KAMA UKO HIVI UTAACHWA NA KILA MWANAUME
Leo nimeona niongelee hili swala la wanawake wengi kutodumu kwenye mahusiano au kuachwa mara kwa mara!
Kuna sababu nyingi sana zinazoweza kuchangia lkn kuna wakati mwanaume anaamua tu, kutoka na mwanamke mwingine na baadae kukuacha kabisa, wanawake wengi huona kama hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanaume lkn ukweli ni kwamba kuna sababu moja kubwa sana ambayo ukiwa nayo basi hakuna mwanaume atakaedumu na wewe yaani ukimpa mara mbili tu, anakuacha!
Sababu hiyo ni magonjwa katika mfumo wa uzazi ambayo yanaweza kupelekea kutokwa na mtindi ukeni au harufu mfano wa samaki, wanawake wengi wakiwa na hali hii huwa ni ngumu sana kujitambua maana siku zote tatizo la harufu ukiwa nalo mwilini sio rahisi kujijua lkn mtu mwingine akikusogelea tu anasikia harufu!
Hali hii huwa haiwezi kuvumilika na mwanaume yoyote na mbaya zaidi wanaume ni waoga sana kumwambia mwanamke ukweli kwamba anatoa harufu au uchafu hivyo huamua kutoka nje ya ndoa tu na baadae ndoa inaweza kuvunjika kabisa!
Sasa kama una tatizo hili au bado hujui ila unahisi unalo basi usipanic nimekuandalia somo jingine kwaajili ya kujitibu wewe mwenyewe ukiwa nyumbani bila kwenye hospitali au kutumia gharama yoyote,
Katika somo hili nimeeleza hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza dawa hizo na kama utataka nikutumie video hiyo basi nitumie ujumbe wenye neno VIDEO kwenye whatsapp yangu 0623272470 na nitakutumia bila malipo yoyote.
Tags
AFYA