TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MTEMI ISIKE NA MAJESHI YA VON PRINCE Chapter 4

MTEMI ISIKE NA MAJESHI YA VON PRINCE CHAPTER 4
Ndipo Sakarani akatuma ujumbe kwa Mtemi Isike kumwambia vita isimame. Mtemi Isike alikubali na vita ikasimama. Kumbe bwana Sakarani ( von Prince) alikuwa anataka kuichunguza Ikulu ya Itetemia na uimara wa jeshi la Unyanyembe ndipo akaamua kuomba msaada wa waarabu kwa kiongozi wa waarabu akiitwa #Msolopa, akakubali kumpeleka Ikulu ya Itetemya kama vile kumpa pole kwa vita ya kupambana na Wajerumani . Von Prince akaenda kwihara akavaa nguo za kiarabu, kilemba na kanzu wakaondoka kwenda Itetemya wakiwa jumla watu wanne

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post