UNAINGIA MTANDAONI KUFANYA NINI
Umewahi kujifuatilia mwenyewe na kugundua hua unaingia mtandaoni mara kadhaa huenda hata mara 20 Kwasiku. JE umejiuliza mwenyewe kuwa naingia mtandaoni kufanya Nini?
Kiukweli tuliowengi katika matumizi ya mitandao Tunaitumia kwa kukariri tu.
Whatsapp Instagram Facebook TikTok nk maranyingi Tunamaliza Mb zetu katika mitandao hii ya kijamii. JE unakua Nikwanini? JIBU ni kwasababu Tume kariri.
Na Je Tunaitumiaje mitandao? JIBU Tunaitumia kwa kutizama taarifa za Mastaa Udaku Picha za Warembo Habari Za Michezo nk.. wengi wetu ndivyo Tunavyoitumia mitandao hiyo.
Kwa Taarifa Yako Sasa
Unaweza kunufaika zaidi na matumizi yako ya mitandao kama utaitumia mitandao hiyo kiusahihi.
Nikweli kabisa Katika internet kuna mambo mengi Ambayo nimambo mchanganyiko Na Internet Hainawahi kuwa Choyo jinsi unavyo tafuta jambo ama kila utakacho uliza kwenye internet Hauwezi kukikosa, Utapata kila unachokitaka kitaka kwenye internet/mtandao
Kwa maana Hiyo Nakushauri Kutumia mtandao kwa manufaa Kwa maana Kuna manufaa mengi zaidi kama utaitumia motandao hasa hii ya kijamii Kwa malengo ya kujifunza na kupata Elimu mbali mbali zitakazo kunufaisha katika Maisha yako na katika Afya Yako Ya Akili Kwaujumla.
Tags
Fursa