DijitoStore - Business software

HII NDIYO BAHARI AMBAYO WATU HAWAZAMI

JE WAFAHAMU?

HII NDIYO BAHARI AMBAYO WATU HAWAZAMI.

Unajua kuwa kwenye bahari ya dead sea watu hawazami wanaelea tu!, Hii inatokana na maji hayo kuwa na chumvi nyingi kuliko maji yoyote Yale Duniani hivyo kufanya maji hayo kuwa na uzito zaidi kuliko mwili wa binadamu.

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post