Je Unayajua Madhara Ya Kutumia Make Up Kila Siku??...
.
Kufanya make up kila mara usoni kwa wanawake imekua fasheni kwa hivi sasa. Je unafahamu kwamba kuna madhara mtu huweza kupata kwa kufanya make up hizo mara kwa mara ??
_______________________________________________
Salim Manoti
Simu/whatsapp: 0716778844
Bonyeza sasa hivi hii link chini ili tuchat moja kwa moja whatsapp kwa ajili ya ushauri na tiba
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
_______________________________________________
Baadhi ya madhara ya kutumia make up ni haya hapa…
(1).Kuziba kwa vitundu vidogo vya hewa ndani ya Ngozi , hali ambayo hupelekea ngozi kushindwa kupumua ,kuruhusu hewa kupita,kupelekea kutokea kwa chunusi,viuvimbe n.k
(2).Kuharibika kwa seli za Ngozi kwa urahisi zaidi hasa baada ya kuchomwa na jua na kusababisha makunyanzi kwenye ngozi ya uso, kuzunguka macho nk
(3).Matumizi ya baadhi ya make up huongeza tatizo la Ngozi kukauka kupita kawaida
(4).Matumizi ya baadhi ya make up huongeza uzalishaji wa kiwango kikubwa cha mafuta kwenye ngozi na kuongeza tatizo kwa mtu ambaye ana ngozi yenye asili ya mafuta mengi
(5).Matumizi ya make up huweza kusababisha tatizo la ngozi kupasuka yenyewe
(6).Matumizi ya makeup huweza kusababisha tatizo la allergy ya kwenye ngozi
(7).Watu wengi ambao hutumia make up halafu wakalala nayo, huwa katika hatari ya Ngozi kuharibiwa , collagen kuharibika pamoja na Ngozi kubadilika rangi yake
(8).Matumizi ya make up huongeza uwezekano wa mtu kupata maambukizi ya magonjwa kwenye macho yaani eye infection
(9).Matumizi ya make up huongeza uwezekano wa mtu kupata saratani ya ngozi
.
Changamoto iliyopo ni kwamba kuna baadhi ya watu kutokana na kazi zao au kupenda urembo ni ngumu kukwepa make up na madhara yake
Ushauri mzuri kwako wewe unayetumia make up ni kwamba hakikisha kabla ya kulala uwe umenawa uso wako kwa sabuni isiyokuwa na kemikali yoyote kama ile sabuni ya maajabu na kuuacha uso bila kupaka kitu kingine chochote chenye kemikali
Kwa kutambua hivi tumekuandalia sabuni nzuri ya maajabu ambayo ndio iwe sabuni yako ya kuogea na kunawia uso wako kabla ya kulala ili kuhakikisha Ngozi yako inakua salama na kuondoa kemikali zote ambazo ziliachwa na make up uliyopaka mchana
Pia utapata na lotion ambayo itarekebisha ngozi yako kwa kuondoa mikunjo na kutunza unyevu nyevu uliopo kwenye ngozi usitoke maana usipotoka basi ngozi yako itakua na mvuto kila siku na kukuepusha na ngozi kuzeeka mapema
.
.
Tags
AFYA