MTEMI ISIKE NA MAJESHI YA VON PRINCE CHAPTER 5
Walipofika Mt Isike akawapokea baada ya kunywa chai akaomba awatembeze Ikulu ili wamsaidie kuitengeneza kwa kuwa ilipigwa mizinga mitatu lakini haikubomoka. Baada ya kuwatembeza wakala chakula cha mchana na wakaaga wakaondoka.
Baada ya kuisoma Ikulu ya Mtemi Isike, Von Prince akaagiza silaha mpya na zenye nguvu na za kisasa kwa wakati huo ili aivamie tena Ikulu hiyo.
Tags
TaboraYetu