFYA NI TUNU: WATAMBUE MAPUJILA ONLINE CLINIC (M.O.C) WATAALAM NA WASHAURI WA MASWALA YA AFYA TANZANIA

Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote.
Afya ya binadamu itakuwa njema Kama atafuatilia kanuni na taratibu Bora za afya.Hiyo inajumuisha mlo kamili yaani chakula chenye virutubishi vyote vikiwemo protein,wanga na mafuta(hiyo iwe katika asilimia ndogo Sana)

Pia anatakiwa awe msafi mwilini na kusafisha mazingira Yanayo mzunguka na sehemu anapo lala.

 Afya Sio Jambo La Kupuuza  Hata Kidogo Afya Nijambo Muhimu Sana Kwa Maana Bila  afya bora ufanisi katika shughuli za Kila siku hupunguwa.

Kumbuka Ukipungukiwa Fedha Watu wanaweza kukupatia, Ukipungukiwa Nguo Watu wanaweza kukupatia Ila Ukipungukiwa AFYA hakuna hata Mmoja atakupatia afya yake, Hii inamaanisha linda tunza Ithamini Sana Afya Yako.

 Binadam tunasumbuliwa Sana na Adui Maradhi huyu ni adui mkubwa sana anaetesa na kuyaondosha Kabisa maisha/uhai wa Mwanadam. Hivyo nimuhimu kwako wewe Mwanadam kuifutalia hali ya Afya Yako Mara kwa mara Ili kuweza kujua nini ama ni adui maradhi yupi anaekunyemelea na uweze kumdhibiti Mapema.
Wengi wetu Baada ya kupima na kugundurika tunasumbuliwa na maradhi mbali mbali maranyingi tunakimbilia kutumia madawa Ili Kuondokana na Maradhi hayo, nisawa Kabisa kufanya hivyo.
 Isipokua Pia Tunatakiwa kuwa na changuo Sahihi la dawa hizo, kwa maana dawa nyingi zinatengenezwa Kwa kemikali nyingi  hii husababisha mrundikano   wataka sumu nyingi Kwa mtumiaji kitendo ambacho kinampelekea mtumiaji Kupata Madhara mengine yanayo tokana hizo dawa mfano kuvurugika Kwa mpangilio wa hormones mwilini,kufeli Kwa Figo,nk.  
 
 Inawezekana Ukawa Hujanielewa Vyema, Madawa Hutengenezwa kwa material tofauti tofauti Kulingana na Tatizo/ugonjwa husika Katika utengenezwaji huo wa dawa nyingi za viwandani hutumika kemikali maalum za kurinda na kutunza dawa hiyo ikae mda mrefu ama mda ulio kusudiwa bila kuharibika.
  Nakisha baadae dawa hiyo inatumika kwa mgojwa Kwa ajiri ya kutibu/kuondoa Tatizo , Hapo Tukumbuke Dawa hiyo imetengenezwa kwa kemikali maalum ambazo zinaweza kusababisha Madhara Tena Kwa Mgonjwa.

Baada ya Wanasayansi wakubwa Kufanya Utafiti Juu ya  madawa ya binadam Kwa Pamoja Walikubaliana kuwa kwa Kutumia Virutubisho lishe Pekee Kuna Uwezekano Mkubwa wa Mtu Kupona MARADHI Yake Yanayo Msumbua.  
 Baadhi ya maradhi Yaliofanyiwa Utafiti na kugundurika kuwa kwa kutumia virutubisho lishe Pekee yanaweza Ondoka Mwilini Kwa Asilimia miamoja (100%)
 . ✴️KISUKARI
 .✴️ MATATIZO YA UZAZI 
 .✴️TEZI DUME
 .✴️MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
.✴️MATATIZO YA UZITO ULIO PITILIZA
 . ✴️MATATIZO YA.                    MOYO/PRESSURE
 namengine mengi Yanaweza tibika kwa Kutumia virutubisho virutubisho lishe Pekee na kwa kubadilisha tu mitindo ya maisha tunayo ishi kila siku.

MAPUJILA ONLINE CLINIC (M.O.C)
Imekua Msaada Mkubwa kwa Watu wengi Kwani Clinic Ya Mtandaoni yenye uwezo wa kukusaidia katika Changamoto yako ya Kiafya kwa Kukupatia Virutubisho lishe na Kukupa Ushauri Juu Ya Maswala Ya Afya Na Mitindo Ya Maisha.

 Waone leo kwa Msaada Zaidi Na Ushauri kuhusu maswala Ya Afya Na Mitindo Ya Maisha. Hakika utapata Suluhisho La tatizo lako kwa Urahisi kabisa popote pale ulipo Ndani Ya Tanzania.

Wasiliana Nao Kwa Simu/Whatsapp Nambari +255755429549
  Imetolewa na kuandikwa na DOMINIC MAPUJILA MTAALAM NA MSHAURI WA MASWALA YA AFYA NA MITINDO YA MAISHA TANZANIA.
Tunapatikana Dodoma Na Mwanza pia Tutakuhudumia Popote pale Ulipo Ndani Ya Tanzania. Huduma Zetu Ni Uhakika Na Uaminifu Mkubwa. 
  Wasiliana Nasi Sasa Kwa Msaada Wa Haraka 24hrs

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post