DijitoStore - Business software

UJASIRIAMALI TABORA MJINI

UJASIRIAMALI TABORA MJINI 
MWINYI MCHICHANI | Tabora Manispaa | Eneo Ambalo Wajasiriamali Hasa Akina Mama wanalitumia Kwa Kilimo Cha Bustani Za Mboga Mboga Kibiashara

Eneo hili limekua Maarufu kwa muda Mrefu kwani Wakinamama hasa wakazi wa Maeneo jirani na wenyeji Wa kata hii ya MWINYI walipo Anzisha kilimo hichi cha Mboga Mboga

Karibu ya wakazi wa Tabora Manispaa hutumia na kutegemea Mboga Mboga za majani zinazo zalishwa katika Eneo hili.
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post