TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

BAWASIRI, KITAMBI NA KUTOPATA CHOO KUNAVYO ATHIRI NGUVU ZA KIUME.

Hivi Unajua Kwamba Bawasiri,Kitambi Na Kutokupata Choo Zinavyoathiri Nguvu Za Kiume Wewe Mwanaume????
.
.
FAHAMU vizuri misuli hii inayoshikilia uume na kuufanya uume usimame imara zaidi kwa muda mrefu pasipo kulegea au kusinyaa.
_______________________________________________
Salim Manoti
Simu/whatsapp: 0716778844
Bonyeza sasa hivi hii link chini ili tuchat moja kwa moja whatsapp kwa ajili ya ushauri na tiba

_______________________________________________

Pelvic floor muscle Ni msuli ambao hushikilia Uume ,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu .Ikiwa Ni Dhaifu uume unasimama kwa muda mfupi unalegea hatimaye uume unasinyaa .
.
.
Msuli huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo. Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ;
.

Vitu hivyo ni pamoja na:

1. Bawasili - kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa.

2.Kuvimbiwa/kutokupatwa choo (constipation )
Tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula Fulani,Basi msuli huu hulegea.

3.Kupata Choo kigumu ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa.

4.Kujichua/punyeto.Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea na dalili inaonyesha wakati wa kutoa mbegu za kiume yaani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka Kama matone ya mvua.
.
Ikiwa huu msuli wa pelvic floor Ni imara utakuta shahawa zinatoka kwa Kasi na kwa nguvu zinaruka mbali na kwa Presha kubwa .Basi msuli huu ndio hufanya hiyo kazi.
Ukilegea shahawa zinatoka kwa uvivu , zinadondoka tu chini.
.
.
5.Uzito mkubwa/kitambi pia hulegeza msuli huu.Ndio maana wenye vitambi wengi uume ni mdogo umezama kwa ndani
.
Kwa upande wa Wanawake msuli huu ukilegea husababisha Uke kupanuka Sana na kuwa mlegevu.kubaini Kama ana tatizo hili Ni kuingiza kidole ukeni alafu ajaribu kukibana akishindwa basi misuli ya pelvic imelegea.
.
Waathirika wakubwa wa msuli huu asilimia kubwa ni watu wa maofisini wanaokaa muda mrefu sehemu moja, madereva wa magari na bodaboda, wanaojichua, wenye uzito uliopindukia, kisukari ,vidonda vya tumbo nk.

Suluhisho linahitajika mapema sana kabla msuli huo haujaaribika sana. Likiwa sugu litakusumbua
.
.
USHAURI

Ni vyema ukazingatia kuweka sawa mmeng'enyo wako wa chakula kwa kutoa sumu zinazokuwa chanzo cha kuharibu mmeng'enyo wako wa chakula, kuepuka vitambi, kutibu bawasiri mapema na pia kujiepusha na upigaji punyeto. 

Na pia kuna mazoezi maalum ya kufanya pamoja na massage maalum ya kuufanyia uume wako
.
.
Endapo una bawasiri,unene,hupati choo nk halafu unalalamika una upungufu wa nguvu za kiume nakuomba usianze kutafuta dawa za nguvu za kiume kwanza, tafuta suluhisho la tatizo lililosababisha hizo nguvu kupungua kwanza.
.
.
Tiba yetu imezingatia maeneo yote hayo na gharama zinatofautiana kati ya mgonjwa na mgonjwa kutokana na kila mmoja anavyoumwa
.
.
"MCHAWI WAKO NI BAWASIRI, ITIBU SASA"

Unachotakiwa kufanya ili upate TIBA hii ni rahisi sana…
PIGA au TUMA Ujumbe mfupi sasa hivi kwenda namba 0716778844 ili kupata TIBA yako leo

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post